Kigezo cha mtoto mbaye amesoma private schools asipate mkopo si sahihi. Wazazi wengine wanakuwa wamestaafu, wameacha kazi, wamekufa etc, kutumia kigezo hicho ni kutowatendea haki.
Au pia uwezo wa biashara yake umekufa kama wakati wa Mwendazake biashara nyingi zilikufa na hazijafufuka/hazitafufuka.
HESLB liangalie upya hili la kigezo hicho.