kujiunga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. godlisten godlove

    JamiiForums Tanzania Ukihitimu kidato cha sita tahasusi ya CBG unaweza kukubaliwa kujiunga na mafunzo ya jeshi?

    Jamani ukisoma CBG na ukamaliza form six ukataka kujiunga na mafunzo ya jeshi unaweza kukubaliwa au Kuna vigezo muhimu af mafunzo ya jeshi yanachukua muda Gani kuhitimu? Na je ili kujiunga mpk uwe na ufaulu upi form six?
  2. V

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa kocha wa Taifa Star inawafanya wachezaji wengi kukataa kujiunga nayo

    Hatuna la kusema ila ujumbe mfupi tu Inasemwa kocha wa stars anamapenzi binafsi na wachezaji fulani fulani Na anachuki na wachezaji fulani Duniani kote kuitwa timu ya Taifa ni fahari inakuongezea kwenye safari yako ya mpira Ila huyu kocha anabagua wachezaji Tunaomba chama cha Fat...
  3. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mafunzo ya Ufundi Stadi kwa Mujibu wa Sheria kwa wahitimu wa kidato cha nne wasio na vigezo vya kujiunga kidato cha tano na vyuo shirikishi

    UTANGULIZI Vigezo vya watahiniwa wa kidato cha nne kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano ama vyuo shirikishi ni ufaulu wa kuanzia daraja I hadi III hivyo ni wazi kuwa idadi kubwa ya watahiniwa waliofanya mtihani wanakosa vigezo vya kujiunga na elimu ya kidato cha tano pamoja na vyuo shirikishi...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kenya na Rwanda kujiunga jumuiya ya NATO

    Ziara ya Rais wa Kenya William Ruto nchini Marekani imeibua jambo. Ruto kapokelewa na mwenyeji Rais Joe Biden na kuzungumzia Mengi. Biden kamuomba Ruto waanzishe ushirikiano kabambe ikiwa ni pamoja na kujiunga na NATO. Pia kuna tetesi kuwa Rais wa Rwanda atafuata mkumbo huo mwezi July mwaka...
  5. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Mtifuano mkali kati ya Wizara ya Afya na vyuo vya afya juu ya kubadili qualifications za kujiunga pharmacy ngazi ya cheti

    Mshikeshike, mtifuano unaendelea kuhusu kubadili sifa za kujiunga na astashahada kutoka D mbili za Chemistry na Biology kwenda C mbili au zaidi za Chemistry na Biology! Kiukweli, sifa zinazopendekezwa na serikali zitaathiri vyuo vya afya vinavyotoa hii kozi! C mbili za Chemistry na Biology ni...
  6. Kang

    JamiiForums Tanzania alx Africa naona sasa kuna fee ya kujiunga

    Coding Bootcamp hii ambayo ilikuwa maarufu kwa kuwa bure kabisa naona wameweka admin fee ya $150 - $300 kujiunga na kozi, inaelekea walianza mwaka jana. https://www.alxafrica.com/payment-cancellation-policies/ Tuliwahi kujadili alx hapa...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Sababu na athari za matangazo ya kubeti, kudanga na kujiunga Freemason kuongezeka

    Matangazo ya makampuni ya kubeti, matangazo ya kujiuza (kudanga) na yale ya kujiunga na uFreemason ni mengi san Hii ni ishara mbaya sana inayoonesha kuwa umaskini umeongezeka kwa kiwango kikubwa sana na hivyo kupelekea kuongezeka kwa wahitaji (wateja) wa Freemason, kubeti na kudanga. Kama...
  8. mambo_safi

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2024 zinatoka lini? Mbona kama zimechelewa? NECTA mnasemaje?

    Jamani naomba kuuliza! wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2023, lini majina ya kujiunga kidato cha tano yatatoka? Necta au wawakilishi wao watuambie lini?
  9. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Je, Ethiopia kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki kutaharibu au kuimarisha jumuiya hiyo?

    Ethiopia inataka kujiunga na EAC? Nini madhara na faida? Je Tanzania na Kenya zitakua bado na sauti ndani ya EAC au ndio mvurugano utaongezeka?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Skudu Makudubela: Aziz Ki amekataa ofa ya kujiunga na Mamelodi, alisema ligi ya South Africa imeshuka ubora

    Mchezaji wa Yanga kutoka South Afrika, akihojiwa na waandishi kuhusu Aziz Ki amesema mchezaji huyo alimwambia alikataa ofa ya kujiunga na timu za South Africa sababu kuwa ameona ligi hiyo imeshuka ubora, japo hakuelezea kwa kirefu Looks like Stephane Aziz Ki could reject PSL clubs amid reported...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Uturuki japo imechelewa nayo imeanza kujiunga na Hamas dhidi ya Israel

    Uturuki kwa muda mrefu tena muda uliokuwa mgumu zaidi kwa wapalestina ilitumia mdomo pekee kuilaani Israel bila kutoa msaada ambao ina uwezo nao. Miezi sita kuelekea saba ndio sasa imeamua kuibana Israel kiuchumi kwa kuzuia bidhaa zake 54 zisisafirishwe kwenda nchini huko.Miongoni mwa bidhaa...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama kijana mtafutaji ni muhimu kujiunga na jumuiya mahali unapoishi

    KAMA KIJANA MTAFUTAJI NI MUHIMU KUJIUNGA NA JUMUIYA MAHALI UNAPOISHI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Umeenda mbali na nyumbani, ni aidha kutafuta maisha au umepelekwa na serikali. Moja ya mambo muhimu kabisa ya kufuata ni pamoja na kujiunga na jumuiya za kijamii. Kama ni mkristo nenda...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi watakaokataa kujiunga na DP World watapelekwa kufanya kazi bandari nyingine. Je, TPA wamekabidhi bandari yote Dar kwa DPW?

    Tangazo la TPA la ufafanuzi linasema wafanyakazi watakaobaki TPA watakwenda kufanya kazi bandari nyingine nje ya DSm. Kwa kauli hii maana yake hakuna mfanyakazi wa TPA atakayebaki bandari ya DSM baada ya DP world kuanza kazi? Tangazo lao na ufafanuzi uliowakutolewa hapo awali ulionyesha ni...
  14. Mama Mwana

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujiunga na UTT AMIS

    Hellow friends, naomba kuelekezwa namna ya kujiunga na hii kitu
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mchezaji anaruhusiwa kuondoka na kujiunga club nyingine baada ya kipindi cha usajili kupita?

    Naona Prince Dube ameaga anaondoka Azam, na assume ametimiza masharti aliyotoa Azam, je ataruhisiwa kujiunga na club nyingine wakati dirisha la usajili limefungwa, Januari?
  16. African Geek

    JamiiForums Tanzania Je, Leseni hii inaruhusu kujisajili kama dereva wa Bolt, Uber au Faras?

    Habari za muda huu waungwana. Nina leseni ya udereva yenye madaraja A, A2, B, D, E, F & G. Je nitaweza kujisajili kama dereva wa Bolt, Uber, Faras, nk kwa kutumia leseni yenye madaraja haya? Natanguliza shukrani.
  17. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Msaada changamoto ya kujiunga x Twitter

    Wasalaam pana Page naitafuta kwenye app ya x Twitter napata changamoto kujiunga au mwenye Twitter anisaidie jinsi ya kujiunga maana napata mapicha picha nikitaka kujiunga mara sijui your not robot nk. Au mwenye Twitter nimpe page anisaidie kuisearch.
  18. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Kichuya kujiunga na jeshi

    KICHUYA NA WENGINE SITA KUKOSEKANA JKT. Klabu ya JKT Tanzania huenda ikawakosa nyota Zaidi ya Sita akiwemo Shiza Kichuya ambao wapo kwenye hatua za mwisho kwenda kwenye mafunzo ya kijeshi kwa muda wa Miezi mitatu. Kocha Mkuu wa timu hiyo Malale Hamsin amethibitisha taarifa hizo nakubainisha...
  19. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Tanzania Tucker, mtangangazaji aliyemhoji Putin alipigwa na butwaa baada ya Putin kumpa taarifa zake za kutaka kujiunga na CIA

    Putin anatarifa zote za Tucker.
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia utapoamua kujiunga na Wahuni au genge la Wanywa Damu za Watu

    MAMBO YA KUZINGATIA UTAKAPOAMUA KUJIUNGA NA WAHUNI ÀU GENGE LA WANYWA DAMU ZA WATU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sasa umekua Mkubwa. Ni kama maisha huyaelewi hivi. Umejaribu kufuata sheria na formula ulizopewa na wazazi au walezi wako lakini umeona hazifanyi kazi yaani ni useless kama sio...
Back
Top Bottom