kurudi

Indotyphlops braminus, commonly known as the brahminy blind snake and other names, is a nonvenomous blind snake species found mostly in Africa and Asia, but has been introduced in many other parts of the world. They are completely fossorial (i.e., burrowing) animals, with habits and appearance similar to earthworms, for which they are often mistaken, although close examination reveals tiny scales rather than the annular segments characteristic of true earthworms. The species is parthenogenetic and all known specimens have been female. The specific name is a Latinized form of the word Brahmin. No subspecies are currently recognized.

View More On Wikipedia.org
  1. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Hili la umeme ni ishara tosha kwamba serikali hii ni failure, haipaswi kurudi

    Sasa hivi ukienda kila mahali na kila kona ya nchi, vilio vya umene vimetawala, mbaya zaidi ukiuliza sababu ya mgao wa umeme ni maajabu ya kushangaza kwani hakuna sababu yoyote ya msingi huku uongo na ahadi zilizojaa uongo mtupu zikitaradadi! Wakati huo kiongozi mkuu wa nchi anabadilisha tu...
  2. MubengaJr

    JamiiForums Tanzania Vibarua wenzangu tuliopita JKT tuliporudi nyumbani tukaambiwa tujiajiri tukutane hapa

    Niwakumbushe vijana wenzangu, ukiamua kwenda JKT kwa matumaini utakuja kuvaa magwanda ya mabaka ili tukuogope mtaani na unajua kuwa huna connection, fahamu wewe umekwenda JKT kufanya kibarua. Mimi nilihitimu kufanya kibarua changu JKT mwaka 2015. Sasa hivi bado ninajitafuta kitaa sielewi...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mzungu aomba msaada wa kurudi kwao baada ya kufulia akitanua na mdada wa Kenya

    Sasa sijui huyu jamaa ni tapeli au ni mkweli. Anasema alikuja Kenya november mwaka jana kukutana na huyo mdada wa Kenya Eti wamespend nae pesa sana hadi zimekata na mdada nae amemkimbia baada ya kufulia. Anaomba msaada ili aweze kurudi kwao Ireland...
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mzungu ataka uraia wa Tanzania, agoma kurudi kwao

    Hakuna binadamu anaependa Vita wala kubebeshwa silaha, huyu kijana toka Uingereza ameamua kuukana Uraia wake na kumuomba Rais Samia ampatie Uraia wa Tanzania. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars kurudi nchini kwa Awamu (Mafungu)

    Katibu mkuu wa wizara ya Utamaduni, sanaa na Michezo Gerson Msigwa, amesema timu ya taifa "Taifa Stars" itarudi nchini kwa makundi na sio kwa pamoja "Kuna changamoto kidogo ya usafiri. Hatukufanikiwa kupata tiketi za timu nzima kwa mara Moja kwahiyo walioanza kuwasili nchini jana ni wachezaji...
  6. Nicklaus

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunazidi kurudi nyuma kwenye Teknolojia

    Wakati dunia ikiienda kasi kwenye technology hasa mifumo ya kifedha, inayorahisisha malipo, hali imekuwa tofauti kwenye baadhi ya taasisi za fedha nchini. CRDB hasa kwenye mfumo wao Internet banking, umekuwa na shida za mara kwa mara unaolalamikiwa na wateja lakini hakuna linalofanyika...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Namtumbo: Wazazi waacha kupeleka Watoto Shuleni wakiaminishwa Yesu Kristo anakaribia kurudi

    Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Ngollo Malenya amefanya msako wa Wanafunzi ambao hawajaripoti Shule za Msingi na Sekondari Vijijini ambapo katika hali isiyo ya kawaida alipofika Kijiji cha Chengena kwenye msako wa nyumba kwa nyumba amebaini uwepo wa Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya (33)...
  8. Richard

    JamiiForums Tanzania Pakistan yamuita nyumbani balozi wake kutoka Iran na balozi wa Iran Pakistan alieko likizo Iran hatoruhusiwa kurudi kazini

    Pakistan imemuita nyumbani balozi wake alieko nchini Iran na pia imesema haitomruhusu balozi wa Iran alieko nchini Iran kwa likizo kutorudi Pakistan. Uamuzi huo wa serikali ya Pakistani umetolewa baada ya jeshi la mapinduzi la Iran (IRG) kufanya mashambulizi ndani jimbo la Balochistan lililoko...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Watu waanza kurudi kwenye majumba yao Gaza ya kaskazini huku majeshi ya Israel yakiondoka kwa kasi.

    Huku kesi dhidi ya Israel iliyofunguliwa ICJ na Afrika kusini ikinguruma kule Gaza ya kaskazini wananchi wameanza kurudi majumbani mwao kutoka kila upande walikokimbilia Hayo yanatokea wakati hakuna hata lengo moja la vita lililowekwa na Israel ambalo limetimizwa. Zaidi ya hayo kuna hali...
  10. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani umeshawahi kufika na hautamani kurudi tena?

    Kuna mikoa unaenda mara unatishika, watu wanachomana visu, kila bar lazima ugomvi utokee. Wasichana wanavuta bangi, wanapigana na punda hadi punda anakufa. Arusha sina hamu
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nasikia harufu ya Chid Benz kurudi tena kwenye chat

    God bless. Mashabiki wa Ninja tumefurahi sana kwa alicho kifanya mwamba kwenye mkwaju Nasikia harufu. Huyu ndio Chidy tulie mjua. Chidy umefunika sana kwenye hilo goma. Kwa ulicho kifanya Chidy kwenye hilo Goma kama ni mchezaji basi we Pacome. Simu ziite simu ziite. # Maurine sio mtamu...
  12. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Wahaya nao wameanza kurudi nyumbani Krismasi

    Wasomi na wafanyabiashara wakubwa toka kabila la Wahaya wameanza utamaduni wa kurejea nyumbani Bukoba kama wanavyofanya Wachaga. Wengi wanatokea nje ya nchi (New York, Washington DC, Geneva, Paris, London, Sydney, Stockholm, Copenhagen) na hapa nchini wengi wanaishi Jijini Dar es Salaam, Dodoma...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Waliomkimbia Magufuli na kujenga wazo la kurudi baada ya Samia kuwa madarakani, wamefuta wazo la kurudi sababu as time goes on tyranny rule dominates

    Wengi hasa waliokimbia ukatili wa Magufuli, na watanzania kwa ujumla walijenga matumaini ya utawala bora mara baada ya Samia kuingia madarakani. Sasa matumaini yamepotea kutokana na undemocratic, tyranny rule now becoming quite prevalent! Watu wamepoteza matumain hasa baada ya Samia kukataa...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ili uende kazini na kurudi lazima uandae elfu 10 ya usafiri pamoja na chakula. Maskini hana chake hapa nchini

    Naandika hii mada nikiwa na uchungu moyoni. Sasa hivi nina miezi kama 4 hivi natumia Daladala kwenda na kurudi kazini na mara chache, tena chache sana huwa natumia bodaboda kazini mpaka home, home mpaka kazini. Kutoka Nyumbani mpaka kazini nikipanda bodaboda direct ni elfu 15. Go and return...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Nyakati ngumu mbele yetu ila tusikubali kurudi nyuma kamwe!

    Wasalaamu wadau wa JF, Kama taifa zipo nyakati tutapaswa kuzipitia zipo nyakati ngumu tutapaswa kuzipitia. yapo ya kujitolea na wapo wa kujitolea kama wana Taifa ili tu Taifa lisonge mbele. Ipo hivyo na itaendelea kuwa hivyo! Cha muhimu na muhimu zaidi ni kuendelea kujitolea kwani tunayo...
  16. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wachaga kurudi kwao Kilimanjaro kila ifikapo mwisho wa mwaka ni jambo zuri na la kuigwa na makabila mengine

    Niwapongeze sana wachaga kwa utaratibu wao wa kukutana kila ufikapo mwisho wa mwaka, Sababu zao kukutana ni kama ifutavyo 1. Kukutana na kuonana live ndugu jamaa na marafiki baada ya kupotezana kwa takribani mwaka mzima kwenye harakati za utafutaji. 2. Kusherehekea kumaliza mwaka salama kwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhakika wa Mwigulu Nchemba kurudi Iramba?

    Baada ya kufuatilia kwa kina siasa za kimajimbo na kuangalia nyadhifa za kiwaziri nikagundua kuwa tangu kuanze kwa utawala wa kibunge ni Mbunge mmoja tu aliwahi kushika nafasi ya ubunge kwa miaka 2o Jimbo la Iramba - na hasa Iramba Magharibi ambaye ni aliyewahi kuwa Waziri wakati wa kipindi cha...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wapalestina kusini ya Gaza wavunja ngome za Israel na kurudi Kaskazini

    Muda mfupi baada ya kusitishwa kwa vita kunakotarajiwa kuendelea kwa siku 4 makundi ya wapalestina waliotiii amri ya kwenda kusini ya Gaza walionekana kuandamana kutaka kurudi makwao. Jeshi la Israel lilisema watu hao hawatakiwi kuvuka barabara kuu ya Salahudin inayoigawa Gaza ya kusini na ya...
  19. snipa

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Open AI imetangaza kuwa aliyekuwa CEO Sam Altman amekubali kurudi kazini

    Aliyekuwa CEO wa Kampuni ya Open AI ambayo imejikita katika masuala ya akili Bandia Bwana Sam Altman Amekubaki kurudi Tena kuiongoza Kampuni hiyo baada ya kufukuzwa kazi siku chache zilizopita. Ikumbukwe baada ya Sam Altman kufukuzwa kazi Kampuni hiyo imejikita ktk changamoto kubwa ikiwemo...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tukiachana na wachaga, Kuna kabila lingine lina utamaduni wa kurudi na kujumuika kwenye vijiji vya mizizi yao nje ya misiba?

    Ni utamaduni unaonishangaza sana, kila ikifika december wiki 2 za mwisho Wachaga wa nje ya mikoa na nje ya nchi hukusanyika pamoja kwenye sehemu za asili zao huko Kilimanjaro. Kwa miaka kadhaa nishazoea kuona status za wachaga watatu wanaoishi nje ya nchi wanapost status wamerudi, Yupo anaeishi...
Back
Top Bottom