Nanunua chupa tupu za maji na juice. Kama unazo tuwasiliane

Mkuu watu wa kukuletea chupa ni watoto wa 20s na teens ambao kiujumla hawana divice za kuwaleta jf ndo maana hata maoni ya uzi h8 ni hafifu.
Mkuu huifahamu hii biashara. Mzigo ninaohitaji wa minimum kilo 600 hadi tani kadhaa si biashara ya watoto. Watu wanaleta zaidi ya tani 1 kila siku.

Supplier wa mzigo wa kiasi hicho ni mtu mzima, mwenye mtaji na mtandao mkubwa. Wengi wana maisha yao ya maana na wamejijenga.
 
Hakuna business hapa aisee. Ujue kuna business nyingine ili upate hata faida utazunguka dunia au miaka na usione au ndio upate faida ndogo.. This business sishauri mtu aingie afanye
 
Hakuna business hapa aisee. Ujue kuna business nyingine ili upate hata faida utazunguka dunia au miaka na usione au ndio upate faida ndogo.. This business sishauri mtu aingie afanye
Unaweza kuwa sahihi ila kumbuka hii biashara iko miaka mingi. Pia mimi sihamasishi mtu kuanza ila natafuta mtu mwenye mzigo aniletee coz mahitaji yangu kwa sasa ni makubwa kuliko suppliers wangu.

Wenye vituo vya kukusanyia chupa ndio walengwa wa tangazo hili.
 
Back
Top Bottom