kulipa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania PSSSF imeshindwa kulipa pensheni za wastaafu. Wengine sasa ni zaidi ya mwaka hawajalipwa

    Kila wakienda wanapigwa danadana bila maelezo ya kueleweka. mwaka mzima, wengine miezi 4, 5, 6 etc etc. Waziri mwenye dhamana ni nani? Nina uhakika anajua hilo, na habari za ndani ni kuwa wamefilisika hawezi lipa mafao ya wastaafu kama lumpsum, na malimbikizo ya kila mwezi kwa ambao tangu...
  2. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Ripoti Maalumu Mikopo Chechefu, Mabilioni ya Shilingi yakwapuliwa, wengine wagoma kulipa

    JItihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kukaribisha na kuhamasisha uwekezaji wa ndani na kutoka nje ya nchi kuja kuwekeza nchini unaelezwa kutiwa kigingi na tabia chafu inayozidi kuota mizizi ya baadhi ya wafanyabiashara wakubwa kushirikiana na baadhi ya majaji wa mahakama kuu wasio waaminifu...
  3. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Iran wanaogopa kulipa kisasi, Ayatollah itabidi aishi kwenye Mahandaki kama Sin-war na Nasrallah

    Serikali ya Iran ipo kwenye khofu endapo watajaribu kulipiza kisasi dhidi ya Israel baada ya kauli ya kibabe ya Netanyahu. vita inaweza kuwa kubwa na Tatizo la Israel huwalenga kwanza Viongozi na Iran haipo tayari kabisa kumpoteza Ayyatollah au aishi kwenye mapango na mahandaki kama mwenzake wa...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bilioni 1.7 Kulipa Posho za Wenyeviti wa Vijiji na Mitaa

    Bilioni 1.7 Kulipa Posho za Wenyeviti wa Vijiji na Mitaa Serikali imeendelea kulipa posho za wenyeviti wa vijiji, vitongoji na mitaa ili kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao ipasavyo. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)...
  5. DIDAS TUMAINI

    JamiiForums Tanzania Je, ni sheria kila mkazi wa Dar kulipa hela ya taka?

    Wakuu salamu, Naomba kujuzwa, hivi ni sheria kuwa kila mkazi wa dar kulipa hela ya taka kwenye eneo lake la biashara hata kama biashara yako haizalishi taka? Kumekuwa na tendency ya wakusanya taka kutoza hela kwa kila mwananchi hata kama kwa mwezi huo hawakuzoa taka kwenye eneo lake. Je, ni...
  6. TODAYS

    JamiiForums Tanzania SGR Mchakato wa Nauli ndiyo huu hapa, mtoto hadi Moro kulipa Tshs 12,400

    Mkurugenzi mkuu wa TRC ndg Kadogosa alikuwa akiongea na kamati ya bunge walipotembelea mradi huo na kusema "Kuhusu mchakato wa nauli, sisi TRC tumemaliza sehemu yetu ambapo tumewasilisha kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu (LATRA) kila kinachohitajika." Alisema wanaelewa kuwa LATRA...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Guterres atoa wito kwa nchi za Magharibi kulipa fidia Waafrika kutokana na biashara ya utumwa

    Mar 26, 2024 10:52 UTC Guterres atoa wito kwa nchi za Magharibi kulipa fidia Waafrika kutokana na biashara ya utumwa. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kulipwa fidia watu waliosafirishwa kwa njia haramu kama watumwa kutoka Afrika hadi katika nchi za Bahari ya...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kulipa Tsh. Milioni 10 kwa kila Goli la CAF

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro, amesema hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Goli la Mama limepanda kiwango kutoka Tsh. Milioni 5 hatua ya makundi hadi milioni 10 katika hatua ya robo fainali. Pia soma: Rais Samia kununua kila goli Tsh. Milioni...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Aibu tupu!! Vyuo vya Tanzania mtu anasoma masomo ya biashara miaka mitatu na kulipa almost milioni 5 lakini hajui hata kufungua biashara

    Yani hawa wahitimu wakitaka kuanza biashara unaweza kudhani hata hawakufika chuo, Unakuta mhitimu ana Diploma au Degree ya Business Administraion au Business Management lakini hawezi kufanya haya mambo ya kawaida, inabidi aelekezwe huko kwenye stationery tena wakati fulani anaelekezwa na mtu...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Serikali impe angalizo Jerry Silaa, namuona anaiingiza Serikali katika mgogoro mkubwa wa kulipa fidia!

    Leo katika taarifa ya habari ya ITV nimemuona Jerry Silaa akisimamia kubomoa ghorofa, na bila shaka kwa kujifanya yeye ni hakimu au Jaji mwenye uamuzi wa mwisho, kwa nini asishauri watu wafuate mlolongo wa mahakama ambao unasikiliza pande zote na kutoa haki ya rufaa ya ngazi tofauti? Kwa nini...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kulipa kupitia Vizacard mtandaoni

    Ndugu zangu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nimepatwa na changamoto ya kushindwa kulipia malipo mtandaoni kupitia visa card, nimetumia card ya TIGO,VODA na CRDB lakini nimeshindwa kufanikiwa kwa muda wa wiki moja sasa hata hivyo mwanzoni malipo yalikuwa hayasumbui...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nawekezaje bumu linisaidie kulipa ada?

    Wakuu kwema Naombeni ushauri wa kimawazo , mimi nilikosa tuition fee nina bumu tu. Kozi yangu ni ya miaka mitano , uwezo wa kiuchumi upo chini, nilikata rufaa kuomba mkopo upya sikupata . Nawaza labda Kuna namna pesa hii ya meal and accomodations inaweza tumika kwenye biashara fulani then...
  13. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania ASEC Mimosas kulipa fadhila kwa Wydad Casablanca

    Hivyo ndivyo ninavyoweza kusema kwasababu kama tunakumbuka fainali za mataifa ya Afrika yametamatika hivi karibuni na Bingwa kuwa muandaaji wa michuano husika yaani Cotè d'ivoire. Kama mtakumbuka; Baada ya Cotè d'ivoire walipenya kwenye tundu la sindano na hii ni baada kupita kama Best looser...
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu asema Tanzania inakopa kwa sababu inaweza kulipa

    Serikali imesema nchi inaendelea kukopa fedha kwa ajili ya utekelezaji miradi ya kimkakati kwa sababu ina uwezo wa kulipa. Kauli hiyo imetolewa leo Ijumaa Februari 23, 2024 na Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, akisema kadri nchi inavyokuwa tajiri ndivyo viwango vyake vya madeni huwa vikubwa...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Signings zetu Mbili mpya zinaanza Kulipa, zao Mbili moja Imesharogwa na nyingine inaendelea Kujitafuta wakati haijui Mpira kabisa

    Na safari hii tunatumia Mbinu mpya ya Kuwakinga Kindumba / Kiuganga na tabia zenu za Kuwaroga ili wasiwike kama huko walikokuwa hamtotuweza tena. Kuna Siku hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilisema kuwa kuna Mchezaji wenu Mmoja aliwika ghafla na mkampenda kuliko Maelezo anaenda kupotea Kitabia...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania eBay kulipa Dola Milioni 59 kwa mauzo ya zana za kutengeneza dawa kinyume cha Sheria

    eBay imekubali kulipa $59m (£46.3m) kutokana na madai kuwa iliuza vifaa vinavyoweza kutengeneza dawa za kulevya. Idara ya sheria ya Marekani ilikuwa imedai kuwa maelfu ya mashine za kutengenezea vidonge na mashine za kufungia ziliuzwa kwenye tovuti, ikiwa ni pamoja na kwa watu ambao baadaye...
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Wakili Msando na mkewe wachemka mahakamani, waamuriwa kulipa fidia ya milioni 175

    Mahakama Kuu, imewaamuru wafanyabiashara Albert Msando na Jacquelene Msando, kumlipa mfanyabiashara Bahati Mgonja anayemiliki kampuni ya Y&H Mgonja Enterprises, Sh175 milioni kama fidia ya biashara ya vinywaji. Hii ni baada ya mrufani wa kwanza, The Don’s Group Tanzania ya Jijini Arusha na...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Matajiri 270 wanaohudhuria mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani waomba kuongezewa kodi

    Matajiri 270 wanaohudhuria mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum) wanawasilisha kwa mara nyingine tena ombi lao la kutaka kukatwa kodi zaidi kwenye utajiri wao uliokithiri. Kwa pamoja matajiri hao wamesema kumekuwa na gap kubwa kati ya maskini na matajiri na hivyo kuwafanya...
  19. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Serikali kuchelewa kulipa wakandarasi TANROADS, RUWASA; Je Serikali haina hela?

    Toka Awamu ya Mama aingie madarakani kumekuwa na ucheleweshaji wa malipo ya wakandarasi wnaofanya kazi na serekali. Mwezi wa 11 mwaka jana Waziri Bashungwa alifanya kikao na wakandarasi moja ya malalamiko aliyapata ilikuwa na ucheleweshaji wa fedha za wakandarasi tofauti na miaka ya nyuma...
  20. S

    JamiiForums Tanzania DED Tunduru kwanini huu ubaguzi katika kulipa pesa za likizo?

    Wiki iliyopita baadhi ya walimu walilipwa pesa zao za likizo baada ya nafikiri kulalamika humu jukwaani. Pesa hizo wamelipwa baadhi ya walimu, tunauliza kwanini ubaguzi huu? Kwanini baadhi walipwe na wengine wasilipwe. Je ni kwasababu ya rushwa au kujuana? Mheshimiwa waziri Mchengerwa...
Back
Top Bottom