Msioolewa bahati iliyoje hii Mshindi wa 'Tuzo' ya Kimataifa 'amechoka' sasa kuwa 'Single' na anamtafuta Mwenza wake wale Kuku!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
39,814
2,000
"Panya Magawa yupo 'single' kwa sasa, kwenye vitengo kuna panya maalum kwa ajili ya kuzalishaji na tunawatambulisha kwamba huyu ndiyo mwenzake kama atakubali sawa maana anaweza kukataa na utaona dalili, na kama wamekubaliana utaona dalili za makubaliano yao," Mkufunzi wa Panya Magawa, Pendo Msegu akizungumza katika kipindi East Africa.

HabariLeo

'Ukiolewa' nae huyu 'Mshindi' wa 'Tuzo' hii ya Kimataifa si tu kwamba nawe utajulikana Kimataifa bali 'Utajiri' Kwako wala hautokuwa mbali kabisa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom