kuku

  1. farmersdesk

    JamiiForums Tanzania Hatua za kufuata ili kuanzisha mradi wa kuku kwa faida zaidi

    HATUA ZA KUFUATA ILI KUANZISHA MRADI WA KUKU: 👆Kutokana na wengi sana kunitafuta kuomba ushauri, hasa wafugaji wageni au wapya wanao anza kwamba waanzaje mradi wa kuku 👇Zifuatazo ni hatua sahihi za kufuata ili kuwa na mradi endelevu wa kuku 1.Moja Jenga banda la kufugia kuku wako, Kabla ya...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuku wa kienyeji Dar es Salaam kwa ajili ya ufugaji

    Anayejua wanapouzwa kuku wa kienyeji kwa bei ya jumla kwaajili ya ufugaji anijuze. Nahitaji kuku kama 30-50 hivi nianze ufugaji.
  3. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania CCM - baada ya kifo, maombolezo na mazishi ya Hayati Dkt John Pombe Magufuli - tutawakabili CHADEMA, ACT, NCCR, CUF - Ofisi zao watafugia kuku

    Ndugu Wana - CDM, ACT, NCCR, CUF hii ni taarifa kwenu kwamba baada ya kuhitimisha siku 21 za maombolezo ya kiongozi wetu Hayati Dkt John Pombe Magufuli sasa tutaelekeza nguvu zetu ktk kuwashughulikia kisiasa. Demokrasia mnazoimbia Tanzania, Ubelgiji na Canada hatutataka kuzisikia - mkitaka...
  4. farmersdesk

    JamiiForums Tanzania Je, unajua tatizo la kuku kula mayai, kudondoana na kunyonyoka manyoya?

    TATIZO la kuku kuwa na TABIA zisizo faa/cannibalism limekua shida kubwa kwa WAFUGAJI wengi wa kuku aina zote, ilaa limekua likijitokeza sana hasa kwa KUKU wa MAYAI. Tatizo hili pia limekua likijitokeza kwa kuku wa rika tofauti tofauti..ilaa linazidi pale kuku wanapo anza kutaga mayai CHANZO...
  5. Peasant educator

    JamiiForums Tanzania Mr. Kuku kuanza tena biashara

    Habari wadau. Mwaka jana kulikuwa na taharuki juu ya uendeshwaji ya biashara ya Mr. Kuku mpaka kupelekea kushtakiwa kwa kosa la upatu na kupelekea wawekezaji wengi kupoteza fedha zao. Mwisho wa kesi ile ilikuwa ni kutaifisha fedha za mr. Kuku zilizoshikiliwa na serekali na kumtoza faini ya...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Huyu kuku anaumwa ugonjwa gani?

    Anatoa mapovu machoni, dawa yake nini ipi? Pia kuna kuku wanatagia sehemu moja unawatenganisha vipi ili kila kuku atagie sehemu yake. NB: Wanaishi banda moja
  7. Rion Jr

    JamiiForums Tanzania Nauza bata, kuku na sungura nipo Chanika

    Habari za jioni wana jamvi kwa anaehitaji bata aina ya Muscovy (bata wa kawaida), kuku wa kienyeji na sungura Napatikana Chanika kwa Singa. Call 0746696878
  8. E

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu kaenda Sumbawanga kisa kuku wake kapotea

    Kama kichwa kinavyojieleza wakuu, Kuku wa jirani Yangu amepotea sasa jirani yangu huyu yeye badala ya kuniuliza kasafiri Kimya Kimya kwenda Sumbawanga sasa Matatizo huwayanatatuliwa hivyo Jamani. Jana jioni ndio napata taarifa yake kuwa amekwenda Sumbawanga kwa ajili ya swala la kuku wake.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyeji kutoka Singida wanauzwa

    Nauza kuku wa kienyeji kutoka singida. Nauza jumla na reja reja. Pia napokea oda kwa wale wenye mahoteli na migahawa 📞0719805851
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa gani huu?

    Wakuu salamu za asubuhi Naomba mnitoe tongotongo, huu ni ugonjwa gani kwa kuku na dawa yake ni nini? Kuku anakuwa kama amepaniki, anaangalia juu na mara chini, anazungukazunguka, anarudi kinyumenyume, yaani fujo tupu. Hata kula anashindwa ni kama amepata kichaa. Mimi siuelewi huu...
  11. Bilionea Asigwa

    JamiiForums Tanzania Wafugaji wa kuku wa nyama na mayai wasiosajiliwa kuchukuliwa hatua

    Wafugaji wa kuku wa nyama na mayai wametakiwa kujisajili kisheria ili waweze kutambulika na kufanya kazi ya ufugaji kwa ufuata sheria zilizowekwa. Imeelezwa kuwa wote ambao hawajasajiliwa lakini wanafanya kazi ya ufugaji kuku, hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa takwimu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya kuku aina ya croiler na broiler ni nini hasa?

    Hawa croiler tunaambiwa wanakaribiana na kuku wa kienyeji tofauti na broiler ambao ni pure kuku wa kisasa. Ukifuatilia utagundua tofauti yao inatokana na jinsi wanavyozalishwa(cross breeding) ila kwakweli hawa kuku kiuhalisia ni wale wale tu na tofauti ni ndogo sana. Kwa mfano, nyama ya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msaada ugonjwa wa kuku

    Huu ni ugonjwa gani..kuku anakua kazubaa na akisinzia kuna mda kichwa kinageuka kama hivo..hizo dalili amekaa nazo kwa siku 2-3 hivi Kinyesi chake ni cha njano chenye maji mengi picha ipo hapo. Ni kifaranga chotara.
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kupitia sakata la Mr Kuku

    Habari wapendwa Nami leo nimeona niandike machache kuhusu nilichojifunza kupitia sakata la Mr Kuku. Nimepata msukumo zaidi baada ya kuona lawama ni nyingi zaidi hasa kwa Serikali (DPP) na wengine kwenda mbali kwa kukilaumu Chama Cha Mapinduzi. Niseme tu kwamba serikali hii ya Mh Dr John...
  15. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Mr. Kuku ahukumiwa kulipa fidia TSh. Bilioni 5.4, faini Tsh. Milioni 5 au jela miaka 5

    Mahakama ya Hakimu Mkazi, imemhukumu mfanyabiashara Tariq Machibya maarufu Mr Kuku, kulipa faini ya sh. milioni tano au kwenda jela miaka 5, baada ya kutiwa hatiani kwa makosa mawili ambayo ni kujihusisha na biashara ya upatu kwa kukusanya fedha kutoka kwa umma na kukubali kupokea miamala ya...
  16. Afrika_Bora

    JamiiForums Tanzania Ni wapi au kampuni gani inajishuhulisha na uuzaji wa kuku aina hii ya Chotara Kuroiler ambao ni uzao wa kwanza F1?

    Kuroiler ni kuku Chotara ambae hupatikana kwa kupandishia kuku wa jamii mbili tafauti ili kupata matokeo mazuri zaidi ukilinganisha na kuku wa kawaida. Matokeo hayo ni pamoja na kutaga mayai mengi au/na pia kuwa na miili mikubwa kwaajili ya nyama. Hivyo kumfanya mfugaji wa kibishara kupata...
  17. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa namna ya kutengeneza vifaa vya malisho ya kuku

    Wana JF habarini za mchana, Nahitaji picha za malishio ya kuku ya kutengenezwa kwa maboksi au material yeyote kwaajili ya kulishia kuku kwa wale wanaotengeneza yao binafsi maana sina hela ya kununua ya dukani.
  18. dks1131

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuku ya minyoo (flatworms)

    Wakuu habari yenu, naomba kufahamu dawa inayoweza kusaidia kuondoa shida hiyo ya minyoo(flatworms) katika kuku wangu. Nimejaribu kutafuta maduka ya madawa ya mifugo nilipo sijapata jawabu.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa kiwanda cha kutengeneza chakula cha kuku

    Habari za jioni ndugu wadau. Nimekuja na wazo la kuingia kwenye biashara ya kuzalisha chakula cha kuku wa mayai na nyama Mtaji 200M (kiwanja kibaha, jengo mashine, raw materials, Vibali n.k), Lengo ni kutengeneza/kuzalisha Tani 10 kwa siku. Naombeni mwongozo kwenye ununuzi wa hizi mashine...
  20. Eliya Dawa

    JamiiForums Tanzania Mashine za kutotoleshea vifaranga vya kuku, bata kwa aina zake, kanga na kwale

    Habarin wakuu, Nina Uza mashine za incubator kwa atakae kuwa muhitaji. Mashine zinatoka china pia ukitaka toleo la mwingereza pia utapata. Kwa size yoyote unayoitaka.pia kwa anaetaka vifaranga vya kuku pia tunaweza kukudelivery popote ulipo. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa no zangu ni...
Back
Top Bottom