China wamekataa kujiunga na Jeshi la Bahari Nyekundu linaloongozwa na Marekani

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,998
32,442
Wanaukumbi.

The United States announced it will coordinate joint patrols with allies to guard commercial ships in the Red Sea as the region comes under repeated attacks from Yemeni Houthi militias. China did not join the coalition, named Operation Prosperity Guardian. It includes the EU, NATO, Japan, and the government of Yemen.

The coalition won’t shadow individual ships but will provide broader security in the Red Sea and Gulf of Aden. This follows numerous attacks on vessels owned by shipping and oil companies in one of the world’s busiest shipping lanes. Companies
===============
Marekani ilitangaza kuwa itaratibu doria za pamoja na washirika wake kulinda meli za kibiashara katika Bahari Nyekundu huku eneo hilo likikumbwa na mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa wanamgambo wa Houthi wa Yemen. China haikujiunga na muungano huo uliopewa jina la Operesheni Prosperity Guardian. Inajumuisha EU, NATO, Japan, na serikali ya Yemen.
 
China ipambane na hali yake huko east asia philipine, korea, japan zinamkodolea macho akija huku red sea kule kwake atalimwaga so bora atulie.
Jeshi la navy la China (PLA Navy) ni moja ya jeshi bora duniani, pale South China Sea hakuna wa kumbabaisha sio Japan, South Korea wala Philippines.

Kwanza China ana kambi ya kijeshi Djibouti ambapo ni mlango wa kuingia Red Sea

Na hapo wana navy destroyers, Marines, UAVs na MPAs

China haijaamua tu kuingilia huu mgogoro.

Umesahau mbona China walisaidiana na Marekani na mataifa mengine kulinda meli za mizigo kipindi kile cha Gulf of Aden crisis dhidi ya magaidi ya Kisomali? Kwa nini sasa hivi hawataki?

Hizi mambo za geopolitical wengi bado uelewa ni mdogo
 
Jeshi la navy la China (PLA Navy) ni moja ya jeshi bora duniani, hapo South China Sea hakuna wa kumbabaisha sio Japan, South Korea wala Philippines.

Kwanza China ana kambi ya kijeshi hapo Djibouti ambapo ni mlango wa kuingia Red Sea

Na hapo wana navy destroyers, Marines, UAVs na MPAs

China haijaamua tu kuingilia huu mgogoro.

Umesahau mbona China walisaidia kulinda meli za mizigo kipindi kile cha Gulf of Aden crisis dhidi ya magaidi ya Kisomalia? Kwa nini sasa hivi hawataki?

Hizi mambo za geopolitical wengi bado uelewa ni mdogo
China anajua kinachoendelea hamna maslahi yoyote kwake ni Marekani anamlinda Muisrael kufanya ugaidi wako mbaya zaidi hivi vita vinapiganwa baharini siyo nchi kavu utapeleka vifaru.
 
China sio mshirika wa Marekani ila mshindani hivyo hilo lilitegemewa.
Wanaukumbi.

The United States announced it will coordinate joint patrols with allies to guard commercial ships in the Red Sea as the region comes under repeated attacks from Yemeni Houthi militias. China did not join the coalition, named Operation Prosperity Guardian. It includes the EU, NATO, Japan, and the government of Yemen.

The coalition won’t shadow individual ships but will provide broader security in the Red Sea and Gulf of Aden. This follows numerous attacks on vessels owned by shipping and oil companies in one of the world’s busiest shipping lanes. Companies
===============
Marekani ilitangaza kuwa itaratibu doria za pamoja na washirika wake kulinda meli za kibiashara katika Bahari Nyekundu huku eneo hilo likikumbwa na mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa wanamgambo wa Houthi wa Yemen. China haikujiunga na muungano huo uliopewa jina la Operesheni Prosperity Guardian. Inajumuisha EU, NATO, Japan, na serikali ya Yemen.
 
Kwa iyo yeye mizigo yake atapitishia wapi? Ngoja tumuone. Kama atapitisha mizigo yake wanaidondosha Ile iwe fundisho kwake. China ni masikini Jeuri aishi kutapatapa
Hapa haiongelewi chini mdogo wangu inaongelewa CHINA
Nchi yenye nguvu zaidi KISIASA KIUCHUMI na KIJESHI katika hii DUNIA kwasasa
CHINA hataki kuingilia ugomvi uso mhusu
 
Back
Top Bottom