Msaada: Nahitaji kufahamu jinsi ya kununua hisa

Je unataka hisa za benki za nje au ndani?
Unataka hisa za gharama nafuu au bei ya wastani?
Anyway! CRDB ni best option, kadiri ya history ya RoI (Return on Investment.
Tembelea tawi lolote kubwa la CRDB au DSE kupata broker
Asante sanaaa, barikiwa kwa msaada. DSE ndio nini? nataka CRDB au NMB
 
Habari zenu wakuu, msaada nataka kununua hisa za bank yoyote inayofanya vizuri hapa Tanzania, naombeni maelekezo naenda wapi kufungua account au nanunua wapi? ofisi zipo wapi? mimi nipo Dar Es Salaam, asante
Mimi nina Hisa za NMB bei ya sokoni n 2,340 hisa moja, lakn mm nauza 2,100 kwa hisa moja. NMB n shirika ambalo linazid kupanda thamani mm nauza sababu ya shida ya Ada tu. Faida n kubwa cz thaman inapanda, nauza pungufu na unapata dividend kila mwaka. Nitakupa form ujaze na certificate utaipata kwa muda mfupi. Ukiwa interest nichek nikupe mwongozo
 
Je unataka hisa za benki za nje au ndani?
Unataka hisa za gharama nafuu au bei ya wastani?
Anyway! CRDB ni best option, kadiri ya history ya RoI (Return on Investment.
Tembelea tawi lolote kubwa la CRDB au DSE kupata broker
CRDB asithubutu. Mimi nipo huko, hawafanyi vizuri kabisa. Natamani kutoka, lakini bei ya kuuza hisa ni hasara tu.
 
Achana na hisa kanunue Treasure Bonds za serikali BOT utakuja nishukuru.
Asante mkuu, hivi Treasure Bonds za BOT inaruhusiwa kuanzia shilingi ngapi? je nakua napata faida kila mwezi kama ilivyo fixed account ya miaka miwili ambayo kila mwezi nakuta bank wameniwekea faida?
 
Mimi nina Hisa za NMB bei ya sokoni n 2,340 hisa moja, lakn mm nauza 2,100 kwa hisa moja. NMB n shirika ambalo linazid kupanda thamani mm nauza sababu ya shida ya Ada tu. Faida n kubwa cz thaman inapanda, nauza pungufu na unapata dividend kila mwaka. Nitakupa form ujaze na certificate utaipata kwa muda mfupi. Ukiwa interest nichek nikupe mwongozo
ASANTE, NIMEONA MSG YAKO, ASANTE
 
Bei ya hisa inapanda na kushuka kwa muda mfupi kutegemea na factors tofauti tofauti, ila kuna long term trend inayoweza kukuonyesha kwa wastani inapanda au kushuka.

Ununuaji wa hisa inategemea kama unataka kununua na kuuza ili upate faida kwa muda mfupi (kutokana na mabadiliko ya bei) au unataka kununua na kukaa nazo kama akiba huku ukipata dividends na capital gains.

Hisa za makampuni yanayofanya vizuri mara nyingi ni adimu kupata maana wauzaji ni wachache na wanunuzi ni wengi. Hapa uta compete na big investors wanaozisubiri hizohisa wanunue.

Ni somo refu kidogo. Tafuta mtaalam/kitabu upate kuelewa vizuri kabla ya kuingia.
 
Mkuu naamini sasahivi zitapanda thamani kwasababu watu wengi watakimbilia mabank kwasababu ya hizi tozo ndio maana namimi nimeona niwekeze huku mapema
Bora ununue NMB. Mimi nipo huku CRDB zaidi ya miaka 10. Nina uzoefu wa kutosha huku. Nina hisa zinakaribia 3000, lakini gawio ninalapata ni kidogo sana. Mfano mwaka huu nimepata sh. 43,000/=.
 
Asante mkuu, hivi Treasure Bonds za BOT inaruhusiwa kuanzia shilingi ngapi? je nakua napata faida kila mwezi kama ilivyo fixed account ya miaka miwili ambayo kila mwezi nakuta bank wameniwekea faida?
Ni kuanzia 500,000 nadhani

Unalipwa kila baada ya Miezi 6.

Kuna Bond ya serikali ya miaka 25 ambapo interest rate Yake ni 15.94% ... Piga mahesabu hapo hela unazotaka kuweka kwenye hisa na huku kwenye bonds kwa malipo ya asilimia 15 kwa mwaka.

View attachment 1870894
 
Back
Top Bottom