kujiunga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ritz

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia inakataa ombi la Marekani la kujiunga na Operesheni Prosperity Guardian dhidi ya Houthis

    Wanaukumbi. Saudi Arabia inakataa ombi la Marekani la kujiunga na Operesheni Prosperity Guardian dhidi ya Houthis Maafisa wa Saudia waliliambia gazeti la New York Times kwamba ufalme huo unatanguliza usalama wa ndani na maendeleo ya kiuchumi kuliko kufanya operesheni za majini, na kutafuta...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania China wamekataa kujiunga na Jeshi la Bahari Nyekundu linaloongozwa na Marekani

    Wanaukumbi. The United States announced it will coordinate joint patrols with allies to guard commercial ships in the Red Sea as the region comes under repeated attacks from Yemeni Houthi militias. China did not join the coalition, named Operation Prosperity Guardian. It includes the EU, NATO...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kwenda Israel kujiunga na IDF kulipiza vifo vya Joshua na Clemence

    Mzuka wanajamvi. Niko serious najiamini na sitanii. Nayasema haya nikiwa timamu kabisa. Nimelia sana baada ya kuona video ya Joshua akiuwawa kikatili na Wapalestina. Nimepata ujasiri wa kipekee na nimeshaanza kufuatilia process za kuingia Israel. Nitajiunga na IDF nakuomba niwekwe mstari wa...
  4. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Kila nikijaribu kujiunga Hazina Portal ili niombe mkopo inagoma, nifanyeje?

    Kwa wale watumishi wa umma mnaijua hii portal. Mikopo siku hizi ina flow vizuri magazine. Hii portal kwangu kila aina na jaribio imekataa kunitambua. Inaandika verification fail. Nitaweka interface hapa kurahisisha. Kwa ambaye amefanya hii kitu akafanikiwa please help Link ni...
  5. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu inakata hela bila mtu kujiunga na huduma yoyote. Haya mambo wakati wa Hayati Magufuli hayakuwepo

    Huo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini. Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu. Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kujiunga jeshi isiwe sababu ya kufanya kazi za kutweza utu. Anachofanya mwanajeshi huyu ninaamini hata yeye hakipendi

    Nafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake. Lakn kamwe hakuapa kuwa hata kinyesi atakishika kwa mikono. Hakuapa kuwa hata mkojo atauzoa kwa mdomo. Hakuapa kuwa kwenye shughuli za uokoaji atatumia mikono yake kutafuta maiti kwenye tope. Serikali imenunua magari 270 ya...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Syria imeanza hatua za mwanzo kujiunga katika vita kuipiga Israel

    Miongoni mwa mataifa muhimu katika ushirika wa kuiadhibu Israel ni Syria ambayo tangu vita vianze hapo Oktoba 7 walikuwa wako kimya. Kwa mara ya mwanzo leo wanamgambo walioko mashariki ya Israel na nyuma ya Jordan walirusha makombora machache kuelekea ndani ya Israel. Hakuna madhara...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba: Huu ni Wakati Sahihi Tanzania Kujiunga na Mkataba wa IRENA

    "Namshukuru Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko ambaye baada ya kuteuliwa alifika Ngara na kuzindua miradi ya Umeme kwenye Vijiji vya Ntanga na Katulanzuri, ziara imekuwa na Matunda makubwa sana" - Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara "Naibu...
  9. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kupata majina ya waliochaguliwa kujiunga na Chuo cha Diplomasia

    Ndugu samahanini kwa usumbufu. Nimeomba kujiunga na chuo cha Diplomasia ngazi ya diploma katika dirisha la awamu ya tatu. Lakini kama inavyoonyesha hapo chini website yao haijawa na taarifa za kujitosheleza sana kuhusu walio chaguliwa kujiunga na chuo hicho. Wameweka walio chaguliwa awamu ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunazikuza sana timu za Kiarabu, hazina ubora wa kutisha kama tunavyoziongelea

    Tukiweka ushabiki pembeni, kwa miaka ya hivi karibuni, club zetu za Simba na Yanga zimekuwa daraja moja na timu za kiarabu ambazo tunaziona kama ni daraja la juu sana kulinganisha na za kwetu. Ukisikia wachambuzi wakidai Percy Tau analipwa millioni 250 kwa mwezi utadhani kuwa ni nchezaji wa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Messi Inter Miami ni bure, tazama msimamo wa ligi kabla na baada ya kujiunga

    Hii bi Kabla hajajiunga Inter N NIs baada ya kujiunga
  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Iran ikiishambulia Israel Uarabuni wataruhusu maandamano ya kujiunga mkono Israel?

    Iran ndiyo tishio na miongoni mwa madui wa Israel huko Mashariki ya Kati. Israel imevamiwa na kulipa kisasi dhidi ya Palestina kwa siku kadhaa sasa. Nchi za Magharibi zinashutumiwa kuiunga mkono Israel dhidi ya Palestina, lakini kwenye nchi hizo hizo za Magharibi (isipokuwa Ufaransa)...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wajuzi nishaurini, nataka kujiunga na Jeshi la Magereza

    Wakuu habari za muda? Nataka kujiunga na Jeshi la Magereza lakini kabla sijachukua uamuzi nimejaribu kudodosa maslahi nitakayopata nikiwa Askari Magereza. Baada ya dodoso langu nimeambiwa yafuatayo; - Mshahara 590000 kwa form 4 leaver anayeanza kazi. - Posho ya chakula 300,000 kwa mwezi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa ada ya shule ya sekondar ST. Anthony

    Naomba kuuliza bwana jf kuwa ada ya shule ya sekondar st Anthony ada yake ni kiasi gani kwa anayetaka kujiunga. Tafadhal kwa anayejua anijuze
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Nchi za G20 waridhia Umoja wa Afrika kuwa Mjumbe wa Kudumu wa Jukwaa hilo

    Mkutano wa Jukwaa Kuu la Ushirikiano wa Kiuchumi wa Kimataifa la Group of Twenty (G20) limetoa baraka za kuupa Umoja wa Afrika Ujumbe wa Kudumu katika Jukwaa hilo ambapo sasa AU itakuwa na hadhi sawa na Umoja wa Ulaya (EU). Kwa uamuzi huo, AU itakua na sauti kwenye Kura za Maamuzi yatakayogusa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Vyama vya Siasa viweke nyenzo wanachama wajisajili Kidijitali

    Nashauri vyama vya siasa kuwa na ubunifu wa kuwa na website ambapo mtu kupitia hiyo aweza kujiunga na chama cha siasa atakacho, na kupata Kadi ya Kimtandao.
  17. L

    JamiiForums Tanzania BRICS yaibua shauku ya nchi nyingi zinazoendelea kutaka kujiunga nayo

    Viongozi wa nchi wanachama wa BRICS ambazo ni kundi la nchi zinazoibukia kiuchumi, wamemaliza mkutano wao kilele wa 15 wa kila mwaka uliofanyika huko Afrika Kusini. Katika mkutano wa safari hii ambao umeanza Agosti 22 na kuendelea hadi Agosti 24, umekuwa ukifuatiliwa zaidi na watu mbalimbali...
  18. kekule benzene

    JamiiForums Tanzania Tamu na chungu baada ya kujiunga na forever living products

    Habarini za weekend wakuu, leo nimepitia nyuzi mbalimbali zinazohusu forever living products, nikaamua na Mimi niweze kushare kitu kuhusu hii kampuni. Kwanza nakiri kuwa niliwahi kujiunga na biashara hii na nikadumu kwa miaka miwili tu Kisha nikaacha. Yafuatayo ni miongoni mwa niliyoyapata...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wakirejesha kadi na kujiunga upinzani mkuu wa wilaya na Mkoa hana kazi; mbinu gani DC/RC watazitumia kudhibiti CCM kujiunga upinzani?

    Rais amemfukuza kazi mkuu wa wilaya na Mkurugenzi kwa kile kinachodaiwa wana CCM wamerejesha kadi na kujiunga upinzani; amesema hatoweza kuvumilia kuona wanaccm wanahama chama. Kauli hii ni nzuri kisiasa ila ngumu kwa wakuu wa wilaya na mkoa kwa sababu sababu za kuhama chama ni sababu binafsi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia, UAE, Iran, Egypt, Ethiopia na Argentina zakubaliwa kujiunga BRICS

    Sasa BRICS itakuwa na wanachama 11 wenye sifa zifuatazo ● BRICS itakuwa na mataifa 6 kati ya 9 ambayo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi duniani. ● BRICS itakuwa na mataifa ambayo yana 80% ya oil reserve duniani. ● BRICS itakuwa na mataifa yenye jumla ya GDP $30.76 trillion. Asilimia...
Back
Top Bottom