Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
Gazeti la mwananchi limekuwa likileta mfululizo wa kesi ya Zombe iliyohitimishwa kwa SP Bageni kuhukumiwa kifo.
Yaani IGP, Waziri wa usalama wa raia wote hawakuona umuhimu wa kuchunguza hadi Rais alipounda Tume.
Hilo ni tukio moja tu kati ya matukio mengi ambayo hayajawahi kuundiwa TUME. Wanauawa wanasemwa ni majambazi kumbe Askari wanataka pesa au madini kutoka kwa wanahanga au wanaua ili wapandishwe vyeo.
Kesi ya Zombe ni tone tu katika bahari ya dhuluma za uhai wa watu. Hebu cheki hii video chini, ingeundwa TUME kama ile ya JK kwa Zombe nani angepona hapo?