Ni kwanini waislam wanazipenda sana China na Russia kuliko USA

Status
Not open for further replies.

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,394
Haya mataifa mawili yaani Russia na China yanawachukia Sana Waislam kuliko USA.

Waislam USA wanaabudu kwa Uhuru zaidi kuliko China na Russia lakini cha kushangaza waislam wanaichukia Sana Marekani

Taifa la China linatamani hata Leo waislam wasiwepo, China ndiyo hivyo tu wanabanwa na Marekani kuhusu Uhuru wa kuabudu.

Utashangaa watu wametoka nchi za kiislamu, wako USA au Europe na wanapewa Uhuru wa Kuandama na wanazitukana hizi nchi za Magharibi.

Utashangaa Uhuru huo hawana wakiwepo hizo nchi zao.

Tatizo ni nini? Taifa la China linatamani hata kesho kuufuta uislam lakini waislam ndiyo kwanza wanaisifia.
 
Nyinyi mbona kila siku kuwashobokea wayahudi wakati wanawachukia nyinyi wakristo na kuwaona kama mavi?

Halafu una uhakika na unacho kisema mbona asilimia kubwa ya mataifa ya kiislam ni washirika na marafiki wa Marekani?
 
Haya mataifa mawiri yaani Russia na China yanawachukia Sana Waislam kuliko USA.

Waislam USA wanaabudu kwa Uhuru zaidi kuliko China na Russia lakini cha kushangaza waislam wanaichukia Sana Marekani

Taifa la China linatamani hata Leo waislam wasiwepo China ndiyo hivyo tu wanabanwa na Marekani kuhusu Uhuru wa kuabudu

Utashangaa watu wametoka nchi za kiislamu, wako USA au Europe na wanapewa Uhuru wa Kuandama na wanazitukana hizi nchi za magharibi

Utashangaa Uhuru huo hawana wakiwepo hizo nchi zao

Tatizo ninini? Taifa la China linatamani hata kesho kuufuta uislam lakini waislam ndiyo kwanza wanaisifia.
Waongo, zilongwa mbali zitendwa mbali
 
Ni kwa sababu ni mataifa makubwa lakini hayana Ukristo, ni hilo tu hakuna lingine
 
Haya mataifa mawiri yaani Russia na China yanawachukia Sana Waislam kuliko USA.

Waislam USA wanaabudu kwa Uhuru zaidi kuliko China na Russia lakini cha kushangaza waislam wanaichukia Sana Marekani

Taifa la China linatamani hata Leo waislam wasiwepo China ndiyo hivyo tu wanabanwa na Marekani kuhusu Uhuru wa kuabudu

Utashangaa watu wametoka nchi za kiislamu, wako USA au Europe na wanapewa Uhuru wa Kuandama na wanazitukana hizi nchi za magharibi

Utashangaa Uhuru huo hawana wakiwepo hizo nchi zao

Tatizo ninini? Taifa la China linatamani hata kesho kuufuta uislam lakini waislam ndiyo kwanza wanaisifia.
Dunia ni kubwa sana mkuu ngoja nijaribu kadri ya uwezo wangu kuelezea

1. China Wana Ugomvi na Waisilamu wenye Asili ya Turkic (Ughuyr) ila wapo vizuri na Waislamu wenzao wenye Asili ya Hui so ni Mixture ya Ubaguzi wa Dini na Rangi, hao Hui japo ni Waisilamu nao wanapigana pia na Ughuyr, kwa point of view ya uislamu tunateteta Waislamu wenzetu popote walipo ila kwa point of view ya Kichina ni Ubaguzi wa Mchina kwa asie Mchina. Ughuyr na minorities wengi China ndio wanakuwa pisi Kali pia.

2. Urusi Ugomvi wao na Waislamu uliisha zamani, Sasa hivi Chechen wengi ndio wanaotumika na Putin kuimarisha nguvu yake. Pia Waislamu wengi zinaenda na wakristo wa Orthodox na madhehebu mengine ya East, Russia ni Orthodox na sio Russia Tu Armenia, Lebanon na Nchi nyingine za huo Ukanda zenye wakristo wengi utaona pia allies wao ni Waislamu, Kuna Ugomvi mkubwa wa maelfu ya miaka baina ya Kanisa la Magharibi na Mashariki.

3. Bottom line kinachogombaniwa ni pesa, ukiwa Muislamu toka Gulf unatokea Qatar, Saudia ama Kuwait unagombaniwa popote Duniani, ila ukiwa Muislamu Masikini unatokea Afrika, Afghanistan, Pakistan, Bangladesh utawekewa maelfu ya vikwazo.
 
Hakuna watu wanafiki kama waislamu nchi za kiislamu ndo zinaongoza kushiriki bahati nasibu ya kwenda marekani...
Tatizo lenu akili zenu zimejaa uisilamu na ukristo wenzenu wanawaza pesa. Uingereza ama USA Wana Encourage waarabu wa Gulf waende Nchi zao, mtu anatoka Oman kama anataka kwenda uingereza anatakiwa tu atoe taarifa masaa 24 kabla na anaweza akakaa miezi kadhaa haulizwi kitu, ila wewe hata uwe mkristo Umesoma miaka 40 hupewi priveldge hizo, nchi zote kubwa Duniani unazozisikia Zina Bei, Kuna kiasi kadhaa Cha pesa ukishakua nacho Basi priveldge zote unapewa.

Nchi zisizotakiwa ni zile ambazo ni za Masikini bila kujali una Dini Gani wote wanabaguliwa.

Soma hapa Visa waiver ya UK

Ukiwa unatoka hizo nchi za Gulf, unasoma tu UK wanakupa Uraia ili uwe na Uraia pacha, hawasumbuki hao kwenda USA ama UK wanaenda tu kama wewe unavyoenda Morogoro ama Mwanza.

Inakadiriwa asilimia 16 ya thamani ya Majengo yote uingereza yanamilikiwa na waarabu wa middle East.
 
Haya mataifa mawiri yaani Russia na China yanawachukia Sana Waislam kuliko USA.

Waislam USA wanaabudu kwa Uhuru zaidi kuliko China na Russia lakini cha kushangaza waislam wanaichukia Sana Marekani

Taifa la China linatamani hata Leo waislam wasiwepo China ndiyo hivyo tu wanabanwa na Marekani kuhusu Uhuru wa kuabudu

Utashangaa watu wametoka nchi za kiislamu, wako USA au Europe na wanapewa Uhuru wa Kuandama na wanazitukana hizi nchi za magharibi

Utashangaa Uhuru huo hawana wakiwepo hizo nchi zao

Tatizo ninini? Taifa la China linatamani hata kesho kuufuta uislam lakini waislam ndiyo kwanza wanaisifia.
Uharo mtupu
 
Nyinyi mbona kila siku kuwashobokea wayahudi wakati wanawachukia nyinyi wakristo na kuwaona kama mavi?

Alafu una uhakika na unacho kisema mbona asilimia kubwa ya mataifa ya kiislam ni washirika na marafiki wa Marekani?
Ameuliza kwa nini, ulitakiwa ujibu swali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom