Tetesi: Kuna Mpango Unaandaliwa Kutumia Vilabu vya Ligi kuu ili Kuchanja Mashabiki Chanjo ya Corona-19

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
6,437
2,000
Kuna mpango mkakati uko juu unaandaliwa.

Mpango huo unahusisha kuvitumia vikamilifu vyama vya michezo mbalimbai nchini hasa Mpira wa miguu ili ku-push idadi ya watu ambao hawaja chanjwa ili wachanjwe.

Kutatokea na kikao cha siri baadhi ya watu wale walio simamisha mechi ya simba na yanga na viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu. Kikao hiko kinalenga kumuhamasisha Mh rais wa shirikisho ili aruhusu mpango kazi wa kuunga mkono serikali katika jitihada za kuhakikisha walio wengi wana chanjwa.

Wiki kama chache zilizo pita tayari waganga wakuu wa wilaya kupitia ofisi za wakuu wa wilaya wamekwisha pewa vi-memo vyenye target ambayo wanatakiwa wahakikishe wanaifikia hiyo idadi ya namba ya wananchi ambao wanatakiwa wachanjwe. Ndio maana kuna baadhi ya wilaya zimeanza kuanzisha mabonanza ya soka ya muda mfupi huku ii hali kiingilio kikiwa ni utayari wa mashabiki kuchanjwa.

Pamoja na hilo, mpango wa nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji, kata kwa kata na tarafa kwa tarafa ukiwa unaendelea ili kuhakikisha idadi inasukumwa vilivyo.

Maoni yangu kwa Msomali Karia ni kuwa asije akaruhusu upuuzi unaopangwa ufanyike katika Ligi Yetu kama ikiwezekana waanzishe LigiKUU yao ili wakatekeezee huko huo mpango wao.
 

Ndalilo

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
2,156
2,000
Kwani chanjo zinaua mkuu..chanjo kama umeamua kuchanja wahi kachanje kama bado unajikilia vaa barakoa na tumia vitakasa muda wote
Wangeendelea na utaratibu wa kutishia watu kwa kutengeneza data za vifo ili kuogopesha watu, pengine wangefanikiwa sana.

Sasa inaonekana wamejikita kwenye kufikia target pengine waliyosainishwa kuwa ni lazima waifikie. Wanaogopa kusema ukweli ni wagonjwa wangapi wapo, wangapi wapo hoi, wangapi wamekufa, wangapi wanakufa kwa siku, maeneo gani ugonjwa unaua sana, na muhimu zaidi wangapi WANAPONA?

Samia asingeishia kuchoma yeye tu, angekusanya na familia yote, mpaka hao wajukuu aliowataja, wakaonesha wote wanavyochanjwa mmoja baada ya mwingine, pengine watanzania wangeamini! Ila pia kuthibitisha kuwa dawa inayotolewa kwenye kichupa ni hiyo chanjo ni ngumu sana.
 

dendaboy

JF-Expert Member
Sep 15, 2016
1,005
2,000
KARIBIA MUDA WA MATUMIZI UNAISHA NA RAIA BADO WAMEKAZA SASA NYUMBA KWA NYUMBA MPAKA KIELEWEKE

WAPELEKE KWA KWENYE MAJUMBA YA IBADA KAMA LEO KUNA NYOMI PALE KWA KAWE
 

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,483
2,000
Kuna mpango mkakati uko juu unaandaliwa.

Mpango huo unahusisha kuvitumia vikamilifu vyama vya michezo mbalimbai nchini hasa Mpira wa miguu ili ku-push idadi ya watu ambao hawaja chanjwa ili wachanjwe...
Chanjo ni muhimu na acha ubaguzi,wewe ukitajwa kwa kabila lako utafurahi?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 

ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
15,353
2,000
Kuna mpango mkakati uko juu unaandaliwa.

Mpango huo unahusisha kuvitumia vikamilifu vyama vya michezo mbalimbai nchini hasa Mpira wa miguu ili ku-push idadi ya watu ambao hawaja chanjwa ili wachanjwe...
Mtachanja tu maana aliewaaminisha kafa
 

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,875
2,000
Pesa ya beberu hailiwi bila kumtimizia matakwa yake!! Watazitapika, lakini sisi kuchanja HAIWEZEKANI!! Tuchanje ili iweje kwa mfano!!

Hii corona ni mafua tu, ila wazungu yanawasumbua sana!! Kinachotafutwa ni kumpora Mungu utukufu!! Kwa sasa tuko salama kwa kuwa Mungu alisikia maombi yetu!!

Wanataka tuchanje ili waseme tuko salama kwa kuwa tulichanjwa na si kwa kuwa Mungu alituponya!!! Sisi tunaomwamini Mungu HATUKUBALI MUNGU ANYANG'ANYWE UTUKUFU!! HATUCHANJI NA HATUUGUI!! UTUKUFU KWA MUNGU!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom