Kibaka akiiba kuku, mnavisha tairi na kumchoma, Mtawala akiuza au kugawa maliasili za nchi kiholela, mnamtetea na kutaka aheshimiwe!

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,022
144,380
Kibaka akiiba kuku wa jirani, unakuwa na uchungu sana na huyo kibaka hata kama kuku si wako. Ila Mtawala akigawa maliasili za nchi kwa wageni katika mazingira ya utatanishi, hutaki hata asemwe na akisemwe eti amekoswa adabu!

Kibaka unaweza mtia kiberiti kwa hofu kesho anaweza kuiba na kuku wako.

Swali ni je, Mtawala akigawa maliasili za nchi kwa wageni, hakuwezi kuathiri future ya nchi na hata watoto na wajukuu zako?

Ukihongwa fedha au cheo kutetea watawala, hiyo hela au hicho cheo kitakusaudia wewe milele?

Na je, hicho cheo au hizo fedha zitakuwa na msaada wa kudumu kwa watoto na wajukuu zako?

Hamjiulizi ni kwanini Taifa kama Marekani wanahifadhi tani za mafuta leo hii?

Hamuoni wenzetu wanawaza ya kesho ikiwemo future ya watoto, wajukuu na hata vitukuu wao?

Mnatetea mambo haya, mnawaza kwa kutumia akili au vichwani mna tope kama sio ki...ny..si?
 
Adolf Hitler aliondolewa madarakani na Warusi na Wamarekani, wala si Wajerumani, aliendelea kupendwa sana pamoja na utawala wake dhalimu, hao ndio binaadamu mkuu, lkn MUNGU yupo, kama alituvusha awamu ya 5.... kweli sina hofu kabisa....
 
Mkuu


Sasa hivi ni kutumia mbinu moja yenye tija ambayo inaitwa "Incentive incarceration".

Kuorodhesha wote wanaotetea uozo hata kama wanatumia utambulisho fiche; ipo siku wote hao watavalishwa matairi kuwezesha kanuni ya moto kutokea iwatafune hadharani (heat+oxygen+fuel)

Chawa, kupe, viroboto, mbung'o, inzi, tandu, mende na panya hawavumiliki kamwe
 
Mkuu

Sasa hivi ni kutumia mbinu moja yenye tija ambayo inaitwa "Incentive incarceration...
Nafikiri Wabongo ndio binadamu wenye kiwango cha juu cha ubinafsi duniani!

Yaani mtu hujali future ya nchi na mamilioni ya watu katika nchi kisa tu maslahi yako binafsi ya kukunufaisha wewe na familia yako tena wala sio manufaa ya kudumu, bali ni ya muda tu..

Kama adhabu ya uhaini ni kunyongwa, hawa ilifaa adhabu yao iwe ni kuchinjwa hadharani.
 
Back
Top Bottom