Jinsi ya kununua service fivver au upwork

stivii

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
222
143
Nina mpango wa kuanzisha app and website ya online learning kutoa course mbalimbali.

Nimetafuta developer hapa bongo kwa kweli bei zao zipo juu sana. Wenye uwezo mzuri wamenipa bei ya mpaka million 7.

So nimeona nitafute alternative sababu nimesikia fivver na upwork unaweza pata developer especially India na Pakistan kwa bei nzuri.

Mwenye experience wa namna ya kupata developer mzuri kwenye hizo platform na namna ya kuset bei na kupata kazi yako ikiwa nzuri yenye quality unayotaka, naomba anisaidie maelezo.
 
Hapa technology utayoweza pata ni description za simu. Kibongobongo bado sana watu wetu wa tech.
Hao developers wajanjawajanja ndio wamejaa hapa kazi hawawezi uwezo mdogo ila wanataka hela ndefu. App utayotengenezewa na mtu wa Asia kwa dola 200 mbongo atakwambia Dola 3000 tena huku anavimba eti anajenga brand.
Kweli kabisa, wabongo wavivu na wanapenda kuModify vya watu. Ukimpa kazi nayeye anatafuta wa kumpa amfanyie
 
Hata huko fiverr na upwork developer mzuri ni bei kubwa. Wale wanaoanza anza ndio wanakubali bei ndogo.

Kumbuka kua unataka Android app, iOS app na custom website full na backend zake with database management. Hicho kitu sio hela ndogo kwakweli.

Fiverr watu wanadai kuanzia $200 kwa very basic apps na hupewi hata source code

Upwork ni bei zaidi.

Ila angalia Fiverr na uwe na budget ya $600 kwenda juu. Wewe angalia tu kazi alizowahi fanya na quality yake
 
Nina mpango wa kuanzisha app and website ya online learning kutoa course mbalimbali.

Nimetafuta developer hapa bongo kwa kweli bei zao zipo juu sana. Wenye uwezo mzuri wamenipa bei ya mpaka million 7.

So nimeona nitafute alternative sababu nimesikia fivver na upwork unaweza pata developer especially India na Pakistan kwa bei nzuri.

Mwenye experience wa namna ya kupata developer mzuri kwenye hizo platform na namna ya kuset bei na kupata kazi yako ikiwa nzuri yenye quality unayotaka, naomba anisaidie maelezo.
Nakupa ushauri, kama unataka kitu cha namna hiyo kila sehemu utapata iwe bongo, Fiverr, freelancer, truelancer ama upwork kwa kadili ya bajeti yako na inategemea na namna utakavyopokea matokeo yake kazi, kifupi utapaswa kuwa na atleast watu wanaoweza kukupa ushauri kwamba ulichotengenezewa kina kidhi viwango kulingana na pesa uliyotoa?

Mfano mzuri, mimi ni freelancer.

Model ya Fiverr inategemea na gig ya dev, hivyo ukiona developer Ana kazi nzuri kwenye profile yake na star kadhaa basi muinbox mweleze unachotaka kisha bei mtaelewana na atatengeneza offer yako kisha uta place order na kiasi alichoweka kama ni $250 n.k unatakiwa ulipe kwanza ukisha lipa jamaa ata accept order na akisha kubali tu basi muda unaanza kuhesabiwa itategemea na alikuambia atatumia muda gani kwenye hiyo gig kama ni mwezi ama miezi kwa hiyo utasubiri mpaka atakapomaliza na kukutumia preview ya kazi hapo ndo mnakaa chini na kuanza kukagua project na wataalamu wako wa karibu sasa ukiwa kichwa kibovu ukakubali tu kuwa project iko sawa bila kushirikisha wataalam pesa inachomolewa na kuingizwa kwa developer na lazima tu utampa stars.
NB; kama haukulizika utamwambia development aendelee kurekebisha, na endepo muda umeisha pesa inarudishwa maana hakukamilisha kazi ndani ya muda

Hapa ndo unapotakiwa kuwa makini.

Pia unaweza tumia freelancer na upwork mkwanja ni lazima uandae.

Ninachokushauri usilogwe kwenda kununua template ambazo tayari zimeandaliwa kama hauna ujuzi wa kuzikagua na kujua kiundani zaidi.

Mfano mzuri kuna temps nzuri ambazo unaweza pata codecanyon ama themeforest lakini kama zina range pesa ndogo usitegemee kukuta uzuri wowote na hata documentation huwa zinakosekana mpangilio mbovu wa mafaili n.k.

Jambo muhimu:

Andaa pesa nzuri wape watu wazuri pata product nzuri acha mambo ya wahindi sijui wabongo angalia kwaliti ya kazi za nyuma.

Alafu kama una budget ndogo bora uache hiyo ndoto.

Utaniambia.
 
Unatumia ID gani uko fivver mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom