Iran ikiishambulia Israel Uarabuni wataruhusu maandamano ya kujiunga mkono Israel?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,330
33,954
Iran ndiyo tishio na miongoni mwa madui wa Israel huko Mashariki ya Kati.

Israel imevamiwa na kulipa kisasi dhidi ya Palestina kwa siku kadhaa sasa.

Nchi za Magharibi zinashutumiwa kuiunga mkono Israel dhidi ya Palestina, lakini kwenye nchi hizo hizo za Magharibi (isipokuwa Ufaransa) kumefanyika maandamano makubwa ya kuilaani Israel.

Je, Iran ingekuwa imeivamia Israel maandamano ya kuiunga mkono Israel yangeruhusiwa kufanyika kwenye nchi za Kiarabu?
 
Kama ulikuwa na majibu yake imekuwaje umelileta hapa?

Hii tabia ya kuanzisha thread na kuwapangia watu namna ya kuchangia comments inatoka wapi?
Sijapanga.

Ila kutoka swali la maandamano hadi majibu ya kaswende. Huoni kama jibu lina hitilafu??
 
Back
Top Bottom