kuku

  1. DIKASHWA

    JamiiForums Tanzania Ya JATU Limited yasije yakawa ya Mr. Kuku

    Jatu LIMITED COMPANY ni kampuni ya umma inayowaunganisha wakulima na kuwawezesha kulima kisasa na baada ya mavuno kampuni hununua mavuno yote na kuandaa bidhaa ambazo huuzwa kwa mawakala na wanachama wa JATU kwa mfumo maalumu unaomhakikishia mteja gawio la faida kila mwezi. Pia ni kampuni...
  2. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wabadili shule na kuwa banda la kuku

    Corona inawafinya kisawasawa hawa. ====== Businessman turns school into poultry farm as Covid-19 bites A businessman in Kirinyaga County has converted his private school into a poultry farm as Covid-19 pandemic wrecks havoc in the education sector. Joseph Maina, the proprietor of...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Atuhumiwa kuua nduguze waliomtuhumu kuiba kuku na redio

    Mwanaume wa miaka 33, mkazi wa Lira, Uganda anashikiliwa na polisi baada ya kuwaua ndnguze waliomtuhumu kuiba kuku na redio Mtu huyo alimkataka mjomba wake, Jackson Olong na alimshambulia mke wa mjomba wake na kumkata koromeo. Mtu huyo aliwalaumu nduguze kwa kuchafua jina lake kuwa amewaibia...
  4. Dam55

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

    Amesema Rais Magufuli huku akiwa ameshatangazwa kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Uchaguzi wa Oktoba 2020 ametoa rushwa Wilayani Kibiti kwa mujibu wa Fomu ya Kuweka Mapingamizi dhidi ya Mgombea Urais Amesema Rais Magufuli alipokuwa akigawa fedha kwa ajili ya madawati na shule...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Siasa yetu imekuwa nyepesi sana, hata kuku tu anakuwa mjadala mpaka ngazi ya kitaifa!

    Inawezekana hii ni mojawapo ya sababu ya kujitokeza mamia ya watia nia kwenye kura za maoni kwenye kiti cha mgombea urais 2015, urais Z'bar 2020 na ubunge 2020, sio kukua kwa demokrasia kama inavyodaiwa na viongozi mbali mbali wa CCM. Je, tunafikiri viongozi watangulizi walikuwa hawapewi...
  6. Kitabu

    JamiiForums Tanzania Kunguru na Mwewe wanashambulia sana vifaranga wangu

    Wakuu kunguru na mwewe wanashambulia sana vifaranga wangu wa kienyeji. Je kuna mbinu yeyote ya kudhibiti? Msaada tafadhali.
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 SAU yaja na sera za kumuwezesha Mtanzania kula kuku mzima

    Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kimesema kina sera ya kuboresha maisha ya Mtanzania kwa kuhakikisha Mtanzania anakula lishe bora, ili mtu aweze kula kuku mzima na kama anakunywa chai basi aweze kuwa na siagi, matunda, mayai na mboga. Mgombea Ubunge wa Jimbo la Moshi Mjini kupitia SAU amesema...
  8. Savimbi Jr

    JamiiForums Tanzania Samaki Samaki wafungua migahawa mingine inayojulikana kama KUKU KUKU

    Habari wadau wa JF, Wamiliki wa Samaki samaki waja na brand nyingine ya migahawa yao inayojulikana kama KUKU KUKU,mainly chakula chake kitakuwa Kuku Choma,Kuku Mchemsho etc Nawasilisha.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa kuwekeza kwenye kuku tayari ameshawaliza

    Uko uzi umu watu walikuwa wanauliza kama ule uwekezaji wa kuku uko vizuri ili wajiunge. Kama uko hapa jukwaani na umelizwa ni vizuri utupe mrejesho. Hii "story" huwezi kuisikia sana sababu watu wengi wanaolizwa mahela mengi mchana kweupe katika hizi fursa za uwekezaji ambazo zina "trend"...
  10. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kukaanga kwa mtindo wa Kijapani

    Mahitaji (Kutumiwa na watu wa 4) ・Mapaja 2 ya kuku (gramu 500) ・1/2 kijiko kidogo cha chumvi (gramu 2.5) ・Pilipili manga kwa ajili ya kutia ladha ・Vijiko vikubwa 2 vya sosi ya soya (mililita 30) ・Vijiko vidogo 2 vya maji maji ya tangawizi (mililita 10) juice ya tangawizi kamua. ・Unga wa ngano...
  11. My Joash

    JamiiForums Tanzania Samadi ya kuku kwa kuoteshea miti

    Wadau habari za usiku. Najua JamiiForums ni kisima cha maarifa, naomba ushauri kwa anayefahamu. Nina miti yangu ya matunda nataka kuotesha, nyumbani ninayo mbolea ya kuku (mavi ya kuku) nilitaka niitumie ila kuna watu wameniambia kuwa si nzuri kama ya mbuzi au ng'ombe, wanasema eti inainguza...
  12. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Supu ya Kuku na viazi mbatata

    Mahitaji Nyama ya Kuku Viazi/mbatata - 3 Kitunguu maji - 1 Kitunguu saumu(thomu/galic) - 5 chembe Pilipili mbichi - 2 Nyanya ya kusaga - 1 kijiko cha chai Pilipili manga ya unga - ½ kijiko cha chai Haldi/tumeric/bizari ya manjano - ¼ kijiko cha chai Mafuta ya zaytuni - 2 vijiko vya supu...
  13. Belleringal

    JamiiForums Tanzania Nauza majogoo

    Nauza majogoo ya kienyeji tsh 15,000 na majogoo mengine yenye uzito wa kilo 2 yanapatikana kwa tsh 23,000 . Napatikana morogoro mjini kwa mawasiliano unaweza kunipata kwa namba 0622482679 . Plz support my hustle 🙏 WAPO
  14. gwa myetu

    JamiiForums Tanzania FIFI wa tamthilia ya NYAVU dstv , ni kuku wa kienyeji na utamu wake

    Kwa wafuatiliaji wa tamthilia ya NYAVU kwenye dstv , huyo mrembo FIFI kabarikiwa trakooo hadi limemzidi akitembea. Hivi anatumia jina gani mtandaoni ? yaani hapa hakuna cha Uwoya wala Lulu , dogo yuko vizurii sema inaonekana kakosa matunzo tuu
  15. ze future

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba atimuliwe

    Huyu kocha naona huu ndo muda muafaka kwa uongozi wetu kumtimua maana kila siku anazoendelea kubakia timu nayo inaendelea kuwa mbovu. #kishingoout#kishingorudikwenu
  16. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kulea vifaranga wa kuku wa kienyeji kwa lengo lako ni kuwa na kuku wengi?

    Leo natamani kutoa elimu juu ya malezi ya vifaranga wa kuku wa kienyeji ili kupata tija. Napenda niwatoe wasiwasi kwa kuwajulisha kuwa haya mafundisho nitakayoyatoa nimeyasomea ( Agricultural science) na pia nimeyafanyia uchunguzi.Natamani yale mafupi sana ila yenye ubora Kwanza kabisa napenda...
  17. MONA WA KYEN

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu uchomaji wa kuku

    Wakuu habari natumaini wazima Ninapenda kuuliza kwa wale wachomaji wa kuku au ambao wana maarifa kidogo kuhusu uchomaji wa kuu. 1. Ili kuchoma nyama ya kuku iwe tamu inatakiwa kuchomwaje? 2.Kuna utofauti wowote wa kuchoma kuku hawa wa broiler na kienyeji? 3. Maandalizi kutoka kumchinja kuku...
  18. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Sijamuelewa Mtukufu juu ya Tausi wa ikulu

    Leo ikulu chamwino mtukufu rais Magufuli amewapa zawadi ya tausi 25 kwa kila moja kwa marais watatu wastaafu na idadi hiyo kwa mjane wa baba wa taifa Mama Maria Nyerere, nampongeza kwa hilo na ni jambo la kizalendo sana Lakini nikirudisha kumbukumbu zangu vizuri nyuma nakumbuka mtukufu alimpa...
  19. Rion Jr

    JamiiForums Tanzania Kuagiza kuku wa kienyeji

    Nilikuwa naomba kufahamu ni mkoani gani ambao una mbegu nzuri ya kuku wakienyeji kwa ajili ya kufuga na bei za hao kuku zikoje. Na gharama za usafirishaji zikoje ?
  20. Pritty wa joseph

    JamiiForums Tanzania Magonjwa ya kuku na tiba zake

    MAGONJWA YA KUKU NA TIBA ZAKE UTANGULIZI Kuku kama wanyama wengine hushambuliwa na magonjwa mbalimbali ambayo mengine yanatibika kwa dawa na mengine hayana tiba bali kuku hupewa chanjo maalumu ambayo huzuia magonjwa hayo.Leo nitawaeleza baadhi ya magonjwa ambayo hushambulia kuku mara kwa...
Back
Top Bottom