kuku

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bei ya kuku wa kienyeji imekuwa juu sana

    Kuna jamaangu mmoja yupo Dar juzikati akaniuliza kuhusu bei ya kuku Dodoma.nikamwambia sijui mana mm nipo mjini ngoja niulizie watu wa vijijini. Nilivyouliza watu wa vijijini wakaniambia kuku mkubwa kabisa Tsh 7000 hadi 8000. Jamaa akaniomba nikamnunulie kuku 200 nikasema ngoja niende...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Vijogoo wa nyama vinauzwa

    Kuku "vijogoo wa nyama" wanauzwa kwa ajili ya kufugwa. Wana wiki 6. Wanapatikana Kibamba, Dar es Salaam. Wapo 300. Bei ni 6000 kwa kila mmoja. Piga 0715066185 au 0753066185 kwa maelezo na maelekezo.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Kuku aina ya Kuroiler F1 wanapatikana wapi?

    Nahitaji kujua wapi naweza kupata kuku aina ya kuroiler ambapo naweza kupata vifaranga wa F1. hii ina maana huyo supplier yeye awe na Parent stock ya F0. Location iwe kati ya Morogoro, Iringa au Dodoma
  4. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa kuku nimsaidieni tatizo hili kwa kuku wangu

    Ni mzoefu katika ufugaji. Lakini kitu kinachonipa wasiwasi ni kwamba nina jogoo wangu mkubwa tu wa miaka kama miwili hivi. Sasa tangu juzi sauti yake inanipa mashaka anapowika. Ni kama vile kaisha chaji. Sauti inatoka kinyonge na hata mda mwingine anaishia katikati hamalizii kuwika mpaka...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa Mchanganuo wa Ufugaji wa Kuku wa Kisasa

    Wakuu Kwema? Nahitahi kumfungulia mtu Biashara ya Kufuga Kuku wa Kisasa, ambapo kwa Kuanzia tumekubaliana kwanza aanze na Box moja. Sasa nilikua naomba mchahngahnuo wa kimahesabu juu ya gharama za kuwafuga hawa Kuku 100. Sababu ndio kwanza anaanza ningeomba Mchanganuo huo uwe katika mtiririko...
  6. hata mimi

    JamiiForums Tanzania Nyegere wanamaliza kuku bandani, je nitawadhibitije?

    Wakuu nina banda la kuku nimelijenga kwa miti na kukandika kwa udongo sasa usiku nikiwa nimelala anakuja mnyama anachimba na kuingia kisha anakamata kuku tena wale wakubwa kabisa anaondoka nao. Cha kushangaza matukio yote hayo (kuchimba mpaka kuondoka na kuku) anayafanya ndani ya usiku mmoja tu...
  7. Ileje

    JamiiForums Tanzania Mahakama za Tanzania ni kwa vibaka na wezi wa kuku lakini kwa mambo ya msingi ni pazia

    Nenda mahakamani sasa hivi utaona jinsi mahakama zetu zinavyo washughulikia vibaka na wezi wa kuku bila huruma hata kama mtuhumiwa ni dhoofu bin hali kwa njaa na umasikini. Inapokuja suala la kushughulikia mambo ya msingi ya kulinda katiba, sheria za nchi dhidi ya serikali, utawala bora na haki...
  8. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Natafuta supplier wa kuku wa kisasa

    Natafuta mfugaji wa kuku wa kisasa ambaye tutafanya biashara. Nahitaji kuku kwa wingi! Mwenye nao tafadhali tuwasiliane. Location awe Dar es Salaam! Capacity: 500 pcs per week Uzito: 1+KG Bei elekezi: 5,500-5,800
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya haya maneno? "Kuku kukosa maziwa"

    Je, nini maana ya "kilichomfanya kuku kukosa maziwa"?
  10. jooohs

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bucha la samaki, nyama na kuku naweza kupata 60,000/= kama faida kwa Dar es Salaam?

    Ndugu wana JamiiForums nimekuja kwa mara nyingine kuomba ushauri kuhusiana na biashara ya bucha. Huu mwaka ni mpango wangu wa kuongeza biashara nyingine ili kukabiliana na ukali wa maisha. Ukiachilia mbali biashara ya nafaka ambayo hadi muda huu nakomaa nayo wazo la kwanza nililokuwa nalo ni...
  11. Premij canoon

    JamiiForums Tanzania Nahitaji partner kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama (broiler)

    Salaaams wanajukwaa, poleni na majukumu. Kama heading inavyojieleza, Nahitaji partner wakushirikiana nae kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama ( BROILER ). Mabanda ni makubwa na ya kisasa, yenye uwezo wa kuingiza kuku (BROILER) 6000. Partner anahitajika aweke BROILER kuanzia 2000 kwa kuanzia...
  12. laurentie

    JamiiForums Tanzania Tunanunua Mayai ya Kuku wa kisasa (Arusha)

    GREAT DISTRIBUTION AND MARKETING SERVICES iliyopo Arusha inanunua mayai kwa bei ya 5500 kuanzia trei 100. Tupo Arusha Mjini Kama una mayai wasiliana kwa namba zifuatazo 0622887399 au 0622115570 Karibuni
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hatua za kufuata unapompatia kuku chanjo

    - Nunua chanjo, kama inahitaji ubaridi hakikisha umefungiwa kwenye kifungashio Chenye barafu. - Safisha vyombo vya maji vya kuweka chanjo yako na ikifaa viache vikauke. Kwa maji ya bomba, kisima na mvua inashauriwa yachemshwe na uyaache yapoe kabisa ndipo utachanganya na chanjo. - Iwapo...
  14. farmersdesk

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufikisha kuku 1000 wa asili ndani ya muda mfupi

    JINSI YA KUFIKISHA VIFARANGA 1000 WA KUKU WA ASILI Habari ndugu zangu wafugaji pole na majukumu ya kila siku katika harakatu za kutafuta mafanikio Leo nimeona ni vema kushare na nyinyi jinsi mfugaji unavyoweza kufanikiwa kufikisha vifaranga 1000 ndani ya mwaka mmoja na nusu kwa kuanza na kuku...
  15. farmersdesk

    JamiiForums Tanzania Ukizingatia Kanuni hizi, basi ufugaji wa kuku utakunyanyua kiuchumi

    @farmersdesk_tanzania KABLA UJANZA KUFUGA KUKU TAMBUA MBEGU BORA YA KUFUGA🐓 MBEGU BORA YA KUKU KABLA hujaanzisha mradi wa ufugaji kuku, ni lazima utafute aina ya mbegu bora itakayo kuongezea kipato. Kumbuka kuna aina nyingi za kuku na ni aina zuri zote. Ila kila mfugaji huwa na malengo sasa hayo...
  16. farmersdesk

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuchanganya kuku wasio lingana umri

    MADHARA YA KUCHANGANYA KUKU WASIO LINGANA UMRI ............................................. Kuchanganya kuku wasio lingana umuri kuanzia siku 30 za mwanzo ni kudumaza kuku hao na kuwafanya wasikue vyema. Kinachotokea hapa ni kwamba. ✔️ watatofautiana ulaji kulingana na umuri pia itakuwa ngumu...
  17. farmersdesk

    JamiiForums Tanzania Jifunze umuhimu wa chanjo kwa kuku

    * MATUMIZI YA CHANJO KWA KUKU* 👉Kwanza Kabisa ifahamike chanjo Kwa kuku sio chaguo ni lazima kwa usalama wa KUKU wako 👉Pia kuchanja kuku sio Kwa vile unavojiskia Ila Kwa Ratiba maalumu inayowekwa kutokana na umri wa kuku HATUA ZA KUFUATA ZA KUTUMIA CHANJO IPASAVYO 👉Nunua chanjo, kama...
  18. farmersdesk

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuku kudonoana

    Habari wafugaji!!watu wengi wameuliza kuhusu tatizo la kuku kukudoana.kuku kudonoana husababishwa na vitu vingi sana kwa uchache kwa kuvitaja ni hivi. 1. Kuku kubanana au banda kua dogo ukilinganisha na idadi ya kuku. 2. Kuchanganya kuku wa umri tofauti 3. Upungufu wa madini 4. Vyombo vya...
  19. farmersdesk

    JamiiForums Tanzania Jifunze namna gani uongeze utagaji kwa kuku wako

    SULUHISHO LA KUKU KUPUNGUZA KUTAGA 1. Wakague kuku wako na ukiwakuta wana utitiri au viroboto waogeshe kwa FIPROFARM AU TUMIA AKHERI POWDER 2. waongezee GLP katika chakula chao na Tumia LAYVITA (vitamin mahususi kwa kuku wanaotaga) kwa ajili ya kuzuia tatizo la upungufu wa virutubisho 3...
  20. farmersdesk

    JamiiForums Tanzania Sababu za kwa kwanini kuku hushusha utagaji

    Sababu 10 Za Kuku Kupunguza Utagaji Mayai Na Nini Ufanye Kuongeza Uzalishaji Wa Mayai | Mshindo media. Kupungua kwa mayai yanayo zalishwa kwa siku katika shamba lako la kuku watagao mayai ni dalili moja wapo inayo onesha kwamba kunatatizo katika kundi lako la kuku. Kulingana na utafiti ulio...
Back
Top Bottom