Katibu mkuu wa wizara ya Utamaduni, sanaa na Michezo Gerson Msigwa, amesema timu ya taifa "Taifa Stars" itarudi nchini kwa makundi na sio kwa pamoja
"Kuna changamoto kidogo ya usafiri. Hatukufanikiwa kupata tiketi za timu nzima kwa mara Moja kwahiyo walioanza kuwasili nchini jana ni wachezaji na viongozi 15. Kuna baadhi yao watafika Leo wengine kesho. Nadhani kundi la mwisho watawasili kesho. Pia kuna wachezaji ambao wamerejea Moja kwa Moja kwenye nchi ambako timu zao wanazochezea" amesema Gerson Msigwa
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1