Lyambalyetu

JF-Expert Member
Apr 6, 2021
265
240
Baada ya kufuatilia kwa kina siasa za kimajimbo na kuangalia nyadhifa za kiwaziri nikagundua kuwa tangu kuanze kwa utawala wa kibunge ni Mbunge mmoja tu aliwahi kushika nafasi ya ubunge kwa miaka 2o Jimbo la Iramba - na hasa Iramba Magharibi ambaye ni aliyewahi kuwa Waziri wakati wa kipindi cha Mwinyi - yaani Nalaila Kiula. Huyu mzee kwa siku hizi sijawahi kumsikia tena ingawa kuna wakati niliwahi kumwona akishiriki katika Ibada Kanisa la Mchungaji Mama Rwakatare.

Je, Dkt. Mwigulu anaweza kufikia historia ya huyu Mzee kwenye ubunge katika jimbo hili ambalo watu wake hawapendi dharau na ni maskini jeuri? Kwa mwaka 2020 Mwigulu kiukweli kabisa na mimi nikiwa shahidi wa namna tulivyompitisha aliiba kura kuanzia zile za maoni kwani ni ukweli dhahiri bayana kuwa alishindwa kura hizo.
 
Je Dr Mwigulu anaweza kufikia historia ya huyu Mzee kwenye ubunge katika jimbo hili ambalo watu wake hawapendi dharau na ni maskini jeuri? Kwa mwaka 2020 Mwigulu kiukweli kabisa na mimi nikiwa shahdi wa namna tulivyompitisha aliiba kura kuanzia zile za maoni kwani ni ukweli dhahiri bayana kuwa alishindwa kura hizo.
Mzee Kiula,ni marehemu,Sasa ,alifaruki mwaka Jana! Ila nyie mtamwangusha Mwigulu Kwa ubavu upi!
Akiwaambia nyimbo za Kinyiramba tu mnalewa!
 
Baada ya kufuatilia kwa kina siasa za kimajimbo na kuangalia nyadhifa za kiwaziri nikagundua kuwa tangu kuanze kwa utawala wa kibunge ni Mbunge mmoja tu aliwahi kushika nafasi ya ubunge kwa miaka 2o Jimbo la Iramba - na hasa Iramba Magharibi ambaye ni aliyewahi kuwa Waziri wakati wa kipindi cha Mwinyi - yaani Nalaila Kiula. Huyu mzee kwa siku hizi sijawahi kumsikia tena ingawa kuna wakati niliwahi kumwona akishiriki katika Ibada Kanisa la Mchungaji Mama Rwakatare.

Je, Dkt. Mwigulu anaweza kufikia historia ya huyu Mzee kwenye ubunge katika jimbo hili ambalo watu wake hawapendi dharau na ni maskini jeuri? Kwa mwaka 2020 Mwigulu kiukweli kabisa na mimi nikiwa shahidi wa namna tulivyompitisha aliiba kura kuanzia zile za maoni kwani ni ukweli dhahiri bayana kuwa alishindwa kura hizo.

Nimesoma na kutafakari andiko lako bilashaka unatamani Mwigulu Nchemba arudi tena Iramba na nikutoe shaka na kukurekebisha kwamba Mwigulu yupo Iramba na ndiye Mbunge halali wa Iramba ! Kurudi tena kivipi wakati ndiye Mbunge wa Iramba na wana Iramba wanafuraha kuwa na kiongozi kama yeye hapa pata kutokea kuwa na Waziri aliyeshika wizara Muhimu katika Nchi hii kutokea Iramba kama Mwigulu Nchi inamhitaji Mwigulu Nchemba sio Iramba tu ndugu !

Iramba kwa Mwigulu Nchemba ni njia tu kuelekea kuliongoza taifa letu la Tanzania kama afanyavyo sasa kuwa Waziri wa Fedha kwenye nyakati ngumu kama hizi sio mchezo lakini Mwamba anapeta tu anaenda tu hakwami hakika Iramba ina kila sababu ya kujivunia kuwa na mtoto wao Kipenzi kabisa na mwenye akili kama Mwigulu !

Nadhani andiko lako lingekaa namna hii ingependeza sana tunamhitaji Mwigulu Nchemba sana
 
Mwigulu ndio chaguo letu sisi, nyie wa mbali mtuache. Nikifananisha mabadiliko ya kiuchumi kwa wakati wa nchemba na hao wengine bado naona mwigulu kawafunika wengine na bado atakuwepo.
Mfano gani wa maendeleo aliyoleta! Mwigulu ni hamna kitu bhana! Acha kudanganya humu!
 
Katika kujadili mada moja inayomhusu Dr. Mwigulu Nchemba mchangiaji mmoja kadai kuwa "Iramba kwa Mwigulu Nchemba ni njia tu kuelekea kuliongoza taifa letu la Tanzania" - kwa maana ya kuwa wanaIramba wana uhakika Dr. wao Mwigulu Nchemba ni lazima aje awe Rais wa Tanzania!

Waaambie wasubiri utaratibu
 
Nasikia 2020 kwenye kura za maoni alimwibia kura yule aliyekuwa katibu mkuu nishati na na madini David Jairo siju Kuna ukweli kiasi gani?
 
Back
Top Bottom