Wafanyakazi 90% wa Bandarini sasa kupoteza ajira?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Salaam Wakuu

Teknolojia ya bandarini haitamuacha mtu salama. Inabidi watu wakarudi kusoma pale chuo cha bandari Temeke ambacho kinaenda kuwekewa vifaa vya kisasa vya kufundishia.

Hivi karibuni Kampuni ya AD Ports Group ilisaini mkataba na kampuni ya Adani na SEZ Ltd kwa ajili ya uwekezaji wa pamoja wa kimkakati unaohusisha reli, huduma za baharini, uendeshaji wa bandari, huduma za kidijitali, eneo la ukanda wa viwanda na uanzishaji wa vyuo vya elimu ya baharini hapa nchini.

Yaani sasa Bandari za Tanzania kuwa za kisasa na za mfano Afrika. Mitambo tu ndo inayofanya kazi.

Rais Samia(Mwanamke Shupavu) alienda kutafuta wawekezaji huko United Arab Emirates (UAE) na wameonesha nia kuwekeza.

Sasa utakuwa ukienda Bandari hukutani na mtu, Mitambo tu ndo itakuwa inapishana. Wewe unasubiri getini mzigo wako unaletwa na gari lisilo na dereva.

Sasa zile nyodo za bandarini kuisha.

Zamu anaingia mdada mdogo tu na remote control.

Tayari Bandari ya Dar ishaanza kupanuliwa na kuondoa mchanga ili Meli kubwa ziingie.

Kwa wale Matomaso ambao hawaelewi hadi picha, angalieni hapa chini kazi zitavyo fanyika

View attachment 2642656
View attachment 2642657
kusacrifice hao wachache ili tupate mapato kuna hasara gani? wakose kabisa ili bandari iendeshwe kwa ufanisi. kwani hawajachuma?
 
Hatari sana hatuna budi maendeleo ni muhimu kama yataleta mabadiliko na kuboresha ufanisi tuadopt tu..
 
Salaam Wakuu

Teknolojia ya bandarini haitamuacha mtu salama. Inabidi watu wakarudi kusoma pale chuo cha bandari Temeke ambacho kinaenda kuwekewa vifaa vya kisasa vya kufundishia.

Hivi karibuni Kampuni ya AD Ports Group ilisaini mkataba na kampuni ya Adani na SEZ Ltd kwa ajili ya uwekezaji wa pamoja wa kimkakati unaohusisha reli, huduma za baharini, uendeshaji wa bandari, huduma za kidijitali, eneo la ukanda wa viwanda na uanzishaji wa vyuo vya elimu ya baharini hapa nchini.

Yaani sasa Bandari za Tanzania kuwa za kisasa na za mfano Afrika. Mitambo tu ndo inayofanya kazi.

Rais Samia(Mwanamke Shupavu) alienda kutafuta wawekezaji huko United Arab Emirates (UAE) na wameonesha nia kuwekeza.

Sasa utakuwa ukienda Bandari hukutani na mtu, Mitambo tu ndo itakuwa inapishana. Wewe unasubiri getini mzigo wako unaletwa na gari lisilo na dereva.

Sasa zile nyodo za bandarini kuisha.

Zamu anaingia mdada mdogo tu na remote control.

Tayari Bandari ya Dar ishaanza kupanuliwa na kuondoa mchanga ili Meli kubwa ziingie.

Kwa wale Matomaso ambao hawaelewi hadi picha, angalieni hapa chini kazi zitavyo fanyika
View attachment 2642656
View attachment 2642657
kwa sisi wasomaji wa nukta tu nukta naanza kwa kusema umeandika kwa chuki.Pili hayo yote unayosema unaongea ukiwa nje ya bandari angalau mara nyingine uwe unauliza tunakupa uhalisi wa ndani jinsi ulivyo. Kwa kitu ulichozungumza ni kweli teknolojia ni nzuri ila nikwambie tu kwa bandari zetu za Tanzania ichi unachosema bado sana namalizia bado sana.....Ukitaka uongee kitu jaribu kuwa hata na chembe ya research.

NB; Hayo yanaweza fanyika kama bandari akipewa muwekezaji na awe amejipnga na kimakubaliano ya mkataba kwa pande zote mbili.
 
Wafanyakazi 90% wa Bandarini sasa kupoteza ajira kwa sababu ya wasomi wawili Musukuma na Saa100!!!
 
safi sana ngoja mitanzania akili iikae sawa
 
kwa sisi wasomaji wa nukta tu nukta naanza kwa kusema umeandika kwa chuki.Pili hayo yote unayosema unaongea ukiwa nje ya bandari angalau mara nyingine uwe unauliza tunakupa uhalisi wa ndani jinsi ulivyo. Kwa kitu ulichozungumza ni kweli teknolojia ni nzuri ila nikwambie tu kwa bandari zetu za Tanzania ichi unachosema bado sana namalizia bado sana.....Ukitaka uongee kitu jaribu kuwa hata na chembe ya research.

NB; Hayo yanaweza fanyika kama bandari akipewa muwekezaji na awe amejipnga na kimakubaliano ya mkataba kwa pande zote mbili.
Mungu akusaidie ujue kujenga hoja bila matusi. Hakika nimeamini kuna watu vichwa vyenu vimejaa kamasi tu
 
Wapo watu wengi sana hawana ajira mtaani nadhani wanaenda kuongeza idadi hiyo.
Lakini labda ubinafsishaji huu usipokuwa kama ule wa Mashamba ya mpunga kule mbarali huwenda utawaletea wasio na kazi Ugali mezani
 
Salaam Wakuu

Teknolojia ya bandarini haitamuacha mtu salama. Inabidi watu wakarudi kusoma pale chuo cha bandari Temeke ambacho kinaenda kuwekewa vifaa vya kisasa vya kufundishia.

Hivi karibuni Kampuni ya AD Ports Group ilisaini mkataba na kampuni ya Adani na SEZ Ltd kwa ajili ya uwekezaji wa pamoja wa kimkakati unaohusisha reli, huduma za baharini, uendeshaji wa bandari, huduma za kidijitali, eneo la ukanda wa viwanda na uanzishaji wa vyuo vya elimu ya baharini hapa nchini.

Yaani sasa Bandari za Tanzania kuwa za kisasa na za mfano Afrika. Mitambo tu ndo inayofanya kazi.

Rais Samia(Mwanamke Shupavu) alienda kutafuta wawekezaji huko United Arab Emirates (UAE) na wameonesha nia kuwekeza.

Sasa utakuwa ukienda Bandari hukutani na mtu, Mitambo tu ndo itakuwa inapishana. Wewe unasubiri getini mzigo wako unaletwa na gari lisilo na dereva.

Sasa zile nyodo za bandarini kuisha.

Zamu anaingia mdada mdogo tu na remote control.

Tayari Bandari ya Dar ishaanza kupanuliwa na kuondoa mchanga ili Meli kubwa ziingie.

Kwa wale Matomaso ambao hawaelewi hadi picha, angalieni hapa chini kazi zitavyo fanyika
View attachment 2642656
View attachment 2642657
Figgis nigga! You are extremely brilliant Mkuu! Huu ndio ukweli halisi! Wafanyakazi wa Bandari kama ham kujipanga mapema anzeni mapema kujiandaa kurudi mtaani na hizo pesa mtakazolipwa zitumieni vyema.

Tena kwa ushauri waondolewe wote isibaki hata chembe kwani wataanza kuloga mitambo!
 
Back
Top Bottom