Tulienda 'Kuchakura' Mchanga kama 'Kuku' katika 'Majaba' ili tupate Zawadi za 'Mchogo Pesa' ya Clouds FM leo Kinesi Ubungo tujuane tafadhali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,628
108,988
Bado GENTAMYCINE naendelea kuzitibu Kucha zangu kwani nimezitesa katika Kuchakura Zawadi za Mchogo Pesa katika Majaba na nimeishia Kukosa na kuambulia Mchubuko mikononi kwani Michanga ilikuwa Mibichi na Imeshindiliwa Kunakotukuka.

Ila Clouds FM na hii Bahati Nasibu yenu ya Mchogo Pesa leo mmetutesa mno akina GENTAMYCINE na Wenzangu na Mie tuliojitokeza Kinesi.

Yaani kweli nyie ni wa kuweka Zawadi za Shilingi Elfu Moja katika Bahasha ambayo haitoshi hata tu kwa Nauli yangu ya kutoka Kawe na kuja hapo?

Hasira zangu zote za kuambulia patupu nilizimalizia kwa Mzee Mmoja wa miaka kati ya 60 hadi 65 ambaye alikuwa anataka Kukesha Chooni Kunya ( Kuukweka ) akidhani yuko Kwake ambapo niligonga mara ya Kwanza akanijibu kwa Kuguna nikaona Barida mkojo uliponizidj nikamgongea tena akaamua kunijibu kwa Kujamba akinipa Ishara kuwa niendelee kuwa Mvumilivu ndipo nikaona asinitanje huku tukiwa Wengi nje na kuamua Kutishia kama vile nataka Kukiangusha kile Choo ambapo aliogopa na kupiga Kelele na nikamkuta Mwenyewe katoka nje na Bukta yake ya Yanga SC Ugokoni huku akihangaika Kuivaa ndipo nami nikaingia.

Mwinjaku jiandae nakuandalia Uzi wako kwani pamoja na kwamba ni Simba SC Mwenzangu ila leo Umenikwaza na Kutukwaza Wanaume wengi pale Kinesi hasa kwa Kitendo chako cha kila mara kushusha Suruali yako ya Jeans huku ukilazimisha Chupi Lako lionekane ( kana kwamba ulikuwa Unatunadia Nyabe lako ) na mara nyingjne ukitukatia Viuno na kutuonyesha Vijitabia ambavyo vilianza Kunilazimisha kuwa huenda nawe umeshaanza Michezo mibaya ya Kupitiwa Mlango wako Tukuka wa Kusi.

Tuliokosa Zawadi tusikate tu tamaa.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Kuna mda nilikua napita pita kwenye kubadili Channel nikakutana na hivyo vioja, eti Wengine wameshinda kofia, t shirts,
Dah mpaka nikawaonea huruma, wanaume mmebinuka kabisa mnachakura mchanga kwenye Majaba kutafuta zawadi ndogo ndogo hivyo as if mnadhiki kiasi hicho jamani!
Kwa kweli Inasikitisha
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Kuna mda nilikua napita pita kwenye kubadili Channel nikakutana na hivyo vioja, eti Wengine wameshinda kofia, t shirts,
Dah mpaka nikawaonea huruma, wanaume mmebinuka kabisa mnachakura mchanga kwenye Majaba kutafuta zawadi ndogo ndogo hivyo as if mnadhiki kiasi hicho jamani!
Kwa kweli Inasikitisha
Njaa haina Adabu Mkuu.
 
Back
Top Bottom