Tujitahidi kufanya mapenzi kila siku kwa dakika nne ili tupunguze hatari ya kupata Saratani?

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Mwaka jana Desemba niliwatembelea ndugu zangu jirani, katika mazungumzo waliniambia kwa Kinyankole ila nitasema kwa Kiswahili 'Vijana wengi wa huku kwetu wanafanya mapenzi na wake zao kila siku walau kwa dakika nne ili kupunguza hatari ya kupata ugonjwa wa saratani', na wamekuwa wakifanya kampeni kuhamasishana kufanya hivyo.

Suala hilo liliniingia hivyo nilivyorudi Tanzania nimeweka mkakati wa kuchakatana na mwenza wangu kila siku ili niwe sehemu salama. Situmii nguvu sana maana kuchakatana kila siku si jambo dogo.

Wakuu hivi inawezekana ikawa kweli au ndio namaliza nguvu zangu bure.

sex.jpg
 
Hahaha Sisi ambao Serikali ya CCM imetutenga na wapenzi wetu tunaruhusiwa kugonga HG??
 
Back
Top Bottom