Nataka kununua gari kwa mara ya kwanza kutoka Sbt japan. Msaada wa procedures.

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,905
44,011
Habari za kazi wanandugu. Kazi iendelee ila irekebishwe kidogo maana tozo na ugaidi vimezidi.

Twende kwenye mada.

Mimi nina uzoefu kidogo kununua magari kutoka Beforward, kwa mara ya kwnza nilitumia wakala, ya pili nikazama mwenyewe mtandaoni nikachagua ninayotaka process zote za malipo hadi kuishusha bandarini.

Kwa sasa gari ninayotaka naona Beforward Bei kubwa nimetembelea mtandao wa SBT naona kuna afadhali na quality nzuri zaidi.

naomba wazoefu wanijuze kidogo niepuke parody accounts.
 
+255 756 312 759 mpigie huyu dada Farida anafanya kazi SBT Da es salaam,alikupa msaada mkubwa kunisaidia kuagiza Suzuki Jimny,
IMG-20210721-WA0025.jpg
3.jpg
 
waache kulipisha watu pesa ndefu ya kuhifadhi gari ikifika hapa, wana longolongo sana hao wahindi, kuwa nao makini. na ukifanya makosa kuwapigia simu au kuwaandikia email, miaka 5 mbeleni hata kama umeshanunua gari wataendelea kukupigia kukukumbusha kuwa ununue gari as if hujamalizana nao. anayeongea ni mhindi.
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Back
Top Bottom