kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Hizo pesa za kuninulia vifaa vya sport bunge zipelekwe Mashuleni kununua madawati

    Nimeona kwenye taarifa ya habari ya ITV Leo tarehe 30.11.2021 sh. Mil. 20 zimetengwa kwa ajili ya kuninulia vifaa vya Michezo ya wabunge ili Hali shule nyingi asa za msingi watoto hawana madawati wanakaa chini. Huo ndo uzalendo wa viongozi wetu au wanafanya hivyo kisa watoto wao hawasomi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itueleze ukweli inapata wapi pesa za kununua ndege

    Katika vitu ambavyo serikali yetu imeonyesha determination, ni suala la kununua ndege. Katika suala hili, serikali imeweka pamba masikioni na kuignore kila sauti inayohoji suala hili la kununua ndege. Mimi binafsi ninajiuliza na kujihoji maswali yafuatayo kuhusiana na suala la ndege. JE SERIKALI...
  3. Sylvester daudi

    JamiiForums Tanzania Natafuta Camera ya Kununua Kuanzia Canon 500D

    Natafuta Camera ya Kununua Kuanzia Canon 500D. Kama kuna mtu anauza anitajie bei gani. 0716723263
  4. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Ukibinyabinya parachichi Sumbawanga halafu uondoke BILA Kununua!

    Matokeo ndiyo hayaaa
  5. issac77

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kununua shiba coin

    Wakuu tafadhali mwenye kujua ABC about shiba coin namna ya kuji-regist; kununua...nimevutiwa na aina hii ya uwekezaji wa pesa ya kidigtal Mwenye kujua steps by steps tafathali anielekeze, niko tayari hata nimpoze ya voucher kwa usumbufu na muda atakaokuwa amepoteza. Nawasilisha.
  6. tang'ana

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanavyochangishana kununua chakula mahakamani kesi kina Mbowe

    Wafuasi wa CHADEMA wanaofika katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kufuatilia kesi ya Mwenyekiti wao Freeman Mbowe na wenzake watatu wamebuni utaratibu wa kuandaa na kupata mlo wakiwa mahakamani hapo. Mbowe na wenzake wanakabiliwa na mashtaka sita ya uhujumu uchumi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kweli Tanzania kutumia shilingi trilioni 1.7 kununua ndege?

    Someni hii:
  8. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Udanganyifu wakati wa kununua magari kwenye showrooms

    Hii Case nimeizoea kukutana nayo wa watu na huwa naichukulia kawaida ila leo nimeshangaa kuikuta kwenye moja wapo ya Showroom hapa Dar. Kikawaida gari nyingi tukitaka kuangalia mwaka ambao gari hiyo imetengenezwa huwa tunaangalia lebo iliyopo kwenye mkanda (yaani seat belt). Lakini it seems...
  9. K

    JamiiForums Tanzania JATU PLC wataharibu imani ya Watanzania kununua hisa kwa kampuni ndogo za Watanzania

    Jatu PLC imeanza kunuka wizi mapema kabla hakuja kucha tayari wakulima wadogo wanadai hela zao za mazao hawajalipwa kwa muda mrefu huku wakulima wakubwa pia wakidai hela zao. Bidhaa zimeshuka Bei haswa maharage Wana nunua kwa Bei chini ya kiwango walichosema mbali na kwamba walisema mazao yana...
  10. bukoba boy

    JamiiForums Tanzania Kununua stocks/Hisa za Kampuni za Marekani

    Wakuu habari. Nimehangaika sana kupata platform ninunue hisa za Lucid Motors,kila App nayopata hawasapoti Tanzania.Sasa nitumie njia gani?
  11. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kwa akili ya kawaida, watu wa maeneo ya Tandale, Temeke, Buza, Buguruni na Uswazi yooote wataweza kwenda Coco Beach kununua bidhaa?

    Huku ni kukosa mipango ya kiuchumi na mipango miji
  12. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika kununua chanjo milioni 110 za Moderna

    Umoja wa Afrika (AU) unakusudia kununua dozi milioni 110 za chanjo ya COVID-19 kutoka Moderna Inc katika mpango ulioratibiwa kwa sehemu na Ikulu ya Marekani, White House. Dozi hizo zitatolewa katika miezi ijayo, huku milioni 15 zikiwasili kabla ya mwisho wa 2021, milioni 35 katika robo ya...
  13. fasiliteta

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Tupo tayari kununua bidhaa na kupata risiti?

    Ni wazi mpaka sasa wengi hasa waliopata/walio na kazi Rasmi pamoja na wenye vipato vya uhakika wanafurahia sana zoezi linaloendelea la wamachinga kuondolewa kufanya biashara zao barabarani ambazo kiukweli walisaidia kwa kiasi kikubwa watu kujipatia bidhaa/vitu kwa bei nafuu zaidi. Ok tuseme...
  14. Mr_Plan

    JamiiForums Tanzania Nimepata mic ya kununua lakini sina uhakika na ubora

    Wakuu katika pita pita zangu nimekutana na hii Mic je katika kazi zangu za Online TV itanifaa
  15. Mr_Plan

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua wireless microphone kwa ajili ya online TB

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naitaji Wireless Mic ya kununua ya Bei nafuu kwaajili ya Online TV.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua laptop

    Wakuu habari za majukumu, Nilikuwa nahitaji laptop used ya kununua .specification ziwe hizi processor core 5 au 7. Generation ya 5 au ya sita HDD 500gb bajeti yangu Ni 400000 - 500000. Location Niko Mwanza . Kama iko dar pia mzigo naweza kuufata.
  17. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua mbwa aina ya bull dog. Ni wapi nitapata?

    Natafuta bulldog Wapi nitapata? Nikikosa bulldog Basi mbwa Kama huyu. Call 0655173113
  18. KingOligarchy

    JamiiForums Tanzania Twenzetu Uganda: Jinsi ya kununua hisa za MTN Uganda

    Uwekezaji nikiimanisha (investment ) ni jambo la busara kwa kila mtu sababu linatengeneza Passive income. Tukija kwenye masuala ya Hisa ama Stocks wale wanaoinvest kwa mfumo wa kupata Dividend na sio speculation mara nyingi wanatoboa sana,sababu eventually price ya hisa mara nyingi itakuja kuwa...
  19. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Wanasema pesa haiwezi kununua furaha; lakini je, umasikini unaweza kununua nini?

    They say money can't buy happiness, money can't buy love. Okey fine, I agree But, what can poverty buy? Ukiona mtu anasema bora yeye na Umaskini wake ila anaishi kwa amani..huruma kubwa inamhusu maana hajui alinenalo wala alitendalo hakuna maskini mwenye amani Dunia hii. Hapa duniani hakuna...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Nina 5,000,000 tu. Naweza kununua gari ipi ikiwa na hali nzuri?

    Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?
Back
Top Bottom