kujifunza

  1. Sarikiaeli

    Wasomi jifunzeni kwa dada Mwasu, dereva wa bajaji msomi mwenye shahada mbili

    Tofauti na mawazo ya wengi kuwa ukisoma hadi chuo kikuu lazima uajiriwe, Mwasu Mavere ameonyesha upande mwingine wa shilingi, kwamba unaweza kujiajiri na kufanikiwa zaidi. Licha ya kuwa na shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), yeye ameamua kuwa dereva wa pikipiki ya miguu...
  2. MamaSamia2025

    Nilichojifunza kupitia sakata la Mr Kuku

    Habari wapendwa Nami leo nimeona niandike machache kuhusu nilichojifunza kupitia sakata la Mr Kuku. Nimepata msukumo zaidi baada ya kuona lawama ni nyingi zaidi hasa kwa Serikali (DPP) na wengine kwenda mbali kwa kukilaumu Chama Cha Mapinduzi. Niseme tu kwamba serikali hii ya Mh Dr John...
  3. J

    Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    Hii sasa ni kali. Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi" Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo...
  4. Shobi

    Maoni: Leo naanza kujifunza python

    Nimekuwa nikisika python ndio inayoongoza sasa kwa kutumiwa. Wanaodai hivyo wanasema pia ndio programming language rahisi kuwahi kuwepo. Kwa wadau wanaoijua na KUITUMIA naomba maoni..Frametime nimejipa miezi 3 nitumie video tutorial au nikomae na w3school au vitabu?
  5. DaudiAiko

    Mambo ya kujifunza kutoka kwa uchaguzi wa Marekani

    Wana bodi, Kwanza kabisa nina furaha kubwa kuona jinsi ambavyo watanzania wame endelea kuheshimu maamuzi ya watanzania wenzao katika zoezi zima la uchaguzi. Utulivu huu na amani tuliyo nayo vime wezekana kwa wao kukataa ku shawishika kwa njia yoyote kufanya yasiyo sahihi. Vile vile katika...
  6. J

    Jinsi ya kuongea unaposhinda Uchaguzi, au unaposhindwa. Chama Tawala na Wapinzani wanapaswa kujifunza

    Mwanasiasa anaposhinda uchaguzi anatakiwa azungumze kwa namna itakayoteremsha joto la uchaguzi. Hii ni hotuba aliyoitoa Bill Clinton wa Marekani baada ya kushinda uchaguzi. Nilitaka niweke hotuba ya Obama lakini nadhani ile ina vionjo vya kihistoria. Aliyeshindwa uchaguzi naye anatakiwa...
  7. B

    Tuna cha kujifunza na Uchaguzi wa Marekani?

    Mabibi na mabwana, elimu haina mwisho. Je, tuna cha kujifunza kutoka kwao waliotutangualia? Au ni yale yale ya ukichwa ngumu kama mawe kuwa tunajua kila kitu? Mema waliyonayo wamarekani leo hayakuja kama mvua. Yalipiganiwa na hata damu kumwagika. Sembuse kukaa mahabusu au hata kufungwa jela...
  8. fungi06

    Mambo ya kustaajabisha kuhusu viumbe hawa

    1. Konokono (snail) anao uwezo wakulala miaka mitatu 2. Polar bears wote duniani wanatumia mkono wa kushoto 3. Physical ni vigumu kwa nguruwe kuweza angalia angani 4. Hydra. Awa ndo viumbe pekee vya makini ambayo huwa avipotezi uhai. Uwa wana replace Seli zilizo kufa kwa kujitengenezea...
  9. E

    Watu pekee ambao huwa nasikiliza hotuba zao kwaajili ya kujifunza maneno ya hekima yenye kuleta furaha na amani

    Watu pekee ambao huwa nasikiliza hotuba zao kwaajili ya kujifunza maneno ya hekima yenye kuleta furaha na amani. Siku zote watu wanasema ukitaka kuwa na hekima jifunze kutoka kwa wenye hekima. Wasikilize watu wenye hekima. Hata ukipata nafasi basi ongea na kuzungumza na watu wenye hekima...
  10. satobea

    Nahitaji kujifunza kuzungumza kiswahili sanifu; tuanze na neno timbwili

    Habari Natamani sana kujua kukiongea kiswahili sanifu chenye mtiririko wa maneno. Ombi langu nijue mengi hapa JF. Naomba tuanze na neno timbwili; maana yake nini? Linatumikaje kwenye sentensi? Tujifunze lugha na tuienzi, Kiswahili kitukuzwe
  11. Erythrocyte

    GE2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

    Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu. Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa...
  12. fenestra rotunda

    GE2020 Kwa hili la kuenguliwa Wagombea wa Upinzani, tuna la kujifunza

    Wakuu salaam, Baada tu ya wagombea ubunge na Udiwani wa CHADEMA kuchukua fomu maeneo mbalimbali Tanzania watu walitoa ushauri jinsi ya kuepuka makosa kama yale ya 2019. Katika majimbo yote ya Uchaguzi ni majimbo machache saana ambayo niliona wagombea wa ngazi mbalimbali wakiongozwa na wagombea...
  13. Warue

    50% kwa 50% kwenye madini yetu. Tuna cha kujifunza kuondolewa kwa Laurent Gbagbo wa Ivory coast

    Salaam wanaJF. Kwa watu wanaomfahamu Laurent Gbagbo, wengi bado tunakumbuka alivyoondolewa madarakani kwa aibu na nguvu baada ya wapinzani wake kupata support kubwa kutoka ufaransa na washirika wake. Kwa mda kidgo, nimekuwa nikitafakari kilichokuwa nyuma ya nguvu kubwa ile na kwa namna gani...
  14. Tripo9

    Nini cha kujifunza yanayoendelea Mali, Belarus na Thailand tukiwa tunaelekea Uchaguzi?

    Kama unafuatilia vyombo vya habari nchi ya Mali moto umefuka. Wananchi waliingia mitaani mpaka raisi aliyetawala miaka 25 na ushee aondoke. Wanajeshi wakamteka Rais na waziri Mkuu, wakakamata nchi. Sema wanajeshi kiroho safi wataandaa uchaguzi wa huru wameahidi. Belarus, wananchi wameingia...
  15. GENTAMYCINE

    Mnaotaka Kujifunza 'Kujitetea' pale 'mnapoonewa' na Watu 'Wababe' na mpate Haki zenu 'waigeni' Mafundi hawa

    Kwangu Mimi GENTAMYCINE hawa Wafuatao ndiyo nawaona 'Mawakili' mahiri kabisa wa Kujitegemea nchini Tanzania na hawashindwi ng'o Kesi yoyote ile... 1. Fatma Karume 2. Peter Kibatala 3. Tundu Lissu 4. Jebra Kambole 5. Bernard Morrison ( aliyekuwa Mchezaji wa Sokwe Mbwa Nyani FC na sasa kahamia...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wajasiriliamali wa Tanzania tuna lipi la kujifunza kutokana na makosa ya kiufundi / kitaalam ya Mr. Kuku?

    Watu ambao wana comment negatively ni kwa sababu ya kutokua na uelewewa na concept mpya ya crowd farming. Crowd farming ni kuanzisha kilimo aidha cha matunda au ufugaji wa kuku au ngombe nk. lakini kwa kushirikisha wadau wa kawaida kama Mimi na wewe ambao hatuna muda wa kusimamia ufugaji na pia...
  17. Webabu

    Mambo mengi ya kujifunza kwenye mlipuko wa Beirut

    Japo Rais Trump amesema mlipuko wa Beirut ni kitu maalum kilichopangwa lakini waLebanoni wenyewe wanaamini imetokana na shehena ifikayo tani za ujazo 2750 za Ammonia nitrate iliyotaifishwa tangu mwaka 2013 kwenye meli iliyotoka Urusi kuelekea Msumbiji. Mtu mmoja wa Beirut mji ambao umezoea...
  18. K

    Media Tanzania bado ni dhaifu sana. Kuna haja ya kujifunza kutoka wa wenzao wa Kimataifa

    Nimejaribu kufuatilia habari mbalimbali zinazotoka katika vyombo mbali mbali vya habari (Media) hapa nchini hasa katika kipindi hiki cha Msiba wa Mkapa. Jambo la kusikitisha ambalo mimi binafsi nimegundua ni kwamba bado wapo mbali saana (nyuma) katika weredi wa jinsi gani ya kuandaa taarifa...
  19. Wakala

    GE2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

    Habari, Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa? Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndani ya CCM katika Jimbo la Kawe? Je, ni mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?
Back
Top Bottom