Dua la kuku halimpati mwewe, tuliowahi kudhulumiwa / kuonewa kwa kuwa wanyonge huku wadhalimu wanaendelea kutamba tuweke mikasa yetu hapa

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
Hapa wenye nguvu wadhalimu wanajipa vyeo kama wenye mam1aka katika nyanja zote za maisha, uungu ukiwemo, huku metha1i nzima ikionesha matajiri au wenye nguvu za kifedha na kimamlaka katika jamii kama wenye kinga dhidi ya adhabu zozote duniani na ahera licha ya maovu wayatendayo.

1. Nakumbuka nikiwa chuoni kulikuwa na mchezo wa kuwahi makontena mapya, wale mabinti wageni vyuoni wametokea form 6 bado ni wageni, basi nikapata mchumba hapo ila alikuwa ni kisu kikali sana ilibidi nilijibane sana kumuhudumia ili nipunguze makali ya ushindani.

Ebwana eee!! Mdhalimu akaja kulisomba koloni langu, huyu alikuwa ni mtoto wa kishua anapewa kama milioni 1 kila mwezi maana mzee wake alikuwa mzito sana mwenye cheo kikubwa sana Serikalini, Niliona naibiwa laivu laivu mtoto anaenda kama masikara, nililaani sana lakini wapi.
 
Hapa wenye nguvu wadhalimu wanajipa vyeo kama wenye mam1aka katika nyanja zote za maisha, uungu ukiwemo, huku metha1i nzima ikionyesha matajiri au wenye nguvu za kifedha na kimamlaka katika jamii kama wenye kinga dhidi ya adhabu zozote duniani na ahera licha ya maovu wayatendayo.

1, Nakumbuka nikiwa chuoni nilikuwa na mchumba wangu ambae nilijibana sana kumuhudumia, nilipiga pasu kwa pasu pocket money yangu ili niweze kwendana nae, Kwakweli kwa pisi kali za pale chuoni bila kamkwanja ni ngumu kuwatunza... Ebwana eee!! Mdhalimu akaja kulisomba koloni langu, huyu alikuwa ni mtoto wa kishua anapewa kama milioni 1 kila mwezi maana mzee wake alikuwa mzito sana mwenye cheo kikubwa sana serikalini, Niliona naibiwa laivu laivu mtoto anaenda kama masikara, nililaani sana lakini wapi.
Hahahahaha!
 
Hapa wenye nguvu wadhalimu wanajipa vyeo kama wenye mam1aka katika nyanja zote za maisha, uungu ukiwemo, huku metha1i nzima ikionyesha matajiri au wenye nguvu za kifedha na kimamlaka katika jamii kama wenye kinga dhidi ya adhabu zozote duniani na ahera licha ya maovu wayatendayo.

1, Nakumbuka nikiwa chuoni kulikuwa na mchezo wa kuwahi makontena mapya, wale mabinti wageni vyuoni wametokea form 6 bado ni wageni, basi nikapata mchumba hapo ila alikuwa ni kisu kikali sana ilibidi nilijibane sana kumuhudumia ili nipunguze makali ya ushindani,,... Ebwana eee!! Mdhalimu akaja kulisomba koloni langu, huyu alikuwa ni mtoto wa kishua anapewa kama milioni 1 kila mwezi maana mzee wake alikuwa mzito sana mwenye cheo kikubwa sana serikalini, Niliona naibiwa laivu laivu mtoto anaenda kama masikara, nililaani sana lakini wapi.
Fikra za Mungu sio sawa na za mwanadamu ndio maana hata ukimuombea mtu ubaya unajisumbua haumpati sana sana unaweza kupata shida zaidi ukaainika na yeye anatamba.

Ndio maana ya msemo waovu huishi miaka Mingi
 
Hii mbinu ya mtoto wa kishua kitaalamu inaitwa "Full time 4WD" yani anatembeza maokoto mda wote hadi Manka akakutupa 🤣

Back
Top Bottom