Nawezaje kujifunza programming

Baba Kibonge

Member
Jan 6, 2019
33
95
Habari za uzima wakuu katika jukwaa la teknolojia...Awali ya yote mimi ni kijana wa kitanzania mwenye mapenzi makubw sana ya teknolojia japokuwa sio kitu ninachosomea katika elimu yangu ya juu.

Katika utafiti wangu nimegundua kwa maisha ya sasa unahitajika kuwa na angalau ya ujuzi katika teknolojia, kwa muda sasa japo ratiba yangu ni ngumu nimejitahidi kujifunza programming languge mbalimbali kama vile python kwa kutumia google na YouTube lakini mwisho wa siku nimekua ni mtu kukariri na si kuelewa hivyo napata wakati mgumu sana katika safari yangu hii ya kujifunza elimu hii.

Naombeni mwenye ujuzi wowote kuhusu namna gani bora ya kujifunza kuhusu programming anieleweshe nia na dhumuni nataka sana nijifunze na kuelewa kuhusu SEO mimi ni complete begineer .

NAWASILISHA🤝
 
mzizi1

Member
Oct 9, 2017
75
150
Habari za uzima wakuu katika jukwaa la teknolojia...Awali ya yote mimi ni kijana wa kitanzania mwenye mapenzi makubw sana ya teknolojia japokuwa sio kitu ninachosomea katika elimu yangu ya juu.Katika utafiti wangu nimegundua kwa maisha ya sasa unahitajika kuwa na angalau ya ujuzi katika teknolojia, kwa muda sasa japo ratiba yangu ni ngumu nimejitahidi kujifunza programming languge mbalimbali kama vile python kwa kutumia google na YouTube lakini mwisho wa siku nimekua ni mtu kukariri na si kuelewa hivyo napata wakati mgumu sana katika safari yangu hii ya kujifunza elimu hii.Naombeni mwenye ujuzi wowote kuhusu namna gani bora ya kujifunza kuhusu programming anieleweshe nia na dhumuni nataka sana nijifunze na kuelewa kuhusu SEO mimi ni complete begineer .NAWASILISHA
Upo kwa wapi mkuu
 
Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,185
2,000
Habari za uzima wakuu katika jukwaa la teknolojia...Awali ya yote mimi ni kijana wa kitanzania mwenye mapenzi makubw sana ya teknolojia japokuwa sio kitu ninachosomea katika elimu yangu ya juu.

Katika utafiti wangu nimegundua kwa maisha ya sasa unahitajika kuwa na angalau ya ujuzi katika teknolojia, kwa muda sasa japo ratiba yangu ni ngumu nimejitahidi kujifunza programming languge mbalimbali kama vile python kwa kutumia google na YouTube lakini mwisho wa siku nimekua ni mtu kukariri na si kuelewa hivyo napata wakati mgumu sana katika safari yangu hii ya kujifunza elimu hii.

Naombeni mwenye ujuzi wowote kuhusu namna gani bora ya kujifunza kuhusu programming anieleweshe nia na dhumuni nataka sana nijifunze na kuelewa kuhusu SEO mimi ni complete begineer .

NAWASILISHA
Binafsi nlkua nasoma Python kwa YouTube vidz hadi tutorials za masaa 6 namaliza lakini nmeona ki ukweli ni challenge sana kuelewa nahisi kuna vitu nakosa vya kuanzia ili kuielewa..., Natamani sana kuijua hii programming language..

Ukipata muongozo mzuri nitag mkuu..
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
913
1,000
Kma ni absolute beginner nakushauri usome basic concepts of programming kwanza. Ujue concept za integers, floats, doubles, strings and characters. Ujue basics za maswala ya procedural and functional programming. Ujue maana za vitu kma API, object-oriented programming, documentation, libraries, nk. Knowledge za hivi vitu zitakusaidia kwenye tutorial kuelewa nini kinaongelewa na kina fanyaje kazi.

Kiukweli kma ni beginner kabisa na unataka kuelewa sikushauri utumie YouTube pekee kujifunza. Tumia YouTube kma reference point ya kukusaidia kuelewa jinsi concept flani inavyofanya kazi.

Kma beginner nakushauri usome course ya beginners kwenye language husika kwenye sites kama udacity, coursera, w3schools na kuwa na kitabu. Kitabu ni muhim sana kwa beginner. Unaweza pata vitabu kupitia site ya Zlibrary hapa: b-ok.africa

Point ni:

1. Soma kitabu tumia YouTube kma reference tu.

2. Soma language unayotaka kufanyia kazi kwenye sehem flani. Huwezi soma vyote kwa wakati mmoja. Anza na language moja unayotaka kutumia kufanya project kwenye platform flani na ufanye mazoezi kuelewa concepts.

3. Tumia website ya Codewars kufanya mazoezi kupima uelewa wako katika kusolve basic problems kutumia lugha unayosoma

4. Kuwa mvumilivu sana. Jua huwezi toka from beginner to master ndani ya miezi mi 3. Haipo hyo, labda kma wewe ni genius kweli kweli. Jua kwamba huwezi soma language miezi mi 3 na ukaweza kucode site nzima ya Jamiiforum. Uvumilivu na kuelewa kuwa hichi kitu sio cha kusoma mwezi mmoja ukamaliza ni muhimu sana

Hivi vitu vitakusaidia, vilinisaidia mimi japo kuwa bado ninasoma.
 
Shukrani sana mkuu, Nafikiri sasa nmejua shida niliyokua napata tatizo lake ni nini..
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
2,361
2,000
Spend 8 hour per day hakuna concept itakayo kuwa ngumu kwako. Create pruject , tumia stack overflow kuuliza aswali.
Tafuta nyuzi za kichwa kinachofanana na hiki humu JF watu wameeleza sana naona unarudia swali lililoulizwa mara nyingi humu.
Zingatia ten thousand hour princuple in learning. Nenda Quora site kuna wajuvi wa kutosha.
 
ablekats619

Member
Aug 11, 2020
12
45
beginner tumia sana vitabu kuliko videos lakin pia soma data structure and alogarithm ya hiyo language na jitahid kila siku kuandika program ata tatu unazo waza mwenyew
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom