Watu kadhaa wahofiwa kufariki baada ya Lori lenye kontena kuparamia wafanyabiashara

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,115
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya lori lenye kontena kufeli na kuparamia wafanyabiashara na kwenda kuingia moja kwa moja kwenye jengo lenye ofisi za michezo ya kubahataisha katika eneo la Yombo Vituka Mwisho wa Lami.

Ajali hiyo imetokea hii leo Juni 13, 2023, na majeruhi wanaendelea kuchukuliwa kupelekwa hospitali. Taarifa zaidi kufuata

20230613_175810.jpg
 
Utasikia ni kafara kumbe malori yanaletwa ni mtumba
Kuna hizi lori za town trip Kama Madina,zimevamia Sana majumba ya watu hasa maeneo ya ufundi au kisababisha jam barabara ya kilwa miaka ya nyuma.

Hizi gari kama unaendesha gari yako ndogo na unataka kuovertake kuwa makini hasa maeneo ya round about mfano pale uhasibu. Mistake ndogo tu tunatandika turubai na kuimba niagieni.
 
Hahahaha eti kubeti kwamba mungu kachukia kamari kaona isiwe kes ngoja niwahukumu kabisa au kuna jamaa Katapeli pesa ya mjane kaenda kubetia hapo
 
Doh!

Na vijiwe vya kubet vinavyojaza watu kama vibanda umiza vile...
 
Back
Top Bottom