Ushauri: Vyama vya Siasa viweke nyenzo wanachama wajisajili Kidijitali

NeutalPolitics

New Member
Feb 16, 2013
2
1
Nashauri vyama vya siasa kuwa na ubunifu wa kuwa na website ambapo mtu kupitia hiyo aweza kujiunga na chama cha siasa atakacho, na kupata Kadi ya Kimtandao.
 
Nashauri vyama vya siasa kuwa na ubunifu wa kuwa na website ambapo mtu kupitia hiyo aweza kujiunga na chama cha siasa atakacho, na kupata Kadi ya Kimtandao.
Ni kweli ila nimegundua hivi vyama vyote vipo slow sana kwenye teknolojia mfano Websites za CCM au CHADEMA hazipo updated kabisa unakuta habari za 2020 huko ndio zimejaa hakuna updates.

Ilipaswa websites ziwekwe sera, staff, board members, events za chama, usajili, status ya michango, ripoti za ukaguzi wa Mali za chama, matokeo ya uchaguzi wa ndani, ripoti za Kanda n.k ila hakuna updates kabisa.

Chadema na CCM waweke professional media personnel waachane na watu wa propaganda otherwise wapiga kura tunakosa kabisa access na habari za chama kisa uzembe ilihali wanalipwa kwa ruzuku na michango yetu ya Kila mwaka.
 
Kwa hakika ingetufaa sana wadau.
Wakiwa na utashi wa kuongeza uwazi italeta faida kubwa kwa vyama kuliko wanavyowaza kuwa watapoteza. (nadhani wanawaza hivyo).
 
Back
Top Bottom