kujifunza

  1. O

    Mechi ya Barcelona na Sevilla kuhairishwa kuna kubwa la kujifunza

    Jana nilikuwa nasubiri game ya Barcelona na Sevilla nikaona imehairishwa nikataka kujua kumetokea nini? Katika kusoma sababu nikaona kwamba La liga waliomba chama cha mpira Spain ambao ndio kama TFF huku kufuta wiki hii ratiba ya game ya Barca na Sevilla sababu wachezaji wengi wamechelewa...
  2. M

    Naibu Waziri Patrobas Katambi acha Uongo bado hujafikia huku unakojimwambafai nako na una mengi tu ya Kujifunza

    "Nazijua Siasa za ndani na nje ya Tanzania pengine kuliko Wanasiasa wengi nchini na nimezipractise in black and white nje ndani hivyo hakuna wa Kunidanganya" Chanzo: Radio One Promo ya Kipindi cha dakika 45 cha Jumatatu ya tarehe 6 Septemba 2021. Tafadhali kama Patrobas Katambi yupo ( ni JF...
  3. Lameckjr

    Nataka kujifunza software ya ERP (Enterprise Resources planning)

    Habari zenu wakuu, Mwenye anajua website ambayo nitaweza kujifunza na kuielewa hii software naomba anisaidie nataka sana niijue kiundani
  4. B

    Chadema na Makamanda Tujifunze Mbinu za Medani #2

    Somo #1 lilikuwa kwenye kuutambua uwanja. Kutambua uwepo wa washirika, wadaiwa, maadui na wasiohusika kwa kujua au kutokujua kwao. CHADEMA na Makamanda tujifunze Mbinu za Medani #1 Somo #2 mkononi liangazie kwenye kutambuana sisi kwa sisi kama wapiganaji. Ni muhimu tukayafahamu na kuyakubali...
  5. MWEMZUNDU

    INAUZWA Kwa wanaotaka kufanya biashara ya madini, kitabu kinapatikana

  6. Kelela

    Ni kozi gani nisome ili niweze kujifunza matumizi ya Ultrasound?

    Habari, Naomba kujua ni kozi gani ya Certificate au Diploma ambayo nikisoma ndani yake kuna mafunzo ya Ultrasound? Na pia ni vyuo gani wanatoa kozi hiyo? Natanguliza Shukurani.
  7. sky soldier

    Kijana ajifunze lugha ipi kupanua goli la ajira na fursa?

    N.B: HADI NAFIKA HAPA NIMEONA KUNA PONGEZI NYINGIZAIDI YA MALALAMIKO KWA WALIOFANYA KAZI KWA WAZUNGU, KWA WENZETU WAHINDI, WACHINA, N.K HUKO KUNA MALALAMIKO MENGI KUZIDI PONGEZI, HIVYO NAOMBA USHAURI UWE UMELENGA LUGHA ZA ULAYA. Habari zenu wakuu, Nina kijana kamaliza form 6 mtoto wa shangazi...
  8. Econometrician

    Watumishi wa Umma kuna la kujifunza hapa!

    Ni kwamba katika utawala wa Magufuli mwaka 2018/2019 baadhi ya Watumishi kwenye Taasisi ambazo zina majina walifanyiwa uchunguzi wa kimya kimya kwenye Akounti zao za mabenki. Nasikia kuna mzee moja alikuwa anafanya kazi MSD, wakamkuta bank na fedha kiasi cha shilingi Bilioni 2 za Kitanzania...
  9. Mancobra

    SoC01 Mambo ya kujifunza kwenye mafanikio ya Diamond Platnumz

    Naseeb Abdul Juma Issack (maarufu kama Diamond Platnumz; majina mengine ya kisanii ni Chibu, Simba au Dangote; alizaliwa dar es salaam, 2 october 1989 ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo flava kutoka Tanzania. Diamond ni msanii mwenye mafanikio makubwa kuliko wasanii wengine Tanzania na Afrika...
  10. Moody Rutunga Jr.

    Naomba msaada nahitaji kujifunza ufundi simu

    Habari wana jukwaa naomba msaada nahitaji kujifunza ufundi simu especially upande wa hardware, nipo bagamoyo naomba msaada labda mtu mwenye idea nianzie wapi? Au kama kuna fundi pia wa simu upande wa hardware tunaweza kuongea zaidi. Naomba kuwasilisha.
  11. Kamanda Asiyechoka

    Simujanja zimeharibu wake za watu. Wanashinda wanapakuwa picha za ngono na kujifunza uchafu kupitia wassapu

    Teknolojia imekuja na mambo mengi. Sasa hivi kila mwanamama anataka amiliki simujanja. Na akishamiliki simujanja basi anajiona ana kila kitu. Siku hizi wamebakiza kupakua picha za ngono na kutupana wassapu huku wakijifunza uchafu. Wameharibia kabisa.
  12. BAKIIF Islamic

    Kuelekea sikukuu ya EIDIL-HAJJ (Eid al-Adha), jifunze jambo hili...

    Kuchinja mnyama siku hii ya Eid ni moja ya ‘ibadah za Kiislam ambayo inatukumbusha namna ya kumpwekesha Mwenyezimungu (Subhaanahu wa Ta'alaa) na Baraka Zake kwetu, pamoja na kutupa mafunzo ya utiifu wa baba yetu Ibraahiym kwa Rabb wake na kumpwekesha Mwenyezi MUNGU. Hivyo ‘ibadah hii ya kuchinja...
  13. mhinirama

    Kujifunza teknolojia kuendana na karne ya sasa

    Teknolojia inaonekana kuwa msingi mkubwa wa maendeleo duniani kote watu waliojikita kwenye teknolojia hufanikiwa zaidi na kurahisisha vipato vyao. Matumizi ya simu kwa watu wenye ujuzi wa kutengeneza matangazo ya picha na pia utengenezaji wa video zinawapa watu faida kubwa kama watumiaji wa...
  14. SankaraBoukaka

    Serikali ya CCM ina kitu cha kujifunza kinachotokea kuhusu Rais Mstaafu Zuma nchini Afrika Afrika

    Nafkiri Serikali ya CCM na Watanzania kwa ujumla wetu kuna kitu cha kujifunza kupitia VURUGU zinazoendelea kuhusu kifungo cha ZUMA. Kiuhalisia asilimia kubwa ya hao wanaondamana na kuleta fujo ni wale ambao wameona wamepata FURSA ya kuonyesha na kupunguza STRESS na HASIRA zao kwa mambo mengi...
  15. K

    Kuunga kwa Soko la Kariakoo, kuna la kujifunza?

    Majanga mengi yamekuwa yakijitokeza ya moto.Sasa hivi kuna janga la moto Soko la KARIAKOO, Shule moja huko Morogoro. Je kutokana na majanga haya na mengine ambayo yalishawahi kutokea huko nyuma na chanzo chake kusemekana ni hitilafu ya umeme, JE KUNA CHA KUJIFUNZA KUHUSU MAJANGA HAYA YA...
  16. L

    Hongera wanawake wa Afrika Mashariki, lakini kuna ya kujifunza kutoka kwa wanawake wa China

    Katika nusu ya kwanza ya mwaka huu eneo la Afrika Mashariki limeng’ara tena kwenye ramani ya dunia, kwa wanawake wake kuwa kwenye nyadhifa za juu za utawala. Kwanza ni nchini Tanzania ambako rais Samia Suluhu aliapishwa kuwa Rais, na nchi Kenya ambako Bibi Martha Koome alichaguliwa kuwa jaji...
  17. Chakaza

    Vijana waliopo CCM wanalo la kujifunza hapa

    Ujumbe huu nimeutoa mahali lakini author hafahamiki ila utawasaidia sana vijana hawa kujitambua na kujua kuwa ubaguzi wao na dharau kwa wengine hauna manufaa kwao; Matokeo ya Kisiasa yanataka Moyo Sana vijana wa CCM tutulieni nchi ni yetu sote, tupunguze kuchukiana na kuumizana kimwili! Moses...
  18. S

    Niko tayari kujitolea katika taasisi yoyote ya maswala ya Bima/ insurance kwa kazi yoyote nia kujifunza zaidi kwa elimu niliyonayo Asanteni

    Habari Wana JF, Kwa Jina Naitwa Steven Naishi Ilala Dar es salaaam namiaka 24 Pia ni Kijana mchapa Kazi mwaminifu kwa kila majukumu nayofanya, Katika swala langu la kielimu nimehitimu level zote ikiwemo O level, Advanced level na kwa sasa ni kijana naehitimu elimu yang yangu chuoni nikiwa...
  19. Behind the camera

    Inachukua muda gani kujifunza na kufahamu vizuri mchezo wa karate?

    Hapa ni kwa wale wajuzi wa mambo ya MARTRIAL ARTS. Nimedhamiria kuingia mazoezini kwa mwanangu mmoja hivi kwa ajili ya kupata mbili tatu kuhusiana na mchezo huu wa ngumi. Swali langu ni je, naweza kuchukua muda Gani kuwa fit katika hili? Sina maana kwamba sijui niwe na mkanda mweusi, sijui wa...
Back
Top Bottom