Kwema Wakuu!
Mwaka 2020 kuna kiongozi WA chama kikubwa hapa nchini ambaye ni Rafiki yangu na ninayemheshimu Sana. Wakati tunapiga Stori mbili tatu akanishauri nijiunge na chama chao lakini nilimkatalia na kumwambia kuwa sitawatendea Haki yeye na chama chake na watu wengine ikiwa nitajiunga na...
Licha ya kutajwa mara kadhaa kuwa anaweza kurejea Barcelona lakini inavyoonekana Neymar ataweza kuwa mchezaji wa Al-Hilal ya Saudi Arabia siku chache zijazo.
Mshambuliaji huyo wa PSG amekuwa katika mazungumzo na timu yake kuhusu uhamisho huo utakaokuwa na thamani ya Euro Milioni 160 (Tsh...
Watanzania tuna cha kujifunza, huwa tunasikia watu wanasema "Niko tayari kufa", "Niko tayari kufanya lolote".
Mabadiliko ni process ambayo hutakiwi kuibeba peke yako, ni zao la jamii kwa ujumla na kwa pamoja, usije ukaumiza familia yako na kazi zako ukiamini wewe pekee utaweza.
Kama jamii...
Ili Ukraine ijiunge na NATO inabidi vita kati yake na Urusi ikome. Na kwa Tafisiri ya UKraine ambayo NATO wataitumia kuamua kama vita imekoma ni kuona Crimea na majimbo mawili ya DONBASS yamerejea kwenye himaya ya Ukraine!! Kwa kuwa hili halitatokea milele, kwa hiyo Ukraine haitajiunga na NATO...
Urusi ilidai kuwa sababu kuu za kujaribu kuparamia Kyiv ilikua ili kuzuia Ukraine kujiunga NATO, kwamba hairuhusu majirani zake waingie NATO, sasa mpaka hapo Finland wamejiunga NATO, haya Uswisi nao ambao hawapo mbali na Urusi, wamejiunga NATO, sasa kwa kifupi NATO inampumlia Mrusi...
Ukraine 'inastahili' uanachama wa NATO, Erdogan wa Uturuki anasema Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan pia alitoa wito wa kurejeshwa kwa mazungumzo ya amani akisema, 'amani ya haki haileti hasara.
Uturuki inaunga mkono matakwa ya uanachama wa NATO wa Ukraine, Rais wa Uturuki Recep Tayyip...
Rais wa Lithuania amewataka viongozi wa NATO kushughulikia shinikizo la Ukraine la kujiunga na muungano wa kijeshi wa NATO katika mkutano wa kilele katika mji mkuu wiki ijayo.
Amesema hatua hii ndio njia pekee kwa Rais Putin kusarenda.
KUJIUNGA VYAMA VYA WAFANYAKAZI NI HIARI, KWANINI WALIMU WANALAZIMISHWA KUJIUNGA VYAMA VIWILI VIWILI
"Je, ni faida gani ambayo wafanyakazi wanapata kupitia uwekezaji wa fedha wanazokatwa na vyama vya wafanyakazi"? - Mhe. Neema Gelard Mwandabila, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe
"Faida...
Mh waziri Tamisem Angela Kairuki, wiki hii ametangaza chaguzi/selection za vijana wa kidato cha nne kujiunga na kidato cha tano pamoja vyuo mbalimbali.
Miaka ya nyuma vijana wote waliokuwa wakijiunga na vyou vya ufundi pamoja na uwalimu serikali ilikuwa inacover gharama zote au baadhi. Leo hii...
Nimeona mijadala humu. Mwanafunzi anauliza nimechaguliwa shule flani, wazazi na walezi wanauliza mwanangu kachaguliwa shule flani, mkitaka kujua kama shule hizo ni nzuri ki ufundishaji na ufaulu kwa ujumla.
Niwape tu general information. Shule nyingi za serikali ni tiamaji tiamaji. Shule...
hii ni shule ya secondary ya wasichana St Francis wakati wanafunzi wengi wakipangiwa Utwango, Kanga, Mwakavutwa, Lupalilo na Mwimbi mambo ni tofauti kwa shule special wanafunzi wamepangiwa tena special ama kweli kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake
ila swali la kujiuliza wanafunzi wengi...
Kama kichwa cha uzi kinavyosema, mimi nimemaliza form four mwaka jana hivyo form five selections zimetoka na nimechaguliwa kwenda Azania sec
Hivyo najua humu kuna watu wanaishi hapo karibu au wamesomea pale naomba mnipe hali ya maisha ya pale, ufaulu wake, n.k
Natokea mikoani na itakuwa mara...
Wanabodi na wapiga kura wenzangu
Nimeguswa na kushangazwa niliposoma tangazo kutoka kwa Mkuu wa JKT akitoa maelezo kwa vijana watakaojiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2023..maana yangu ni njema, kutaka ufafanuzi kwa jambo hili kulingana na maelezo yaliyotolewa.
Inakuwaje serikali inashindwa...
Kwa miaka mingi watu wengi wamekua wakitamani kujiunga na illuminant (Frères-Maçons of Zion). Ila wengi wamekua hawaelewi ni nani kiongozi aliye juu ya taasisi hii nyeti sana dunia.
Wengi wanatamani kujiunga Illuminati ili kutafuta majina, kupata nguvu na ushawishi kwenye public, kuwa na...
Wakuuu za mida,
Aseee mimi mwanenu katika vitu ninavyojuta maishani mwangu ni kuchelewa kujiunga humu ndani asee.
JF imekuwa zaidi ya kijiwe kwangu.
Namshukuru sana Maxence Melo kwa kutengeneza huu mtandao pendwa.
Yaani kwanzia 2016 nilikuwa namiliki smartphone ila niliishia FB tu 😭😭😭na IG...
Nipo hapa hapa so nawapa angalizo mapema msije mkaja mmejaa upepo.
Nliambiwa jeshini lazima wapime ukubwa wa kipenyo au Radius. Nikauliza je kuna kitu kama x ray au ultra sound inatumika au anything kitaalam ukiacha njia hiyo, maana sisi wengine migongo yetu imekakamaa hatuwezi inama...
Kuna kitu hakiko sawa katika ajira za Tanzania hasa kwenye upande wa ajira za majeshi.
Hivi walioweka kigezo cha mtu ili apate nafasi ya Uhamiaji, JWTZ, Police, Magereza, na Fire eti lazima awe amepitia JKT waliwaza nini na kwa manufaa ya nani?
Kama tujuavyo siyo kila mtu au mhitimu yeyote...
Haingii akilini hata kidogo mtu apambane zaidi kutafuta njia ya kujitegemea kwa kutegemea elimu ya chuoni impe ajira ambazo hazina uhakika huku hana ujuzi wowote wa kumfanya ajiajiri kwa uhakika hata akikosa ajira.
Mwenye ujuzi ni ngumu sana kulala njaa lakini mtu hata uwe na masters yako kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.