kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 2

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata control number kwenye kujisajili loans board (helsb) 2021/22

    Ndugu zangu mwenye kujua anisaidie maana mimi najaribu ila sipati control number kwaajili ya kufanya malipo, tangu asubuhi mpaka usiku huu.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tuanze na hoja ya kuondoa kinga kwa mihimili yote

    Kwa mfumo uliopo in ngumu kupata katiba mpya na bora kabisa kama hatutakuwa na ajenda ya kwanza kupeleka mswada wa dharula bungeni kuondoa vipengele vya KINGA. KINGA zikiondolewa hata hii katiba iliyopo itaheshimika.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi: Katiba tuliyonayo ni madhubuti ndio maana imetuvusha tulipopata matatizo!

    Aliyekuwa mjumbe wa Tume ya katiba iliyoongozwa na Jaji Warioba na ambaye kwa sasa ni Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Kabudi amesema Katiba ya Tanzania ni madhubuti ndio maana imetuvusha tulipopata tatizo kubwa. Nawasalimu kwa jina la JMT! === Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata walau GB 10 za internet kwa siku kwa bei nafuu?

    N.B: NI KWAJILI YA MATUMIZI YA KUONGEZA ELIMU NA TAALUMA. Si ajabu wengi wakiwemo hata viongozi wanadhani internet ni kwajili ya upuuzi tu maana wengi kwenye hutumia internet kufanya vitu visivyo na faida mfano kudiscuss umbea kwenye magrupu, kufanya umalaya, video za x, kuwa waraibu wa muvi...
  5. Yofav

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani nitapata namba ya NIDA?

    Habari za muda huu ndugu, Kaka,Dada na wengineo wengi mliomo humu JF. Ni jinsi gani naweza kupata namba ya NIDA au kitambulisho Cha taifa ikiwa wazazi wangu hawajajiandikisha NIDA Wala hawana vitambulisho Wala vyeti vya kuzaliwa na hawatilii maanani. Kwa mnaojua utaratibu Ni lazima niwe na...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda, jembe liliosahaulika pamoja na kuinyoosha Dar. Lilimpigia chapuo Samia Suluhu kupata Umakamu wa Rais

    Kila mtu atakubali kuwa huyu jamaa aliionyoosha Dar. Maana vibaka, wazembe wa kila aina, wauza unga na matapeli walikiona cha moto. Mbali ya hayo ni Makonda aliyempigia chapuo mama Samia awe makamu wa rais mwaka 2014 wakati bunge la katiba likiendelea mkoani Dodoma. Cha ajabu amesahaulika...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kivuli cha wanachama fulani hata kama wako sawa kinaharibu kupata katiba. Warioba anatosha

    Kwa mda mrefu mjadala wa katiba mpya umekuwa ukitumia pesa nyingi lakini masilahi ya vyama badala ya utaifa kwanza umekuwa kikwazo kupata katiba mpya. Yupo mzalendo Warioba ambaye akiongezewa wajumbe 19 nayeye wawe 20 tutapata katiba mpya isiyo na mvutano. Kwanza tutakuwa tumeokoa fedha nyingi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania kuna wagonjwa zaidi ya 100 wa Corona. Chanjo itakuwa ya hiyari

    Rais Samia amesema wafanyabiashara wengi wa Kitanzania wameshachanja chanjo ya Corona wengine Dubai, SA na Nairobi. Rais amesema baraza la mawaziri limekaa na kuamua tukubaliane na chanjo na iwe ni hiyari. Serikali imeshatenga usd 470 milioni kukabiliana na covid 19. Nawasalimu kwa jina la...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Zahanati yafungwa baada ya Muuguzi aliekuepo kupata ujauzito wananchi wahaha kupata huduma!

    Uvinza. Wakazi wa kijiji cha Chakulu, kata ya Uvinza wilayanii Uvinza wamelalamika kukosa huduma za afya baada ya zahanati wanayoitegemea kufungwa kwa zaidi wiki moja, hali inayosababisha usumbufu kwa wananchi. Hatua hiyo imekuja baada ya zahanati hiyo kuwa na wahudumu wa afya wawili, huku...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, hili Tangazo la Tigo linalotuhimiza kupata cha 'Asubuhi cha Tigo' TCRA na Serikali wamelibariki na kuona limekaa Kimaadili?

    Tuendeleeni tu Kuruhusu 'Upuuzi' na 'Uhuni' huu wa maneno yanayoashiria 'Ufirauni' kutumika na Makampuni ya Simu huku Serikali mkipokea Kodi yenu Kubwa na Maadili kwa Jamii na Kizazi kuzidi 'Kudidimia' tu. Kuna Kampuni nyingine nayo nimedokezwa inataka kuja na 'Promo' yake isemayo ' Ukitaka...
  11. Remy Tem

    JamiiForums Tanzania Je, discontinue anaweza kupata mkopo

    Jamani naomba mwenye uelewa wowote juu ya jambo hili anisaidie,Je discontinue student anaweza tena kupata mkopo kutoka heslb na ilishaawahi kutokea hivo? ahsanteni
  12. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Warning: Epuka kuingia kwenye mahusiano yeyote kwa nia ya kupata ndoa utakuja kuumia

    Sio kila mwanaume au mwanamke anaingia katika mahusiano na wewe ana nia ya kuolewa na wewe hapana kuna wengine wanakuja kupunguza stress, wengine wanakuja kwa sababu they need financial support, wengine wako broked na wengine wamekuja kuzuga tuu siku mtu wake anampenda akizingua tuu basi awe na...
  13. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata simu hii (Nokia 1680c)?

    Kama heading inavyojitanabaisha ninatafuta simu hii inayoitwa Nokia 1680c ambayo ilitoka mwaka 2008.Niliwahi kutumia simu hii kuanzia 2009 mpaka 2013. Ilikuwa ni simu nzuri kimuonekano, kitendaji na kiumadhubuti. Badala ya kuwa na simu ndogo zisizoeleweka kama tecno au itel nimeona ni bora...
  14. S

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Is it true that the telecast of covid-19 horrible situation in Uganda is just a propaganda?

    ABOUT THE FOOTAGE below:- In Uganda, people of Kasese almost killed health officials following their illicit move of burying an empty coffin which they claimed to be carrying the Covid-19 dead body. This came after the long lived and widespread rumours in Uganda, that the government is...
  15. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Utatuzi wa Changamoto Kupata PF3 wakati wa ajali

    Wana jamvi, Ni miongo kadhaa sasa kwa mjibu wa sheria kila anayepata ajali ili apokelewe na kutibiwa na hospitali/zahanati au vituo vya afya ni sharti mgonjwa awe na Fomu iliyotolewa na kituo cha polisi alikoenda au kupelekwa kabla. Utaratibu huu umesababisha madhara makubwa ikiwemo vifo...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingi za kuweza kupata Katiba Mpya

  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Asome ipi kati ya kozi hizi ili kupata ujuzi na maarifa ya kujiajiri?

    Naomba tushauriane katika hili wakubwa. Asome ipi kati ya hizi ili kupata ujuzi na maarifa yenye matumizi 1. Post Graduate Diploma in Finance And Accounting 2. Bachelor of Business Administration 3. Bachelor of Computer Application
  18. S

    JamiiForums Tanzania Je, mkopeshaji anaweza kukamata mali ambayo mkopaji ameweika kama dhamana ya mkopo pasipo kupata idhini ya Mahakama?

    Habari wadau, Baadhi ya taasisi za kifedha zimekuwa na tabia ya kutishia ama kukamata mali ambazo wakopoja wameziweka kama dhamana. Swali langu ni je, iwapo mkopaji atashindwa kilipa mkopo wake kama walivyokubaliana katika mkataba wa kukopeshana, mkopeshaji anaweza kukamata mali ya mkopaji...
  19. Mtepa wa Mtepaza

    JamiiForums Tanzania Nina elimu ya Kidato cha nne naweza kupata scholarship nchini Canada?

    Habari zenu wadau wa jamii forum, samahani, kiu yangu ni kufanya kazi nje hasa nchi ya Kanada na elimu yangu ni kidato cha nne kwa ufaulu wa division 3 nimemaliza mwaka 2015 masomo ya sanaa,kulingana na tafiti yangu ndogo nimeona wengi hupitia kwa njia ya masomo ili kufika huko Je, kulingana na...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Majaji wanapatikana kwa mchakato gani Tanzania?

    Tanzania Majaji wanapatikanaje? Au Rais anaweza akamteua mtu yeyote kuwa Jaji? Sioni kama kuna mchakato wowote unaoihusisha mahakama kuwapata majaji. Naona kama serikali ndio walioshika nyenzo zote za majaji na ndio maana kadri siku zinavyokwenda idadi ya majaji wasiotokana na mfumo wa mahakama...
Back
Top Bottom