kulipa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania DED Tunduru kwanini huu ubaguzi katika kulipa pesa za likizo?

    Wiki iliyopita baadhi ya walimu walilipwa pesa zao za likizo baada ya nafikiri kulalamika humu jukwaani. Pesa hizo wamelipwa baadhi ya walimu, tunauliza kwanini ubaguzi huu? Kwanini baadhi walipwe na wengine wasilipwe. Je ni kwasababu ya rushwa au kujuana? Mheshimiwa waziri Mchengerwa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Sensa ya kwenye elimu ya chuo kikuu ila hawana ajira ikifanyika. Results zitabadili mtazamo wa wazazi kulipa ada mamilioni

    Habari wadau. Najaribu kuwaza ikitokea sensa ya wenye elimu ya chuo kikuu ila hawana ajira ikafanyika. Mtazamo wa wazazi juu ya elimu utabadilika sana. Kwa hali ya ajira ilivyo,,Ada za mamilioni tunazolipia watoto wetu ni bora tuwanunulie mashamba, mifugo, kuwajengea vyumba vya kupangisha etc...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nauli mpya za Mabasi zimeanza kutumika, vipi Mdau ulishirikishwa kupanga nauli hizo?

    USAFIRISHAJI: Leo Desemba 8, 2023 Watumiaji wa huduma za Usafiri za Mabasi ya Masafa Marefu (Mabasi ya Mikoni) na Mafupi (Daladala) wanakutana na gharama mpya za Nauli. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), nauli za Mabasi yote zimepanda baada ya makubaliano yaliyofikiwa...
  4. polokwane

    JamiiForums Tanzania TANESCO mnanigombanisha na TRA. Siwezi kulipa kodi kabisa wakati kutwa nzima umeme hakuna

    Naona kama mama nae anaenjoy tuu wala haoni kama hili ni tatizo kwake anakula tu good time na machawa wake huko DUBAI. Yani tunashinda mchana bila umeme, usiku ndio umeme unarudi hakafu asubuhi unakatika tena, mambo gani haya! nani unamuhudumia huo usiku huo. 😜😜😜😜😜😜😜Ila hata UNIT za LUKU...
  5. Uncle Livege

    JamiiForums Tanzania Msaada kuondoa kulipa simu ya mkopo

    nimechukua simu ya mkopo nmeshindwa kulipia nataka kuendelea kutumia msaada tafadhari
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Wafungwa 4,068 walioshindwa kulipa faini waachiwa huru

    Serikali ya Nigeria imetangaza kuwaachia huru zaidi ya Wafungwa 4000 walioshindwa kulipa faini mbalimbali ikiwa ni mpango wa kupunguza msongamano gerezani Waziri wa Mambo ya Ndani wa Nigeria, Olubunmi Tunji-Ojo amesema jumla ya Wafungwa kabla ya msamaha huo ni 80,804 katika magereza 253. Hivi...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ikiwa serikali imechukua eneo lako na kulipa fidia, ufanye nini cha kuzingatia?

    Ikiwa serikali imechukua eneo lako na kulipa fidia, kuna hatua kadhaa unazoweza kuchukua kuhakikisha kuwa unapata haki yako stahiki. Hapa kuna miongozo kadhaa: Thibitisha Malipo:Hakikisha kuwa unapokea malipo yote kama ilivyokubaliwa kwenye makubaliano ya fidia. Angalia kwa makini kiasi cha...
  8. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye jukumu la kulipa hela ya kunyonya maji ya choo endapo kitajaa kati ya mwenye nyumba na mpangaji

    Kwema wakuu nataka nilianzishe hapa maana mtu unalipa kodi kila baada ya miezi 6 halafu choo kimejaa, mwenye nyumba hakai hapa lakini je ni nani mwenye jukumu la kulipa wakati sio mwenye nyumba ndo anaestahili kulipa hyo pesa kama shilingi 80,000. Inakuaje wapangaji tupigishwe mchango wa elfu...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waliotorosha madini ya Bilioni 300 wahukumiwa kulipa fidia ya milioni 923.8

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imewaamuru wafanyabiashara wanane waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi, kuilipa Serikali fidia ya Sh923.8 milioni huku ikiamuru kutaifishwa pia kwa mali zao na Sh103.9 milioni. Hii ni baada ya mahakama kuwatia hatiani kwa makosa matatu ya kuongoza...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tembo Nickel yapewa siku 30 kulipa fidia kwa wananchi wanaoguswa na mradi

    Tarehe 14/11/2023 maelekezo hayo yametolewa kwenye Hafla ya Uzinduzi wa Kuanza zoezi la ulipaji fidia Waguswa wa mradi huo ambapo wananchi wa vijiji vitano vya Kata ya Bugarama na Muganza wataanza kulipwa fidia zao hivi karibuni. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...
  11. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Maoni kuhusu suala la wagonjwa walioshindwa kulipa gharama za matibabu hospitali ya Muhimbili

    Kutokana na malalamiko ya mara kwa mara ya watu kuhusu wagonjwa kuzuiliwa Muhimbili hata miezi mitatu na kuendelea sababu ya kushindwa kulipa deni. Nashauri Waziri wa Afya atume watu (tume huru) wakapate ukweli kwa kupata taarifa ya Hospitali lakini pia kuongea na waathirika ili wapate ukweli...
  12. Mangi wa Rombo

    JamiiForums Tanzania Shirika la Reli (TRC) ndio limegoma kabisa kulipa kiinua mgongo "mkono wa kwa heri" kwa wastaafu wake?

    Habari! Nimekutana na mzee mmoja mstaafu wa shirika la reli (TRC) ambaye alistaafu rasmi mwaka 2020. Huyu mzee wakati ana staafu alikuja kwangu kunikopa hela, hakikuwa kiasi kikubwa sana, na alihaidi kukirejesha pindi tu atakapolipewa pesa zake za kiinua mgongo ama "mkono wa kwa heri" kama...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali inapanga kutumia Tsh. Trilioni 12.10 kulipa Deni la Taifa, Mishahara Tsh. Trilioni 11.77

    Serikali imepanga kulipa kiasi hicho kutoka katika Makusanyo ya Tsh. Trilioni 47.42. Kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, Makusanyo hayo pia yatagharamia Miradi ya Maendeleo Tsh. Trilioni 15.32 na Shughuli nyingine za Serikali Tsh. Trilioni 8.22 Fedha za Maendeleo zitajumuisha...
  14. comte

    JamiiForums Tanzania Nigeria yashinda rufaa na kuepuka kulipa fidia ya USD 11 billioni katika Kesi ya usuluhishi ya Mkataba wa gesi

    Mgogoro huo ulihusisha Makubaliano ya mwaka 2010 baina ya Nigeria na Kampuni ya Process and Industrial Developments Limited (P&ID) kuendesha Kiwanda nchini humo ambacho kingebadilisha gesi asilia inayochomwa wakati wa uzalishaji wa Mafuta kuwa Umeme Kampuni hiyo ilipewa Kandarasi ya miaka 20...
  15. Influenza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Baadhi ya maduka yaanza kugoma Wateja kulipa kwa ‘Lipa na Mpesa’

    Baadhi ya maduka yameanza kukataa huduma ya malipo kwa njia ya simu ‘Lipa na Mpesa’ wakikwepa ada ya juu ya kuwezesha ununuzi. Matangazo yamebandikwa madukani yakizuia Wateja kulipia huduma kwa njia ya simu yakitaja sababu ni ongezeko la gharama ya muamala kati ya simu na benki. Wateja sasa...
  16. Mediator Hamza

    JamiiForums Tanzania Kutakiwa kulipa ada ya kidato cha tano

    Wanafunzi wa kidato cha sita waliomaliza Shule ya Sekondari Mbweni Teta iliyopo kata ya Mbweni wilaya ya Kinondoni mkoa wa Dar es Salaam wanapitia changamoto ya kunyimwa Result slip zao kwa kutakiwa kulipa Ada ya kidato cha tano ambayo Ilifutwa na serikali Ndipo wapewe slip hizo za matokeo...
  17. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdhibiti wa hesabu za Serikali: Serikali inatumia Bilioni 3.16 za Kenya kulipa madeni kila siku

    "Ripoti kutoka Afisi ya Msimamizi wa Bajeti inaonyesha taswira yenye kiza kutokana na takwimu zinaonesha kuwa asilimia 83 kubwa ya mapato yote yaliyokusanywa na serikali yametumika kwa malipo ya deni. Msimamizi wa Bajeti, Bi. Margaret Nyakango, ambaye alijitokeza mbele ya Kamati ya Bajeti na...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Dar es Salaam Cement Co. Limited kulipa Fidia ya Tsh. Bilioni 10 kwa kumfukuza kazi Mkurugenzi wake

    Mahakama Kuu imewaamuru ndugu wawili na wakurugenzi wa Kampuni ya Saruji ya Dar es Salaam Cement Co. Limited kumlipa mwenyekiti wao na Mkurugenzi Mtendaji, Pardeep Hans, zaidi ya Tsh. Bilioni 10 kwa kumfukuza katika kampuni hiyo kinyume cha sheria na kuiuza kwa Kampuni ya Amsons Industries (T)...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Serikali yatumia Sh27.83 bilioni kulipa fidia ajali, magonjwa kazini

    Katibu Mkuu,Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi,Vijana,Ajira na Wenye ulemavu,Mhandisi Cyprian Luhemeja,amesema gharama za fidia zimeongezeka kutoka Sh13.19 bilioni kwa kipindi kilichoishia Juni 2021 hadi kufikia Sh27.93 bilioni kwa kipindi kilichoishia Juni 2023 huku taarifa ya baadhi ya mifuko ya...
  20. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania Teuzi za wastaafu hazina maslahi kwa taifa: Wateuliwa wanawekwa kulipa fadhila

    Ndio ukweli huo. Katika taifa la watu milioni 60 bado nafasi chache na nyeti zinazohitaji akili iliyochangamka na energetic lakini bado anateuliwa mstaafu anayetakiwa kukaa na wajukuu nyumbani ale jasho la ujana wake. Rais Samia amekua mlalamikaji sana hivi karibuni kuhusu utendaji wa watu...
Back
Top Bottom