Mmiliki wa Spotify atoa ofa nyingine ya kuinunua Arsenal

Mnyuke junior

Member
Jun 1, 2021
19
15
CEO na Mmiliki wa mtandao wa uuzaji wa nyimbo online (spotify) DANIEL EK anajiandaa kupeleka ofa nyingine ya kuinunua gunners ambayo inakadiriwa kufikia £2bn, ikumbukwe awali alipeleka ofa inayokadiriwa kufika £1.8bn kwa mmiliki wa washika mitutu hao wa london kroenke lakini ofa hiyo ilikataliwa kwa mlengo wa kuwa klabu hiyo haiuzwi.

IMG_20210610_123243_904.jpg
 
Kroenke angeondoka tu Arsenal, under his ownership timu imezidi kuporomoka mpaka imepoteza maana kabisa, now Arsenal hawatashiriki tena mashindano ya Ulaya for the first time in mora than 25 yrs.

Ameigeuza Arsenal duka auze wachezaji ajigawie faida, wakati wenzake wana invest chote wanachopata kwenye mauzo ya wachezaji wao, na wanaongezea kingine toka kwa mifuko yao waimarishe timu zao.
 
Back
Top Bottom