Binafsi nashauri kigezo pekee cha kupata passport kiwe ni kuwa na kitambulisho cha NIDA tu. Tukiendelea na urasimu uleule hatutaitumia hii fursa vizuri. Watu kibao wanafanyabiashara Kenya ila shida ni utambulisho.
Nina jamaa zangu Wamasai walikuwa wanapeleka sandals Kenya ila wanasema walikuwa...
Inategemea umekamatwa kwa kosa gani, kwa mfano ukikamatwa kwa makosa ya mauaji, Uhaini, makosa ya kutakatisha pesa, kunajisi, wizi wa kutumia silaha kufanya biashara ya madawa ya kulevya au ugaidi miongoni mwa makosa mengine huwezi kupata dhamana.
Ikiwa umekamatwa kwa tuhuma za makosa mengine...
Amani iwe nanyi wadau,
Kama nilivyosema kwenye kichwa cha mada yangu hapo juu, Ukizielewa vyema Siasa za Tanzania , huwezi kupata tabu, na kwa siku chache alizokaa madarakani, napenda kusema Mama Samia amezielewa siasa za Tanzania vizuri sana, hivyo napenda kusema wazi, inawezekana kwenye...
Wanajamvi mwaendeleaje wanangu?
Katika hotuba kwa Bunge na Seneti la Kenya, Rais Samia Suluhu alikaririwa akisema eti Wanyama wa Tanzania huenda kupandwa na kupata mimba Kenya na kuzalia Tanzania.
Unaitafsirije kauli hii ambayo inaweza kuzua utata hata udume, ujike na kudharauliana?
Je...
Habari zenu wakuu,
Naomba msaada wa kujua aina gani ya Iphone ni nzuri ambayo bei yake ni kati ya laki 5 mpka laki 6? Simu ambayo ina storage kubwa (64GB above) na camera yake ni nzuri. Itapendeza zaidi nikipewa chimbo zuri la kuipata Dar.
Asanteni.
Leo ahsubuhi wakati naenda kuoga nimeteleza na kuanguka kwa kishindo kikubwa nikiwa ndani chooni.
Nina afya nzuri kabisa. Sina pressure, wala tatizo la moyo.
Kuna dhana kwamba ukianguka chooni, unaweza kufa au kupata matatizo. Naona wife anahema sana. Kuna ukweli wowote kwenye hili?
Mshana Jr
Habari zenu wakuu.
Naomba kujua sehemu gani hapa Dar es salaam naweza kupata ribbon za kwenye typewriter maana nimezunguka katika stationary kadhaa sijapata hizi vitu.
Unapoizungumzia Zanzibar usiangalie udogo wake kijiografia au idadi ya watu bali tazama maarifa waliyo nayo vichwani mwao.
Tanganyika ni kubwa na ina raia wengi lakini ndiko walikojazana walugaluga, washamba wa madaraka na vinara wa ufisadi wa rasilimali za nchi.
Hata hivyo Mungu ni mwema kila...
Sophia binti wa miaka 16 alipata ufaulu wa daraja la kwanza kwa point 17 katika ufaulu wake wa shule ya upili. Baba yake Sophia ni dereva serikalini na mama anafanya biashara ya chakula. Nyumbani wamezaliwa watoto watano na Sophia ni watatu kuzaliwa.
Nyumbani waliishi maisha ya kawaida...
Jf na wanachama wake ni mtandao mkubwa hivyo hatuwezi kufikiria namna ya kuisaidia Tanzania FDL maana imekuwa ligi ya kihuni na kwa kiasi kikubwa inachangia kuzorotesha hata vpl
Maana wachezaji wengi huwa wanatokea kule hata marefa huwa wanaanzia kule.
Ilikupunguza vurugu na upangaji was...
Wakuu Kesho nataka Kuingia Mzigoni Kupita Ofisi Moja Moja Hapa Jijini Dar Kutafuta Ajira hata ya Muda Mfupi Ili niweze kusongesha Gurudumu La Maisha. Nimeona niandike Thread Hii kupata Ushauri Ofisi Gan Nizipe kipaumbele na Nisiziache Kwa wenye Uzoefu.
Course: INFORMATION TECHNOLOGY...
Wakubwa Shikaamooni
Wadogo zangu Habari zenu.
Mimi ni Mwanamke sijaolewa na sina watoto.
Naishi na kumlea Mama yangu Mzazi ambae ni mtu mzima ananitegemea kwa kila kitu na watoto wa Marehem Kaka yangu ambao walikufa siku moja kwa ajali na Kaka yangu hao watoto wako 3 Yatima, wananitegea...
Wadau kwema,
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza yani ipo hivi naskia mara kuna kiwanja cha ndege kinataka kujengwa kuanzia Mwezi huu tarehe 30 ndo wanaanza hizo process, ila sijajua vibarua utaribu huwa unakuwaje? Ili kupewa kazi kwenye hizo tenda za ujenzi wa kiwanja cha ndege.
Nawaomba...
Mamalaka za Marekani zimesema wanaojitokeza kupata chanjo ya #COVID19 wamepungua sababu ikitajwa kuwa wengi wanasubiri kuona madhara ya chanjo hizo.
Kaunti ya Mercer iliyoko jimbo la Ohio imetolewa mfano kuwa mwezi Januari watu zaidi ya 500 walipokea chanjo ndani ya siku moja, idadi hiyo...
Nilikua na girlfriend wangu na tulibahatika kupata mtoto ila tulitofautiana hali iliosababisha kutokuishi pamoja. Sasa mwezi uliopita mwenzangu kapata mwenza lakini tulikua tunawasiliana kawaida kuhusu malezi ya mtoto.
Jana mumewe kanipigia simu ananiambia nisiwasiliane na mkewe, ishu zote...
Habari za weekend wanajamvi,
Nina tegemea kupata 4M ndani ya siku kadhaa zijazo kusema kweli natamani nifanyie jambo ili izalishe imebidi niombe mawazo kwenu wadau.
Matumizi ya kawaida ninayo lakini nimeona kuiwekeza ni wazo zuri zaidi.
Je , ama niwewe ungefanyia nini?
Nawasilisha.
Zaidi...
Wakuu naomba mwenye information ya wapi naweza kupata ufadhili wa wazo la biashara. Bado lipo kama wazo sijaanzisha chochote.
Ni app ya kujifunza wakulima nimeshakusanya materials zote nilipokwama ni kugharamia technology yake maana watu wa IT wamenipigia gharama inafika million 8 mpaka 10...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.