kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SNAP J

    JamiiForums Tanzania Putin anaonya nchi za Magharibi: Urusi itaibuka kama taifa lenye nguvu zaidi

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema mwisho wa siku Urusi hatimaye itaibuka na nguvu na uhuru zaidi baada ya kukabiliana na matatizo yaliyosababishwa na kile alichokiita vikwazo haramu vya nchi za Magharibi. Putin alisema hakujawa na mbadala wa kile Urusi inachokiita operesheni yake maalum ya...
  2. Kibingu

    JamiiForums Tanzania Waafrika yatupasa kuiangalia vita ya Ethiopia kuliko vita ya Ukraine

    Leo mkuu wa shirika la haki za binadamu ameripoti mauaji ya kutisha na ubakaji huko Ethiopia kqtika majimbo ya Tigray na Afar. Idadi ya mauaji ya raia na visa vya ubakaji vinatia shaka kama mwafrika alipaswa kuaminika kupewa mamlaka ya kujiongoza mwenyewe. Ajabu zaidi ni kuwa sisi waafrika...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania safari Chaneli boresheni habari zenu; Mnaonesha utumbo mwingi sana kuliko ubunifu

    Ukizungumzia umhimu wa Documentary chaneli katika utalii Tanzania! Huwezi Kuacha kuizungumzia TANZANIA SAFARI CHANELI Chaneli hii imekuja kuonesha mageuzi makubwa sana katika sekta ya utalii Tanzania! Lakini pamoja na mazuri ya chaneli hii IPO shida kubwa sana katika namna wanavyowasilisha...
  4. Superman

    JamiiForums Tanzania Ogende ogaruke na Shuntama

    Nimewahi kusikia miaka ya nyuma kuwa kuna dawa za mapenzi za kihaya moja inaitwa UGENDE UGARUKE nyingine SHUNTAMA ambazo akina dada huwa wanatumia kuwapumbaza Wanaume kimapenzi ili wawapende sana. Kwa wale walio na uelewa wowote wa mambo haya, je kuna ukweli wowote au ushuhuda? Au ni hadithi...
  5. Saint_Mwakyoma

    JamiiForums Tanzania Ni heri kubariki ndoa kuliko kufunga harusi

    Nimechukua miaka miwili kuchunguza hili Jambo, kwanini ndoa za siku hizi hazidumu na zimesongwa na milima mingi na mabonde kuliko tambarare. Kila mara watu wanatumia nguvu nyingi kuendesha mahusiano yaliyokufa ndani ya nafsi japo Yana heshima kubwa mbele ya macho ya watu. Baada ya uchunguzi...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaogopa sana kuiba umeme wa TANESCO kuliko maji ya DAWASCO?

    Hivi kinachofanya watu waogope kiasi hiki kuiba umeme ni nini hasa? Mbona mitaani wanakata mabomba ya maji na ku-bypass bila uwoga?
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kipanya leo: mikono inayosaidia watu ni mitakatifu kuliko midomo inayosali.

  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtaturu: Gharama za ATCL ndani ya Tanzania ni kubwa kuliko zile za Dubai

    Mbunge Miraji Mataturu alia na bei za ATCL === Mbunge wa Singida Mashariki (CCM), Miraji Mtaturu ameitaka Serikali kutafuta suluhisho la bei kubwa ya usafiri katika ndege za Shirika la Ndege Nchini (ATCL) ambapo amezifananisha gharama hizo na gharama za kwenda Dubai. Mtaturu ameyasema hayo...
  9. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atawashangaza wafuasi wake, hawataamini

    Ni suala la muda tu na muda umekaribia, huwezi kuishi kwa Uongo maisha yote, uongo ni mzigo na mgumu sana kuutetea siku zote. Tundu Lisu na Samia ni wamoja kufungwa kwa Mbowe kuna mengi zaidi. Jitayarisheni kisaikolojia, ni kama unaishi na Mtu unayemuamini maisha yote kama Mzazi au Mke halafu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Profesa Jay ni tafsiri sahihi ya msemo 'TUISHI". Maisha yake ni faraja kuliko uzuni

    Moja ya Jambo ambalo wanasiasa na Viongozi wengi wameshindwa ni "KUISHI". Watu wengi wanaopata nafasi au uungwaji mkono wamekuwa wepesi kukengeuka na kuacha kuthamini waliochini Yao matokeo yake wanawageuza wenzao kuwa tambara bovu (kifutio Cha uchafu) Nimeangalia mwitikio wa wananchi kwenye...
  11. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kshs. ina thamani kubwa kuliko Tshs?

    Huu mjadala nimeukuta mahali, kwanini pesa ya Kenya inathamani kubwa kuliko ya Tanzania? Mjadala ulikuwa mkubwa sana watu kidogo wazichape, mkenya alikuwa mmoja tu watz tulikuwa kama wote. Wapo waliodai utofauti wa pesa yetu na yao ni namba tu, kwa mfano 500 ya kenya ni sawa 10k ya tz watu...
  12. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Mambo matano (5) ya kukusaidia kununua nyumba ya kupangisha kwa bei nafuu kuliko bei halisi

    Kanuni mama ya uwekezaji kwenye viwanja na nyumba ni kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba. Kanuni hii inamhusu mwekezaji yeyote anayewekeza kwenye viwanja na nyumba. Kwa kutumia mbinu yoyote ya uwekezaji huu na kwa wakati wowote unatakiwa kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Madai ya watu kuishi Hifadhi ya Ngorongoro na wanyama pori kuwa ni kuvutia utalii ni ujinga

    Hivi karibuni kumezuka mijadala mingi juu ya uwepo wa zaidi ya watu zaidi ya laki Moja kuishi hifadhi ya Ngorongoro kuwa ni njia Moja wapo ya KUVUTIA UTALII ni ujinga na upuuzi usio vumilika hata kidogo. Tumeshudia Waandishi wa habari Maulid Kitenge na Oscar Oscar Mzee wa Kaliua wakiwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania CCM ya leo na viongozi wake ni uncomfortable kuliko ya Kikwete na ya miaka ya nyuma na wanasumbuliwa na fear of unknown kutokana na chaguzi kuvurugwa

    Iko hivi: Wakati wa Kikwete na Mkapa, CCM waliweza kujipima kupitia chaguzi wanakubalika kwa kiasi gani au wanakaliwa kwa kiasi gani katika maeneo tofauti ya nchi yetu na hivyo kujipanga kutokana na hali halisi inayowakabili kutoka kwa umma. Ni kweli hata wakati wakati wa Kikwete na Mkapa...
  15. OLS

    JamiiForums Tanzania Saratani ni tishio, bado bei ya tumbaku ni kubwa kuliko pamba, chai na katani

    Wizara ya Afya imetaja matumizi ya tumbaku kama moja ya sababu ya watu kupata saratani. Hata hivyo bei ya zao la tumbaku ni kubwa kuliko mazao mengine ya biashara katika soko la dunia Kwa takwimu za kuanzaia Januari 2015 hadi Septemba 2021, wastani wa bei ya tumbaku ni Dola 4.7 kwa Kilogram...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania List ya Mirabaha ni kama orodha ya wauzaji wakubwa mitaa ya uswazi, si ajabu vitumbua vya mama chiku kuuzwa vingi kuliko bidhaa za azam / bakresa

    Taasisi ya Haki Miliki Tanzania COSOTA imetoa orodha ya Wasanii 21 wa Tanzania ambao wameongoza kwa kupata pesa nyingi za mirabaha kutokana na nyimbo zao kuchezwa kwenye sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye Radio na TV. 21. Ray C 20. Lady Jaydee 19. Abby Chamz 18. Luludiva 17. Mwasiti 16. Linah...
  17. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ipi sababu ya Kenya kupendwa kuliko Tanzania licha ya kuwapita utajiri wa utamaduni?

    Nilikuwa naangalia video flani YouTube inahusu capital city za nchi 54 za Africa. Sasa nikaenda sehemu ya comments kusoma nikajionea watu wengi kutoka mataifa mbalimbali dunia wakiisifia Kenya kuwa ndo favourite country yao lakini kiuhalisia ni dhahiri tumewazidi vivutio (Sina haja ya kuvitaja...
Back
Top Bottom