Kifo cha Diamond Platnumz kinaweza kupoteza Mamia ya watu pamoja na Muziki wa Tanzania

Rwetembula Hassan Jumah

Senior Member
Jan 25, 2023
140
188
Naseeb Abdul Jumah.... a.k.a Diamond Platnumz ni icon Tanzania kipengere cha Muzik, Ni kijana ambaye anatakiwa angaliwe na serikali kwa upana maana hata serikali yenyew imeblooh anajiongeze sio utani.

Mbali na kumiliki anavyovimiliki chibu dangote yuko na team sahihi kabisa isikuwa na mchezo kwenye kazi inapiga kazi pamoja na kujituma mix kulinda brand.

Diamondplatnumz, sio mfano wa kuigwa tu bali amewasaidia vijana na wengi pamoja na watu wasiojiweza mbali na kutangaza au kuonesha video za kusaidia ila ni kwasababu ya upendo.

Bi sandra, alifanya kazi ya ziada mpaka Chibude anafika hapa halipo.. mbali na Watanzania kumsapoti Diamondplatnumz ila nguvu zake na uthubutu ndo mkubwa. Alijikubali mwenyew mwisho akakubalika.

MWENYEZI MUNGU AMZIDISHIE ALIPOTOA AONGEZEWE ZAIDI.

Headline imekutoa jasho 😁💫

Screenshot_20230423-192244_Instagram.jpg
 
Who is he? Watu maarufu wafalme, marais, etc walikufa na maisha yapo kama kawaida, au ww pumbaf nn
 
Back
Top Bottom