kulipa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kesi mbalimbali za kampuni ya DP World inayotaka kuendesha bandari ya Dar es Salaam

    Here is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court: 1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nani anapaswa kulipa hela ya udalali kati ya mwenye nyumba na mpangaji?

    Wakuu, Katika harakati za kutafuta nyumba kwa ajili ya shughuli mbalimbali madalali wamekuwa wakitumika kufanikisha jambo hilo. Wenye nyumba hutafuta madalali ili kuweka wepesi katika kupata wateja, na imekuwa rahisi kwa wapangaji kufikia maeneo hayo kirahisi kupitia madalali. Ambapo, baada ya...
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania TRA: Taarifa ya Bodaboda na Bajaji kuanza kulipa Kodi sio taarifa rasmi

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imebainisha kuwa taarifa iliyotolewa awali na Afisa Mkuu wa Usimamizi wa Kodi wa Mamlaka hiyo kuwa bodaboda wataanza kutozwa kodi sio rasmi Afisa huyo, Hamad Mterry alieleza kuwa Kodi mpya za Pikipiki za Matairi Mawili (Bodaboda) itakuwa Tsh. 65,000 na Bajaji...
  4. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Bodaboda na Bajaji mnapaswa kulipa Kodi kwa Mujibu wa Sheria Mpya ya Kodi. Acheni kuleta Blah blah!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!. Pesa za kuhonga huwa zinapatikana ila za kulipa Kodi mnaanza kuleta singeli za kipumbavu!. Huwa mkisikia kulipa mapato(stahiki ya serikali) mnaanza ngonjera kibao kana kwamba ni dhambi kulipa mapato. Kama unafanya kazi kila siku na unapata faida...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania TRA: Pikipiki (Bodaboda) kuanza kulipa Kodi ya Tsh. 65,000/- kwa mwaka

    Bodaboda mmesikia hii? Sasa rasmi mtaanza kulipa Kodi. Hapa Serikali mmechemka na mnawaonea Bodaboda, maana kupata 20,000 kwa siku ni kazi kubwa ila Nchi itajengwa na Watanzania wote. ---- Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa katika mabadiliko ya Sheria za kodi mwaka 2023, serikali...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania META kulipa Faini ya Tsh. Milioni 243.7 kila siku kwa kuingilia Faragha za Watumiaji wake

    Adhabu hiyo imetolewa na Mamlaka ya Ulinzi wa #TaarifaBinafsi ya Norway baada ya META kutoweka wazi jinsi inavyoingilia Faraga za Watumiaji wake kupitia Matangazo ya Biashara ============ Facebook owner Meta Platforms (META.O) will be fined 1 million crowns ($98,500) per day over privacy...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za Video production na Matangazo kwa kulipa anayeleta dili

    Habari wadau. Tumefungua Ofisi mpya studio tunatafuta kazi za video production, kuandaa matangazo, video shooting, Event Management kwa mwenye dili hilo anicheki tuangalie tunafanyaje. NB: Malipo yapo kwa atakayeleta dili.
  8. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashindwa kwenye kesi, yaamuriwa kulipa fidia ya zaidi ya Tsh. Bilioni 260

    Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji (ICSID) kimeiamuru Tanzania kulipa dola milioni 109.5 (zaidi ya bilioni 260 za Tanzania) kwa kampuni za uchimbaji madini zilizosajiliwa Uingereza, Ntaka Nickel Holdings Ltd na Nachingwea UK Ltd, kufuatia uamuzi wa mwaka 2018 kufuta...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Nilikopa milioni 10, siku naona salary slip yanipasa kulipa 24m jicho la upande wa kushoto lilijifunga kama dakika 40 hivi. Nilijua limeparalyse!

    Acha kabisa aisee! Nikiwa nimepagawa na changamoto iliyokuwa inanikabili bila kujua la kufanya, nikakimbilia benki moja kuomba mkopo. Kufika pale nikamuambia afisa mikopo kuwa nahitaji m15, akaniambia m10 ni utapata lakini si hizo ulizotaka. Nikaona kheri tu itaokoa kitu tena kwa kiasi kikubwa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Unaweza kulipa Tsh. Bilioni 1 ili kufanya Utalii Anga la Juu (Space) kwa dakika 90 tu?

    Kampuni ya Virgin Galactic inayofanya safari za Utalii wa eneo la Juu la Anga (Space), itafanya safari Juni 29 na August 2023. Hadi sasa kuna abiria 800 wamenunua Tiketi kwa Tsh. Milioni 481.8 kwa mtu mmoja. Kutokana na mahitaji kuwa makubwa, kampuni imelazimika kupandisha bei hadi Tsh...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga hampo serious kweli imeshindikana kulipa deni la aliekua kocha wetu Luc Eymael

    Nimesikitishwa na hili jambo kwa kweli viongozi wa Yanga mnaonyesha madhaifu makubwa hili deni linaelekea kutupa adhabu kutoka FIFA. Adhabu ambayo itatuondoa kwenye dira yetu na kutufanya kupoteza muelekeo. Fanyeni hima mumlipe pesa zake aliekua kucha wetu Luc Eymael. Au ndio mmeshapoteza...
  12. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Bajeti Uganda: Jumla ya Bajeti ni zaidi ya Tsh Trillion 36. Trillion 10 kulipa madeni chechefu

    Wagwan. Nchi karibia zote za Afrika Mashariki zinasoma bajeti zake kwa mwaka wa fedha unaonza Julai 1, 2023. Katika bajeti ya Serikali ya Uganda iliyosomwa leo, serikali imekusudia kutumia zaidi ya Trillion 57 za Uganda ambazo ni sawa na zaidi ya Trillion 36 za Tanzania. Zuri lililonivutia...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa Haki Sawa 50/50 hakuna kulipa Faini ukimpa Mwanamke mimba au mtoto

    ULIMWENGU WA HAKI SAWA 50/50 HAKUNA KULIPA FAINI UKIMPA MWANAMKE MIMBA AU MTOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Oooh! Umemzalisha mtoto wetu, lipa sijui FAINI, sijui lipa vitu gani. Sasa Sisi Watibeli tukitaka kuonyeshwa huyo Binti aliyezalishwa analetwa Mwanamke MTU mzima kabisa zaidi ya...
  14. tpaul

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wajibu wa kila mwenye kipato kulipa kodi

    Bunge limetunga sheria mbalimbali za kodi ili kwamba kila mtu mwenye kipato halali aweze kulipa kodi, hivyo kuchangia mapato ya serikali. Lakini jambo moja la kusikitisha sana ni kwamba wanasiasa, ambao ndio wanaotunga sheria hizi, wameamua kujisamehe kulipa kodi kwa manufaa ambayo wanayajua...
  15. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Kulipa bill before menu

    Yaani huu mfumo wa kulipa kabla ya huduma iwe rule kwa kila establishment Km KFC na wengine coz yaliyonikuta🤧🤧🤧🤧 Nimefika sehemu nimeagiza kinywaji Uyo dada kaja na kinywaji chake akaanza kuniongelesha na tukaongea weee Kumbe katoa signal Nipo naye which means bills on me. Me Sina hata habari...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani yakiri kuwa na madeni, yaahidi kulipa, wapinzani wasema kiwango cha kukopa kinatia wasiwasi

    Rais wa Marekani, Joe Biden amejaribu kuwahakikishia Viongozi wa Ulimwengu kuwa Marekani haitoshindwa kulipa deni lake licha ya kiwingu kinachogubika mazungumzo ya kuongeza ukomo wa Serikali yake kukopa. Akiongea kabla ya kukutana na Viongozi wa kundi la Mataifa manne linalofahamika kama QUAD...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu kulipa kodi halali labda unataka kufilisika

    Kwa mfanyabiashara mdogo na mkubwa kulipa Kodi Halali ni vigumu sana,akilipa Kodi Halali ajiandae kufunga biashara yake (kufirisika) viwango vya Kodi ni vikubwa mno. Wafanyabiashara wengi wanaamua kutumia mbinu kama kusema uongo juu ya mauzo ya Kila siku Ili akadiriwe Kodi kidogo,kufoji...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushindwa kulipa bilion 9, Cyprian Msiba aombewa

    Cyprian Msiba amegeukia maombi baada ya kuelekea kufilisiwa mali zake kufuatia kushindwa kulipa deni la bilioni 9 analodaiwa Benard Membe
  19. SYLLOGIST!

    JamiiForums Tanzania Trump awajibishwa kwa kashfa ya unyanyasaji wa kingono, Kumlipa E. Jean Carroll $ 5 milioni

    federal jury in New York found former President Donald Trump liable for battery and defamation in a civil trial stemming from allegations he raped the writer E. Jean Carroll in a department store dressing room in the mid-1990s. She was awarded $5 million total in damages. The jury, made up of...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongeza Miaka 15 Kulipia Nyumba za Magomeni Kota

    Wakazi wanaofikia 644 wa eneo la Magomeni Kota jijini Dar es Salaam waligoma kusaini mkataba wa kuanza kununua nyumba za eneo hilo kwa madai kwamba bei pamoja na muda wa malipo uliopangwa haukuwa rafiki kwao na wala hauendani na hali zao za kiuchumi ambapo walipaza sauti zao kumuomba Rais wa...
Back
Top Bottom