Shomary47
JF-Expert Member
- Feb 12, 2021
- 224
- 348
Leo naomba kupata maoni Juu ya biashara ya kununua na kuuza Vitu Used vya majumbani mfano Furnitures, Vyombo, TV, Vingamuzi, Fridges, vitanda, magodoro n.k...
Kuna watu ambao wanahama mikoa, wanahamishwa kikazi na wale ambao Wanauza Vitu vyao Kwakua wanashida na pesa ya haraka. Watu hawa watakuja kwako Kukuuzia hivi vitu kwa bei ya hasara.
Wanunuzi wa Vitu hivi watakua ni watu wa Maisha ya kati na Ya chini, Watu wenye vipato vya chini na kati. Wateja hapa utawapata kulingana na marketing strategies zako.
Naomba kujuzwa wa wanaofanya biashara ya namna hii, mambo muhimu kuzingatia ili usiingie kwenye mtego wa kununua na kuuza vitu vya wizi, faida za biashara zikoje na mambo mengine ya kuzingatia ambayo mtu anaetaka kuanza biashara hii anapaswa afanye.