Gari nzuri ya kununua kwa Tsh 6,000,000

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Apr 30, 2018
2,022
2,591
Salaam wakuu,

Naombeni ushauri ninune gari gani kwa milioni 6. Nahitaji gari yenye fuel efficiency nzuri, space ya kutosha hasa mbele (mimi mrefu) pamoja na upatatikanaji spare.

Nitashukuru pia kama mtapendekeza kwa gharama hiyo napata namba ipi?

NB: Hii ni ya kununua kwa mtu.
 
Kwa bajeti yako hauna machaguo mengi saaaana zaidi ya haya:

Toyota: Runx/Allex, IST, Raum, Passo, Opa,etc. used hapa Tanzania namba C au D za mwanzo.

Kwa bei hiyo hiyo utaweza pata haya: Brevis, Mark X, Mark 2, Cresta, Altezza, etc. Ila sikushahuri kama bajeti ni kuunga unga.
 
Salaam wakuu,

Naombeni ushauri ninune gari gani kwa milioni 6. Nahitaji gari yenye fuel efficiency nzuri, space ya kutosha hasa mbele (mimi mrefu) pamoja na upatatikanaji spare.

Nitashukuru pia kama mtapendekeza kwa gharama hiyo napata namba ipi?

NB: Hii ni ya kununua kwa mtu.
Kwa hiyo bajeti hutakiwi kuwa na vigezo.
 
Ukinunua IST utajiona mjanja umebana matumizi ya mafuta, Ila baada ya wiki mbili akili ikitulia baada ya wenge la kumiliki Gari,

utaanza kuona aibu hicho kiIST watu watadhani Ni Uber traffic nao watakusumbua balaahhh. Shep yenyewe Kama mtoto wa kiti Moto.

Tafuta Mark II Vimba nayo spea kibao. IST Gari ya kinyonge Sana Ipotezee.
 
Ukinunua IST utajiona mjanja umebana matumizi ya mafuta, Ila baada ya wiki mbili akili ikitulia baada ya wenge la kumiliki Gari,

utaanza kuona aibu hicho kiIST watu watadhani Ni Uber traffic nao watakusumbua balaahhh. Shep yenyewe Kama mtoto wa kiti Moto.

Tafuta Mark II speak kibao, Vimba nayo IST Gari ya kinyonge Sana Ipotezee.
Asante kwa ushauri kiongozi.X trail naona kama bei zake nyingi zimechangamka.Na vipi skendo ya kuwa zinasumbua sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom