Uchaguzi 2020 SAU yaja na sera za kumuwezesha Mtanzania kula kuku mzima

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,008
9,873
Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kimesema kina sera ya kuboresha maisha ya Mtanzania kwa kuhakikisha Mtanzania anakula lishe bora, ili mtu aweze kula kuku mzima na kama anakunywa chai basi aweze kuwa na siagi, matunda, mayai na mboga.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Moshi Mjini kupitia SAU amesema wanaonelea jambo la lishe bora kuwa sera nzuri kwa kuwa Watanzania wana afya mbaya kutokana na kula vipande vipande. Amesema unapokula kuku unapaswa kula kuku wote sio vipande.

Aidha kwa sera zake juu ya jimbo analogombea amesema atapanda miti ya matunda jimbo zima ili watu waweze kula matunda bure na wameshapanda matunda katika barabara ya New Street ambayo watu wanaendele kuyatumia matunda hayo.

Amesema zoezi hilo limesaidia kuleta kivuli aidha hadi sasa ameshafanikiwa kushusha jotoridi la Moshi kutoka Nyuzi Joto 40 na sasa zimefikia nyuzi joto 18.

Hii sera yao ni nzuri.
Swala la chakula ni muhimu sana.
Kuhimiza watu kula chakula bora ni tukiweka siasa pembeni ni muhimu sana.

Kuto kula chakula bora ndio umaskini wenyewe huo.
Huyu mgombea amesema yale ambayo yako ndani ya uwezo wake.

Swala la kupanda miti pia ni muhimu sana ili kutunza mazingira yetu.

Hivyo yuko sahihi
 
acheni ufala pimbi nyie ...

Mungu mwenyewe hajafanya hivo we fala mmoja ndio utaweza ?
 
Hii sasa ndio sauti ya uma kwa kweli
Kuku mzima?! Kila mtanzania 1×55,000,000×30 =.......
Hapo ni kwa mwezi tu je kuku hao wapo?
 
Mimi kwa akili yangu nadhani inawezekana.
Tunafanyaje? kwenye jimbo tunahakikisha kila mtu anafuga kuku wa nyama na mayai,

Kuhusu swala la matunda, tunatafuta miti maalumu kwaajili ya matunda itapandwa kila mahali kwenye jimbo letu.

Hawa jamaa na Sera zao any way ngoja tuone.
 
he has a point, sera nzuri , tumchague haraka , tumbo kwanza mengine baadae!! wengi wetu hapa Moshi hatuna chakula! biashara zimekufa mitaji imekata!! njaa ni kali mno tusaidie mheshimiwa mbunge wetu toka Sau ubarikie sana Aika Ruwa.
 
Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kimesema kina sera ya kuboresha maisha ya Mtanzania kwa kuhakikisha Mtanzania anakula lishe bora, ili mtu aweze kula kuku mzima na kama anakunywa chai basi aweze kuwa na siagi, matunda, mayai na mboga.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Moshi Mjini kupitia SAU amesema wanaonelea jambo la lishe bora kuwa sera nzuri kwa kuwa Watanzania wana afya mbaya kutokana na kula vipande vipande. Amesema unapokula kuku unapaswa kula kuku wote sio vipande.

Aidha kwa sera zake juu ya jimbo analogombea amesema atapanda miti ya matunda jimbo zima ili watu waweze kula matunda bure na wameshapanda matunda katika barabara ya New Street ambayo watu wanaendele kuyatumia matunda hayo.

Amesema zoezi hilo limesaidia kuleta kivuli aidha hadi sasa ameshafanikiwa kushusha jotoridi la Moshi kutoka Nyuzi Joto 40 na sasa zimefikia nyuzi joto 18.

Nyuz joto 40 ... Hahahhaah
 
Back
Top Bottom