kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SoC03 Hapa Kazi 2, App ya Kizalendo na Kimaadili maalum kujenga Uhuru wa Fikra kwa jamii

    Hayati John Pombe Magufuli alikuwa kiongozi wa kipekee ambaye alitumika na Mungu kuchochea mabadiliko makubwa katika fikra za Waafrika. Uongozi wake ulithibitisha kuwa muundo wa utawala wa ujamaa na kujitegemea unawezekana kwa kuanza na kujitegemea kifikra. Tanzania imepata bahati nyingine ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamevuka mto kichawi kwa kuruka na ungo, harafu wanarudi nyuma kujenga daraja!!

    Mkataba staili ya MANGUNGO unawasuta!! Dhamiri zinawasuta!! Wanakula lakini hawashibi!! wanacheka lakini hawana furaha!!! KISA: Watanzania wamewagundua walivyoridhia mkataba wa kuuza bandari zetu kwa bei ya bure tena kinyume kabisa na sheria zetu zilizopo!! Sasa wanajipanga kurekebisha sheria...
  3. JamiiForums Tanzania #FIFAfrica23: Muongo mmoja wa kujenga jumuiya ya Kuchagiza Haki za Kidigitali Barani Afrika!

    Jukwaa la kila mwaka ya Uhuru wa Mtandao(internet) Barani Afrika (FIFAfrica) iliyoandaliwa na Ushirikiano wa Sera za Kimataifa za Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwa Afrika Mashariki na Kusini (CIPESA) itafanyika Dar es Salaam, Tanzania kuanzia tarehe 27 hadi 29 Septemba 2023. Mwaka huu...
  4. JamiiForums Tanzania Bilioni 11.6 Kujenga Chuo cha TIA Mkoa wa Kigoma

    MBUNGE ASSA MAKANIKA AMESEMA SERIKALI IMEPELEKA SHILINGI BILIONI 11.6 KUJENGA CHUO CHA TIA MKOA WA KIGOMA Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Mhe. Assa Makanika ameendelea na ziara yake katika maeneo ya Kidahwe, Mungonya na Ziwani kufuatilia shughuli za maendeleo, kuonana na Makundi na...
  5. JamiiForums Tanzania Kujenga vijana kifikra ni muhimu sana katika kuwawezesha kuwa na mawazo na mtazamo mzuri wa maisha

    Kujenga vijana kifikra ni muhimu sana katika kuwawezesha kuwa na mawazo na mtazamo mzuri wa maisha. Hapa kuna hoja kadhaa za kujenga vijana kifikra: Elimu yenye ufahamu: Badala ya kuzingatia tu kujifunza kwa ajili ya mitihani, ni muhimu kuhamasisha vijana kufikiri kwa kina, kuuliza maswali, na...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Biashara ya China na Afrika yaimarisha uhusiano wa kibiashara na kujenga siku njema za baadaye

    Maonyesho ya Tatu ya Biashara ya China na Afrika yamemalizika hivi karibuni hapa China, ambapo bidhaa mbalimbali kutoka nchi za Afrika ikiwemo kahawa kutoka Ethiopia, maua kutoka Kenya, na bidhaa nyingine nyingi zimeendelea kupata umaarufu kwenye soko la China. Maonesho hayo yalianza mjini...
  7. JamiiForums Tanzania Mwendokasi (BRT) msiishie kujenga barabara tu

    Usafiri wa mwendo wa haraka ni jambo jema kwa uchumi kwakuwa unapunguza muda wa kukaa njiani na kuongeza muda wa kufanya kazi kwa siku, wiki, mwezi na mwaka. Pamoja na kazi na kasi hii ya kujenga usafiri wa haraka lakini lazima ujenzi huu uzingatie pia kujenga vituo vikubwa vya kuegesha magari...
  8. JamiiForums Tanzania Barabara ya Mwendokasi kutoka Maktaba hadi Tegeta kuanza kujengwa, Ubungo Kimara kufumuliwa

    Kwa ufupi sana Serikali ya Tanzania kupitia Tanroads leo 30 Juni 2023 inasaini Mikata Minne ya ujenzi wa miundombinu ya Usafiri wa haraka wa Mabasi (BRT) awamu ya nne. Inaanza kujenga barabara ya Magari yaendayo haraka kutoka Katikati ya Mji (Maktaba) hadi Tegeta, ambayo itajengwa na...
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Kupunguza Umaskini: Njia ya Kujenga Mustakabali Bora kwa Taifa

    KUPUNGUZA UMASKINI: NJIA YA KUJENGA MUSTAKABALI BORA KWA TAIFA Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Umaskini ni changamoto kubwa inayoikabili taifa letu. Licha ya juhudi za serikali na mashirika mbalimbali za kupunguza umaskini, bado kuna idadi kubwa ya watu wanaoishi katika hali duni. Kupunguza...
  10. JamiiForums Tanzania Gharama ya kujenga Chumba sebule

    Wakuu, Naombeni msaada, hivi kujenga Nyumba ya chumba kimoja, sebule na jiko, inaweza tumia kiasi gani? Nipo Dar mimi, kiwanja tayari kipo.
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia anachapa kazi ila hazitangazwi ipasavyo. Wasaidizi wa Rais fanyeni kazi ipasavyo

    Pesa ambayo Mama Samia meipeleka kwa wananchi tangu aingie madarakani ni pesa nyingi Sana. Amejenga madarasa, vituo vya afya, ameanzisha utaratibu Wa kupeleka mil 500 kila jimbo kwa ajili ya Maendeleo ya barabara, ameinua uchumi wetu, amerejesha siasa za ushindani na demokrasia, maslahi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Vituo vya Polisi Kupunguza Vitendo vya Uhalifu Kata ya Machame Mashariki

    Kutokana na kuripotiwa kwa matukio mengi ya uhalifu ambayo yamekuwa yakisababishwa na wananchi wenyewe kwa wenyewe Serikali imedhamiria kujenga vituo vya polisi kwaajili ya kupunguza matukio ya uhalifu ambayo yamekuwa yakiripotiwa ya mara kwa mara. Hayo yamesemwa na Naibu waziri Wizara ya Mambo...
  13. JamiiForums Tanzania NEMC na JMAT kuandaa kongamano la Kitaifa la kujenga uelewa kuhusu athari zitokanazo na sauti zilizozidi viwango katika nyumba za ibada

    BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) wameandaa kongamano la Kitaifa la kujenga uelewa kuhusu athari zitokanazo na sauti zilizozidi viwango katika nyumba za ibada litakalofanyika Juni 12,2023 Jijini Dar es...
  14. JamiiForums Tanzania SoC03 Uongozi wa Kweli: Uwajibikaji, Kujenga Mtazamo Mzuri wa Uongozi, na Kuwasaidia Wafanyakazi Kujifunza na Kukua kiutendaji

    UONGOZI WA KWELI: UWAJIBIKAJI, KUJENGA MTAZAMO MZURI WA UONGOZI, NA KUWASAIDIA WAFANYAKAZI KUJIFUNZA NA KUKUA KIUTENDAJI Imeandikwa na: MwlRCT Picha | Kwa hisani ya superbeings UTANGULIZI Mada yangu ni "Uongozi wa Kweli: Uwajibikaji, Kujenga Mtazamo Mzuri wa Uongozi, na Kuwasaidia Wafanyakazi...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kufikia 2030 tutahitajika kujenga minara ya viongozi hawa wawili ingawa tutafika tukiwa tumechoka sana

    Habari JF, Nchi kuanzia mwaka 2015 ilianza kupitia mabadiliko makubwa sana ya kimipango na kimiradi, madilikohaya yameletwa na watu wawili ambapo by 2030 kuna uwezekano mkubwa baadhi ya matatizo yakawa ni historia. 1. Hayati Magufuli ,alianzisha mipango/mifumo na miradi ambayo hata yeye...
  16. JamiiForums Tanzania Bilioni 18.4 SUA Kujenga Chuo cha Kilimo Mkoa wa Katavi, Mpimbwe

    SHILINGI BILIONI 18.4 SUA KUJENGA CHUO CHA KILIMO KATAVI HALMASHAURI YA MPIMBWE Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi Mhe. Martha Festo Mariki ameuliza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Maswali yaliyojibiwa na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali kujenga hospitali mpya Wilaya ya Ukerewe

    Serikali ya Tanzania inajenga Hospitali mpya ya Rufaa wilayani Ukerewe mkoani Mwanza katika jitihada za kutokomeza vifo vya mama na mtoto vinavyotokea baada ya kukosa huduma za matibabu ya kibingwa. Ahadi hiyo imetolewa na Waziri wa afya Ummy Mwalimu wakati akikagua eneo la ujenzi huo, akisema...
  18. JamiiForums Tanzania Lipi bora kati ya kununua nyumba iliyojengwa au kujenga yako mwenyewe?

    Je, ipi ni sahihi ukiwa na hela yako kama Tsh. Milioni 40, ununue nyumba mbalimbali zinazotangazwa mitandaoni na magazetini au kwa hiyo hiyo Tsh. Milioni 40 uliyonayo umtafute fundi na akujengee nyumba yako katika uwanja ambao tayari unao siku nyingi? Leo GENTAMYCINE nitakuwa ni msomaji zaidi...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Vituo vya Afya Kata ya KIA, Muungano, Mnadani, Uroki na Weruweru katika Halmashauri ya Hai

    SERIKALI KUJENGA VITUO VYA AFYA KATA YA KIA, MUUNGANO, MNADANI, UROKI NA WERUWERU KATIKA HALMASHAURI YA HAI Serikali kupitia ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa imedhamiria kujenga vituo vya Afya Kata ya KIA, Muungano, Mnadani, uroki na Weruweru katika Halmashauri ya Hai na kutoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…