kupoteza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Raila Odinga: Nilikwenda Zanzibar kuondoa mshtuko wa kupoteza Uchaguzi

    Aliyekuwa Mgombea Urais wa Azimio la Umoja Raila Odinga alieleza kwamba alisafiri kwenda Zanzibar pamoja na familia yake yote ili kupata nafuu baada ya kushindwa Uchaguzi wa Agosti 9, 2022. Waziri Mkuu huyo wa zamani alibainisha kuwa safari ya nje ya nchi ilikuwa muhimu kuwezesha familia yake...
  2. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii, chanzo cha maovu na kupoteza uelekeo kwa vijana

    Habari ndugu mwana Jamii Forum, haswa wa Jukwaa la ‘Stories of Change’ ni matumaini yangu u mzima wa afya, karibu katika chapisho hili. Andiko hili litajikita katika kuelezea jinsi gani matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii yameweza kuleta athari pamoja na matokeo hasi katika jamii zetu, bila...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Juma Mgunda jiandae kupoteza kibarua chako endapo utaendelea kupanga kikosi kwa mujibu wa Matola

    Ahlan Uzi unaenda moja kwa moja kwa kocha Mgunda,nafuatilia mtanange wa simba dhidi ya prisons kupitia azam max nikiwa jijini Ljublijana hapa nchini slovenia.Nikiangalia kikosi cha simba naona wazi kuwa kocha Mgunda anapangiwa kikosi na msaidizi wake Matola. Hivyo ajiandae kabisa kutimuliwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake Wengi huogopa kupoteza usichana wao kwa kuhofia siku ya kwanza ya ndoa yao na si kuwa na hofu ya Mungu

    Mambo vipi Sina uwandish mzuri ila nadhan nitakuwa nimeeleweka kwenye ili. Sio wanawake wote wanaotunza bikra kwa sabab ya hofu ya Mungu wengi wao huogopa kupoteza usichana wao kabla ya ndoa kwa kuhofia endapo wataolewa na mtu tofaut ambae aliemtoa usichana wake. Mwanamke hupitia wakat mgumu...
  5. emmarki

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa karne ya 21 tunaendelea kupoteza uanaume wetu (masculinity)

    Wanaume haswa vijana wa kiume tuwe na mjadala mkubwa ni wapi jamii inapokosea kuandaa mtoto wa kiume kuchukua ile nafasi yetu tuliyopewa na God ya "mwanaume utakuwa kichwa". Kuna mambo personal nimeyaona na yanendelea kufanyika na yamekuwa kama kawaida kwenye jamii ambayo yanampa uanume...
  6. Innocent Ngaoh

    JamiiForums Tanzania SoC02 Makosa Saba (07) yanayopelekea Kupoteza Fedha zako

    Emmanuel Olumide mwandishi wa vitabu kutoka Nigeria aliandika kitabu cha “50 common money mistakes” kitabu ambacho ameelezea makosa hamsini (50) ambayo watu wengi hufanya kwa kujua au kutojua na kupelekea kupoteza fedha zao, inawezekena kabisa unapata fedha lakini hujui wapi fedha zako...
  7. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Viongozi kupiga picha na makarani baada ya kuhesabiwa, je sio kupoteza muda Au walikuwa spesho kwa ajili yao tu?

    Naomba kwa wenye fikra yakinifu zisizoegemea upande wowote, wanisaidie kujibu hili swali. Maoni yawe ni baada ya kuhesabiwa na sio wakati zoezi likiendelea
  8. F

    JamiiForums Tanzania Ajali za barabarani zimezidi kupoteza Maisha ya Watanzania. Hatua madhubuti zichukuliwe kudhibiti

    Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan naomba kukuomba uchukue hatua madhubuti na za makusudi katika kudhibiti ajali za barabarani hapa nchini kwani zimekuwa zikigharimu Maisha ya watanzania. Leo Mbeya, Sengerema , juzi juzi hapa watoto wa shule huko Mtwara...
  9. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Walienda Egypt kupoteza hela na muda

    Bila shaka msimu huu anachukua utopolo tena, Mpira ni science sio sifa sifa na kuleta makocha wabovu. Yanga wako compact sana na wameongeza watu wachache, hivi game Kama hii unamuanzisha Mwenda ambae amekosea na kuzingua tokea kipindi cha kwanza, unamuanzisha Kyombo, kweli jamani unamuacha...
  10. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya nane nane yanaendelea kupoteza mvuto mwaka hadi mwaka

    Maonyesho haya maalum kwa ajili ya wakulima na wafugaji ambayo hufanyika kila mwaka yanaendelea kupoteza mvuto wake tofauti na ile miaka ya uanzishwaji wake Yan 95,96 na kuendelea. Lakini kuanzia miaka hii ya 2000 katikati hali ni tofauti na miaka ya nyuma. Wamachinga kwenye maonyesho...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mzee anategemea kupokea kiinua mgongo, lakini simwelewi elewi kabisa

    Kwanza niwasalimu ndugu zanguni wapendwa. Kiukweli naona kuna mambo kadhaa nahitaji ushauri wenu. Mzee anastaafu mwezi ujao tu. So nimeona ni wakati muafaka nami kupanga bajeti. Kwa mzee salary aliyokuwa anapokea ni kama mil 7 kwa mwezi. Pia ana miradi yake kadhaa so maisha hayasumbui. Je...
  12. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi kasumba ya kielimu, inavyochangia kudidimiza na kupoteza vipaji vilivyoonekana kukirimiwa kwa baadhi ya watu

    By Abou Twika 0784327893 Awali ya yote, nianze kwa kuwasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Ni imani yangu mu kheri wa afya, na wale wote tuliye na maradhi inshallah, kwa neema zake rabuka atatupa mrejesho wa afya zetu. Twendeni pamoja kwenye mada isemayo, ni jinsi gani kasumba...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kocha Yanga anataka kumaliza msimu bila kupoteza mechi

    Baada ya Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2021/22, Kocha wa timu hiyo, Mohamed Nabi amesema kuwa wataendelea kupambana ili wamalize ligi bila kupoteza mchezo hata mmoja “Nafurahi tumetwaa ubingwa, haikuwa kazi rahisi, lengo letu ni kuhakikisha hatupotezi mchezo hata kama...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mkono kupoteza hisia baada ya ajali ya gari

    Habari za mida hii. Nina mdogo wangu wa kiume umri miaka 24 ni dereva, miezi minne iliyopita alipata ajali ya gari, alipata mikwaruzo mwilini pia akavunjika mkono wa kulia (mfupa mmoja wa chini na mfupa wa juu). Akawekewa POP kwa wiki sita, ila mpaka sasa mkono huo wa kulia hawez...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mzanzibari hana cha kupoteza wala hawezi kupatwa uchungu Ngorongoro ikiuzwa, Tanzania bara tupambane na hali zetu

    Ndivyo hali ilivyo, hata mama wa kambo akilea watoto ambao sio wake haoni taabu hata kuchukua nguo zao na kuzigawa, ila hawezi fanya hivyo kwa watoto wake. Mwisho wa siku hata hii ngorongoro ikiingia rasmi mikononi mwa huyo mwekezaji, Zanzibar haiwezi kuathirika ila ni sisi bara ndio tunaisoma...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ni Wendawazimu kujificha kwenye Kichaka Cha Dini. Ni kupoteza Uelekeo na kufunika Kichwa Ardhini Ukidhani wenye akili Hatukuoni

    assalaam alaikum wa rahmatullahi wabalakatuh... huu naandika nikiwa nimekasirishwa na matukio ya watu kadhaa kuamua kujificha katika dini ili kudendeleza tabia cao chafu za njaa, unafiki na chuki. ni aibu kuwa sasa hivi kama Mtu atamkosoa Rais Samia itadaiwa ni sababu ya Dini yake. Huu ni...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Selfom Ya TAMISEMI haina maana yoyote ni kupoteza muda tu

    Binti angu machaguo yote alijaza CBG chakushangaza amechaguliwa HGL kombi ambayo hakuchagua kabisa wala kuijaza sasa nini maana ya kujaza selfom?
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania UK na US waanza kupoteza askari Ukraine wakati Urusi ikikazia kutumia Nyuklia

    Msemaji mkuu wa chombo cha habari cha Urusi RT bi Margarita Simonyan, amesema wakati mataifa ya Nato yakitafuta kuishinda Urusi katika vita lakini wajue kuwa Urusi haitakuwa na njia nyengine isipokuwa kuangamiza sehemu iliyobaki ya Ukraine kwa sialaha za nyuklia. Wakati huo huo Marekani na...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour Zanzibar, Arusha na Dar es Salaam ni kupoteza muda na Gharama

    Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour Marekani ni sahihi kabisa ila kuzindua Filamu Zanzibar, Arusha na Dar es Salaam ni kupoteza muda. Kama serikali ilikua serious ilipaswa filamu hiyo baada ya kuzinduliwa Marekani, ikazinduliwe Ulaya na Kisha Asia kama Japan, China, South Korea, Malaysia...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kujipa matumaini kwa historia kwamba tuna akili kuliko wazungu ni kupoteza muda.

    Pichani ni Eiffel Tower huko Paris, Ufaransa kwa picha ya mwaka 1900 na 2017. Picha inajieleza jinsi gani wazungu walikuwa mbele sana kimaendeleo. Kama unabisha tafuta picha ya Dar es Salaam ya mwaka 1900. Mimi nadhani tuachane na historia za kusema tuna akili kuwazidi wazungu. Huko ni...
Back
Top Bottom