Wakati huo huko msanii wetu akawa anasema "BORA NIKAE KIMYA" yan kuna watu hawajui nafas zao kwenye jamii zao
Inafurahisha na kuhuzunisha
BET hakuna Wizi wa kura kama wa Ccm...Ingekua kura zenu zinaleta ushindi msingeshindwa uchaguzi mkuu kila awamu
Twende na Burna boy, halafu ni kijana wetu wa Tarime
Anaona akigawa pesa kwa barabara ndio jema kuliko kuisemea jamii ktk maswahibu yaoWakati huo huko msanii wetu akawa anasema "BORA NIKAE KIMYA" yan kuna watu hawajui nafas zao kwenye jamii zao