Habari wadau.
Najaribu kuwaza ikitokea sensa ya wenye elimu ya chuo kikuu ila hawana ajira ikafanyika. Mtazamo wa wazazi juu ya elimu utabadilika sana.
Kwa hali ya ajira ilivyo,,Ada za mamilioni tunazolipia watoto wetu ni bora tuwanunulie mashamba, mifugo, kuwajengea vyumba vya kupangisha etc
Kizazi cha sasa ajira nyingi zipo kwenye umaarufu yaani mtoto awe influencer, comedians, singer, muigizaji, mwanamichezo etc etc.
Mtu unalipa ada mamilioni kila mwaka english medium. .mtoto anafika udsm na bado ajira hapati. Akimaliza inabidi umfungulie tena duka la nguo.
Si bora hizo ada ungemtunzia kwa kumnunulia viwanja na asset zingine aje apate mtaji mbeleni