Kama software engineer (experinced Software Craftsman) umepanga kujifunza nini huu mwaka?

Ultimate

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
520
1,000
hello bosses,

ukiachana na ma-beginner, ukiwa experienced developer unampango wa kujifunza nini kipya na kwa nini mwaka huu?? au unapango wa k-learease project gani (app/website).
 

mdoghosho

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
807
1,000
I think the world is moving towards AI and Machine Learning.
Ni kitu muhimu sana cha kufahamu kwa any serious programmer at this age of time.

Personally napanga kujifunza AI/Machine learning/ Neural networks mwaka huu.

And Python will be the language/tool I'll learn and use.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom