EX kaniacha baada ya miaka nane nikapata kifaa kuliko yeye

Selemani Sele

Senior Member
Feb 25, 2023
148
410
Alright okay ni wako selemani sele hilo nalo ni lile somo la kuogopa wanawake kama ukoma twende na mistari.

Nilikuwa na Manzi yangu niko nae miaka 8 sasa ni dem ambae yuko tough Sana kwangu kwanza hayuko romantic, ana majibu makavu kichizi unaweza mwambia nakupenda akakujibu Asante mkuu kuonana na mimi ilikuwa ni kipengele yan sote tuko Dar ila hakubali nionane nae hata miez 7 and more mpaka ajisikie lakin sababu aliyo kuwa ananipa kwamba yuko busy na chuo anasoma.

Back to story mbali na kuwa tough nilikuwa na mzingatia na nikawa naona kwamba Future wife ndio huyu sasa na uzuri familia yake inanijua japo sijatoa mahari ila nafahamika kwao, sasa mwezi wa nne mwaka jana kwenye Valentine day nilikuwa nimejipanga sana nikasema nataka kufanya bonge la surprise kwake .

Picha likaanzia Asubuhi Nikabook sehemu table ya diner nikalipia na mazaga mengine Almost 250k ikafika mida ya mchana nikasema ngoja nimpost baby wangu , nikampost bhn sasa nia yangu ilikuwa aki reply nimwambie kwamba nina surprise yake zikapita kama dakika 30 nikaja kuchek ame view ila aka uchuna nikasema daah fresh labda yuko busy, baada kama ya dakika 15 mbele akapost yeye nikasema yesss nimepostiwa bhn kufungua sikuamini macho yangu kaka.

Alikuwa amempost jamaa na bonge moja la caption sijawai ona yule akiwa romantic kwa maneno aliyo andika kuhusu yule jamaa kaka nilikuwa nje nimesimama miguuu ikaisha nguvu ikabidi nikae.

Nikampigia simu nikamuuliza ni nini hiki umeposti akaniambai " kwani wewe umeona nini ulicho kiona ndio kiko hvyo na kitabaki hvyhvy " akakata simu akanilamba block Daah kaka nilihisi kuchanganyikiwa nililia kaka kama mtoto, ile hali ilinichukua kama mwez 1 hiv sitoki ndani siongei na mtu niko ndani tu Bimkubwa ndio akanipiga Canceling nikarudi kwenye hali ya kawaida nika move on.

Sasa bhn Mungu si Athumani Kuna Dada mmoja alikuwa mteja wetu ofisini maana mimi nafanya kazi za delivery Yule dada bhn Anapesa Kweli sio masihara akatokea kunipenda akanibadilishia Life Akaninunulia mpaka gari ( ndio manzi ambe niko nae in relationship ).

Sasa mwezi ulio pita bhn yule manzi alinitafuta Analia vibaya kumbe yule jamaa bhn alimpiga mimba na chuo akaacha na kwao kafukuzwa Anataka nimsamehe eti ananipenda Kaka nimemlima Tofali kila sehemu staki Usenge kabisa yan
 
hongera sn mkuu
FB_IMG_1704514939900.jpg
 
Mkuu hiyo inamaanisha huyo manzi anakudharau kishenzi,kakuacha then anakutafuta Ili ulee mimba,kisa anayempenda Kwa dhati kamtema na ww bila aibu unaleta bandiko,how ziro are you?
 
  • Thanks
Reactions: apk
Themosi za sku hizi zinatunza sana chai..Chai ya saa sita unakunywa saa moja jioni lakini bado inakuunguza mdomo😁.Ntafute juice ya muwa nichanganye maana sukari imepanda bei.
 
Piga Ela boya anaekulea haraka then Tafuta demu wa Lika lako tengeneza maisha...ila namashaka na akili Yako et mwezi unalia ndani kisa demu pumbavu utalishaje familia ukiishi Ivo.

Mwisho Toka kwa Mama utaongeza akili
 
8years uonane NAE kila siku ili umtumie kama mkeo khaa

Kwani gari ndio upendo eti? huna furaha,unatunzwaje na Mwanamke eti
 
Unapata nafasi ya kulipiza kisasi tena kwa kujipimia unatoka nduki.

Wewe vipi wewe?
 
Back
Top Bottom