Kulingana tafiti za shirika la chakula na kilimo duniani:- Food and Agriculture Organization (FAO) za mwaka 2023, Kuna kama kuku 34.4 Billion ambao bado ni wazima au zaidi ya hapo kwa sasa duniani.
Huku ukilinganisha na idadi ya binadamu waishio kwa ambayo mpaka sasa inasomeka...
Ni utapeli unao fanywa na Vyama vya Upinzani nchini Tanzania kuwaaminisha watanzania kwamba vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani wakati vinajua kabisa havina uwezo huo.
Mtanzania kataa huo utapeli.
# Come 2025, I will "Samia" my vote . What about u?
KANISA LA WASABATO MNAPASWA MKOSOE MAOVU YA SERIKALI ZAIDI KULIKO KUKOSOA WENZENU WA ROMAN CATHOLIC.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Mimi nimezaliwa kwenye Usabato, nimekua na kulelewa kwenye Usabato. Kimsingi Mimi ni Msabato ingawaje ni Mtibeli kiasili. Yaani tuseme ni Mtibeli aliyezaliwa...
Kuna sababu dhaifu sana za kuhalalisha uraia pacha. Nchi zetu hizi zina mifumo legelege sana ya kudhibiti uhalifu na wizi wa mali na rasilimali za taifa.
Hata bila uraia pacha mali zetu zinaibwa na watanzania na viongozi wetu na kwenda kufichwa nje ya nchi (ulaya, marekani na Asia (Dubai, oman...
Kwanza kabisa huwa nawashangaa wanaopiga kelele kuhusu mtu asome mpaka chuo ili aweze kufanya biashara wakati wanachuo hao wapo bize kutafuta ajira na wakizipata wanaridhika na mishahara.
Na hata wasomi wanaofanya biashara wengi wao wanafanya biashara hizi hizi wanazofanya watu walioshia darasa...
Alright okay ni wako selemani sele hilo nalo ni lile somo la kuogopa wanawake kama ukoma twende na mistari.
Nilikuwa na Manzi yangu niko nae miaka 8 sasa ni dem ambae yuko tough Sana kwangu kwanza hayuko romantic, ana majibu makavu kichizi unaweza mwambia nakupenda akakujibu Asante mkuu...
Tangu mapinduzi ya muziki wa Tanzania yatokee kwenye miaka ya 1990 na kuzaliwa muziki wa kizazi kipya yani bongofleva kumetokea wasanii wengi hodari.
Ila hajawai kutokea mpaka sasa msanii anaeweza kuimba live nyimbo au muziki wa bongofleva kumzidi Mbosso.
Mbosso ni fundi wa live music.
Anaimba...
Haya mataifa mawili yaani Russia na China yanawachukia Sana Waislam kuliko USA.
Waislam USA wanaabudu kwa Uhuru zaidi kuliko China na Russia lakini cha kushangaza waislam wanaichukia Sana Marekani
Taifa la China linatamani hata Leo waislam wasiwepo, China ndiyo hivyo tu wanabanwa na Marekani...
https://www.instagram.com/reel/C1rIUPsi23K/?igsh=ZWI2YzEzYmMxYg%3D%3D
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Abeid Abeid Kafunda, amemsimamisha kazi Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Mkwajuni Isabella Renatus kutokana na madai ya kutokuwa na kauli nzuri kwa Wagonjwa huku akijisifu kuwa ana...
Waweze kuta hata mtu awe na duka akiweka mtu anataka aweke binti.
Huku kwenye makampuni nako ukiachana na kazi za kiume kama IT, kubeba mizigo, uhandisi, uongozi, n.k. unakuta wanawake ndio wamejaa zile kazi zinazosomewa equally na jinsia zot mfano cashier, wahasibu, reception, n.k.
Kwanini
Kuna tofauti kubwa kati ya uwezo wa kufikiri na uwezo wa kukariri.
Ubongo usiokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri unapenda majibu mepesi.
Mfano unaweza kumwambia mtu mwenye akili ya kutosha kuwa, kuiba sio vizuri kwa sababu kuna matokeo mabaya kama kufungwa, kupigwa n.k na akakuelewa,
Ila mjinga...
Maoni!!
Wengi huwa tuna malengo ya kujifunza mambo mapya huu mwanzo wa mwaka,
Je ni kipi cha kujifunza kati ya animation na programming?
Kama mimi ningeambiwa nichague ningeenda na animation
Animation ina fursa sana na soko kubwa kulinganisha na programming, kuanzia 2D hafi 3D soko...
January Makamba ameliharibu shirika la Tanesco amekuwa Waziri kwa muda mfupi na kulirudisha shirika hili miaka 40 nyuma yaani enzi za giza huyu ni mharibifu Sana itachukua muda mrefu Sana kulirekebisha ni mhujumu uchumi anatakuwa kufukuzwa Mara moja kazi ya uwaziri na afunguliwe kesi ya uhujumu...
Nimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.
Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa.
Haswa ukizingatia...
Habari wana JF, poleni na majukumu ya hapa na Pale 🤝.
• Kuhusu hili suala, naona kama ni uraibu wa mke wangu kutazama katuni na watoto kila dakika. "[uende - urudi ni katuni kwenda mbele na michezo ya hapa na pale.] "
• Mke wangu huwa anafurahia sana kutazama na kuimba pamoja na watoto wetu...
Anaandika, Robert Heriel,
Mtibeli.
Hakuna kazi rahisi kama kuuondoa Umaskini. Rahisi Sana. Ukisikia mtu anakuambia kupambana na umaskini na ikazidi ngumu basi jua huyo ni muongo au anazungumzia, Siasa.
Matatizo ya asili yanakabiliwa kwa urahisi na kanuni rahisi kuliko matatizo ya kutengenezwa...
Viwanja vya kuandaa Afcon 2027 vimefikia hatua gani Arusha na Dodoma? Au bado vipo kwenye upembuzi yakinifu?
Zanzibar inaenda kasi sana kusema miradi yote inategemea pato lake ni ngumu kuamini, yote kwa yote pongezi kwao kwa Amani Sports Complex
Baada ya kufanya Tathmini kabambe huku D'Salaam na Mkoani Mbeya , kwa kweli tumegundua kwamba Sherehe za Christmas ni kama hazipo kabisa kutokana na dhiki kuu iliyosababisha Ugumu mkubwa wa Maisha ambao Wazee wengi wanadai haujawahi kuwepo kwenye nchi tangu wapate akili.
Mishahara duni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.