kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania TABIA ZA KITAJIRI; Tabia za kuishi kila siku ili kupata utajiri, mafanikio na furaha

    Rafiki yangu mpendwa, Ninayo furaha kubwa kukukaribisha kusoma kitabu hiki cha TABIA ZA KITAJIRI. Ni furaha kubwa kwangu kwani kwa wewe kukisoma na kuchukua hatua, nakuwa nimetimiza na hata kuvuka wajibu wangu wa kushirikisha maarifa haya ambayo yana nguvu kubwa kwa yeyote anayeyaelewa na...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi ndani ya CHADEMA unatumia rushwa ili kupata viongozi watakaopambana kuleta katiba mpya ya kupinga rushwa na ufisadi

    Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha. Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana na rushwa. Chichi dodo
  3. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kupata Mishangazi ya JF

    Hizi mbinu ninazo wapa haimaanishi kwamba mimi binafsi nimezitumia au nilishawahi kuzitumia ila hii inatokana na uzoefu wangu mdogo humu jamvini Kwakuwa wanawake wanapenda mambo mazuri basi hupenda kuwa na wanaume ambao walau wako njema hata kama hawana pesa mingi kivile ili mradi wapate...
  4. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Halmashauri zitumie vyanzo hivi vipya kupata kodi endelevu kwa maendeleo ya nchi

    UTANGULIZI Halmashauri nyingi nchini zimekua zikitumia vyanzo vya mapato vile vile miaka yote, hakuna ubunifu wa vyanzo vipya, halmashauri nyingine zimekua mizigo kwa Serikali kwa kutegemea fedha nyingi kutoka Serikali kuu ili kujiendesha huku zikiwa na vyanzo vingi vya mapato ambavyo...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Naanza kupata hofu na stress sana, nina miaka 32 na familia haitaki nioe mwanamke mwenye mtoto

    Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee. Wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani familia yangu imeshanionya kuoa mwanamke mwenye mtoto. Yaani hapa sielewi, kazi ninayo kipato cha kati ninacho..
  6. Kishimbe wa Kishimbe

    JamiiForums Tanzania Ulalamishi kuhusu wabara kupata ardhi Zanzibar

    Ninadhani sasa ni muda muafaka wa kulijadili suali nililotaja kwenye 'heading' kwa kina, IKIWEZEKANA LIENDE BUNGENI!, maana naona kuna watu, kwa chuki zisizo na msingi, wameamua kulitumia suala hili kiuchochezi zaidi! HEBU WADAU WAJIULIZE TU KWANINI HAWAPEWI PLOTS KUJENGA 'NGORONGORO...
  7. moja mbili tatu

    JamiiForums Tanzania Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

    Wakuu, unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana, halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda vibaya. Hapa mi namaanisha mishangazi ya kuanzia miaka 45 na kuendelea.
  8. Brave_Idiot

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Free unlimited internet?

    Hivi ukiachana na maswala ya VPN coz huwaga yanazingua sana, Kuna njia yoyote nyingine ya kupata Free internet data. Mwenye ujuzi aniuzie, nataka niifanye fursa
  9. S

    JamiiForums Tanzania Watu wamekuwa waoga kutumia sukari kwa hofu ya kupata kisukari, lakini ukisoma kuhusu chanzo cha kisukari, sioni popote wanaposema sukari ndio chanzo

    Mimi si dakari wala mtaalamu wa mambo ya lishe, bali nimejaribu kusoma vyanzo mbalimbali kuhusu huu ugonjwa na kote nilikupita sijaona palipoandikwa moja kwa moja kuwa sukari ndio chanzo cha kisukari kwa maana ya mtu asie na huu ugonjwa akitumia sukari nyingi ana uwezekano wa kupata kisukari...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Line za MTN zinapatikana wapi kwa Dar es Salaam?

    Nawezaje kupata kwa hapa Dar line za MTN for Rwanda, msaada
  11. L

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata shamba la kununua morogoro kwa installment!?

    Mm ninakipato Cha kawaida nataka nipate shamba ambalo ntalifyeka lakini nitalipa kwa installment
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mbona kama tatizo la wateja katika benki kupata noti pungufu wanapotoa hela linaota mizizi?

    Salamu Wakuu, Nimegundua Suala la uaminifu bado ni changamoto kubwa sana hapa nchini Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kupatiwa fedha pungufu kila wakichukua hela kupitia kwa benki tellers Katika mjadala unaondelea huko X inaonesha kuna benki ambazo zinahusishwa na tabia hii...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kuchangisha michango ya harusi kabla ya Kupata mchumba?

    Salaam,Shalom!! Ndugu mmoja akapita Kwa jamaa zake katika eneo alilokuwa akifanyia biashara, akawashirikisha kuwa amepata mchumba na ataoa hivi karibuni, hivyo anaomba michango Kutoka Kwa wadau. Jambo Hilo likawa kheri masikioni mwa Rafiki zake. Ndugu huyo, akachangisha michango pesa nyingi...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel inavyorudi upya Gaza kwa nguvu, ni wazi kulikuwa na njama kati yake na Marekani kuiwacha Iran ishinde ili kupata ushindi wa Gaza

    Yapo mambo mengi ambayo yametoa picha ya namna Israel na Marekani wanavyoshirikiana kimkakati ili kuhakikisha Israel inaitawala Gaza na Palestina yote bila upinzani. Ni kweli Israel ilikuwa na nia ya kuipiga Iran kwa nguvu kubwa na kuleta madhara zaidi lakini kwa kushauriana na Marekani na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Chachu yangu ni kupata nafasi ya kudumu sekta ya afya ili niendelee kutoa huduma kwa wagonjwa

    Mimi ni kijana ninayejitolea katika moja ya hospital hapa nchini katika kitengo cha mapokezi kwa miaka zaidi ya sita napenda hii kazi ya kuhudumia wagonjwa, changamoto yangu sina uhakika wa ajira kwa hapa nilipo kwa yoyote mwenye mawasiliano hata email ya waziri wa afya tafadhali anisaidie...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupata Madhara gani kwa kutumia Dawa ulizopewa Hospitali

    Wadau, hebu tuelezane hapa kuhusu matumizi ya Dawa tunazopewa Hospitali. Kuna watu wamewahi pata madhara hasi baada ya kuanza kutumia dawa fulani wakitegemea kupata Tiba lakini badala yake zinapelekea Ugonjwa kuongezeka au kupata tatizo lingine zaidi
  17. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Je unajua kwa gharama Nafuu Unaweza Kupata Vipuri (Accessories) kwa ajili ya Laptop/ Desktop yako?

    Kama Unathamini Laptop/Desktop yako Usikubali Hii Ikupite.....! Habar Ndugu.... Hata Kama umekuwa Ukitafuta Vifaa vya Laptop/ Desktop kwa Kipindi cha nyuma bila Mafanikio leo kuna Suluhisho la Changamoto yako hiyo, Fuatana nasi leo..!! Je Unajua kuendelea kutumia Kifaa chako katika utaratibu...
  18. Sonko Bibo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Chuo gani naweza soma online?

    Wakuu kama heading inavyosomeka, Elimu haina mwisho zaidi ni vile utakavyoamua kichwani mwako. Nahitaji mwenye ufahamu mzuri juu ya chuo gani bora, ambapo naweza anza masomo online. Lengo ni kuanza foundation course mpaka nipate PhD ya Computer science. Karibuni tutete jambo hapa. Sonko...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuwasaidia Wajasiriamali Kuzalisha Bidhaa Bora Ili Kupata Soko la Uhakika

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) amesema kuwa mpango wa Serikali katika kuwasaidia wajasiriamali kuzalisha bidhaa bora ili kupata masoko ya uhakika. Mhe. Kigahe amabainisha hayo Aprili 16,2024 katika Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma wakati akijibu swali la msingi la...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni jambo gani ambalo Watu wengi hawalifahamu kuhusu kupata Mtoto/Watoto?

    Waswahili wanasema Mtu akipata Mtoto kuna namna hujikuta akibadilika na kugundua baadhi ya Mambo ambayo hapo awali hakuwahi kuyajua wala kuambiwa na waliomtangulia kwenye Malezi Mtu mmoja aliniambia ukipata Mtoto/Watoto Maisha yako yanakuwa na Hofu mara kwa mara ukiwaza kama Ukifa mapema Maisha...
Back
Top Bottom